Kenya yaigeukia Ethiopia kujaza pengo la upungufu wa chakula lililoachwa wazi na Tanzania

Kenya yaigeukia Ethiopia kujaza pengo la upungufu wa chakula lililoachwa wazi na Tanzania

Na Kenya hakuna waTZ?

WaTZ ndio losers hapa

Huyu jamaa aende zake aje rais mwenye akili afufue hizi trading routes tuuze zaidi ya anybody else tujenge GDP yetu

Tunatia aibu aisee

Poooleee
Wanasemaga usiempenda kaja
Unae kwa miaka mingine mitano
 
Tatizo lako wewe mawazo yako yote yametawaliwa na neno "Kenya" sijui kwanini, jaribu kuzungusha ubongo wako nyuzi 360.

Huyo jamaa aliyekua na magari ya Summry, hajawahi kuhuza hata gunia moja la mahindi kwa nchi ya Kenya, yeye yupo Sumbawanga, ni zaidi ya Kilometa 2000 hadi Nairobi, gharama ya kusafirisha mahindi toka Sumbawanga ni kubwa sana.

Summry na mikoa yote ya kusini mwa Tanzania, masoko yao yapo DRC, Zambia, Malawi, Zimbabwe na Msumbiji. Nchi ilipiga marufuku kuuza chakula nje ya nchi, ndio sababu wakulima walilalamika, wewe unageuza unasema walizuia kwenda Kenya pekee, wacha kufikiria Kenya kama nchi pekee, Solo la Kenya kwa chakula cha Tanzania, halizidi 10%, DRC ni soko kubwa kwetu kuliko Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sina tatizo nasubiri tu wanyonge tuanze kununua gunia la vitunguu kwa sh. Elfu 50 mixer nyanya za buku unapewa nusu ndoo.

Wanyonge ni full raha.
 
Tuwape wiki tu wakenya wenyewe watafungua mipaka wanategemea chakula hadi nyanya toka tanzania hata karoti zimewashinda kulima wanakuja kununua moshi kilimanjaro
Mnalilia border tufungue na mnadai hamtuhitaji who's lying to who now.....border hatufungui na tutawapima madera wote atakayepatikana na virusi hatutamruhusu kuingia kenya the sooner you accept the better. I can bet hio 30days cessation itakua extended mwezi ukiisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poooleee
Wanasemaga usiempenda kaja
Unae kwa miaka mingine mitano

Ndio uzuri wa demokrasia

Demokrasia ni mfumo unasababisha viongozi wabovu kuchaguliwa ila ni mfumo bora wa kusaidia kuondoa viongozi wabovu madarakani

Tulichagua mtu mbovu,na mfumo huu wa domkrasia utatusaidia kumtoa mtu huyo mbovu,hata kama ni 10yrs from now!
 
Wacha ujinga wewe, Kenya sio wanunua wakubwa wa mahindi ya Tanzania, wanunua wakubwa sasa hivi ni WFP, DRC, Zimbabwe, Malawi, Msumbiji na Zambia. Hakuna kilo hata moja ya mahindi itakayoharibika.

Sent using Jamii Forums mobile app

Na ile share ya Kenya utawapelekea hao?

Share ya Kenya ikienda huko supply inakua kubwa,price will go down!

You are shooting yourself in the foot!

Hakuna kilo itaharibika,hivi una maghala wewe?

Watanzania 75% wakulima masikini wana maghala?

Stop hii bangi!
 
Ndio uzuri wa demokrasia

Demokrasia ni mfumo unasababisha viongozi wabovu kuchaguliwa ila ni mfumo bora wa kusaidia kuondoa viongozi wabovu madarakani

Tulichagua mtu mbovu,na mfumo huu wa domkrasia utatusaidia kumtoa mtu huyo mbovu,hata kama ni 10yrs from now!

Ulimchagua au unajifariji?
Miaka kumi atatoka ni utaratibu tu sio kwakuwa wampenda au humpendi
 
Ulimchagua au unajifariji?
Miaka kumi atatoka ni utaratibu tu sio kwakuwa wampenda au humpendi

Sikumchagua mimi

Kachaguliwa na wananchi wengine

Hawampendi now

Sababu wamekuja kujua ni bomu,akili ndogo!

Sasa ,ataondoka,watachagua mwingine!

Hapendwi...thats a fact!

Rais unatoa hotuba kwa taifa online wasikiliza watu 300,000,wakati huo huo Mkuu wa Upinzani nchini anahubia online viewers ni 1,500,000,halafu bado upo ukulu unajidai,mnakosea wapi aisee?

?Really?
 
TZ wafugaji wana hela ya kununua chakula cha grade ya binadamu ili kulishia mifugo?

Hivi mzima kweli wewe?

Mtauza kwa bei ya chini

Plus kuna wafugaji commercial wangapi na ranches zao kununua the whole load?

Na hii demand ikiongezeka bei inapungua,bei ikipungua wakulima hawatakubali kuuza

Halafu mahindi yataozea ghalani maana wakulima wa TZ ni masikini,teknolojia ni duni ya kuhifadhi mahindi,na hayo maghala yenyewe wanayo wachache mnoo!

Yall are losers here!
Tunasubili muanze kuandamana kwa njaa tuwaozie kwa mbei kubwa mara mbili ya hii mkuu NFRA wamejenga maghala makubwa sana mkoa wa Ruvuma mahindi hayataoza tenaa alafu WFP wapo huku wananunua mahindi saizi.
 
Sikumchagua mimi

Kachaguliwa na wananchi wengine

Hawampendi now

Sababu wamekuja kujua ni bomu,akili ndogo!

Sasa ,ataondoka,watachagua mwingine!

Hapendwi...thats a fact!

Rais unatoa hotuba kwa taifa online wasikiliza watu 300,000,wakati huo huo Mkuu wa Upinzani nchini anahubia online viewers ni 1,500,000,halafu bado upo ukulu unajidai,mnakosea wapi aisee?

?Really?

Ulitaka apendwe kwani anauza ice cream?
Na atapendwa vipi ikiwa maslahi ya wapenda porojo anayazuia?
Kwan watanzania wote wako online?
Mtaani hali hailingani na huko online hata kidogo japo waliopo online wako mtaani. Keyboard warrior's ni wengi pia
 
Mwenye njaa nani?

Kama wewe una njaa jiongelee wewe

Sikujui hunijui,njaa anayo bibi yako

Zote hizo ni nchi masikini,bei ya kg per mahindi will be less and unreliable!

Plus,mahindi yamekua yakienda huko enzi na enzi,eti leo suddenly waongeze demand???

Na mkiongeza supply demand inapungua bei inashuka,yall are lunatics!

Law of demand and supply lazima iwe obeyed!
UGANDA njaa imeishaanza kupiga tutauza uganda si umeona maandamano jana uganda wananchi wanataka chakula
 
Tunasubili muanze kuandamana kwa njaa tuwaozie kwa mbei kubwa mara mbili ya hii mkuu NFRA wamejenga maghala makubwa sana mkoa wa Ruvuma mahindi hayataoza tenaa alafu WFP wapo huku wananunua mahindi saizi.

Unazidi kuota!

Mkulima wa mahindi Mabogini Moshi abebe gunia 20 za mahindi apeleke Ruvuma kuhifadhi?

Really?

Na 75% ya wakulima TZ ni wakulima wadogo wadogo,uhifadhi hawawezi na usafirishaji hawawezi!

Hilo ghala umejenga mkulima anapeleka mhindi humo kwa utaratibu upi?

Soko la korosha lilipokufa mliambiwa mnunue kutoka kwa wakulima halafu mje muuze baadae,mkazengua,korosho zote zikaoza!

Mahindi mtafanyeje?Mtanunua mkahifadhi nyie huko?Hela ya kununua toka kwa wananchi hamna!Just like korosho...You have zero shillings to buy anything you losers!
 
And who is a loser here?

Tanzania is a loser!

Chakula chetu kitaoezea ndani,no one to sell to!

Unaringia soko?

Hivi soko linachezewa?

Use brains
Sio kweli!!!
Chakula kinachozalishwa nchini hakitoshelezi hata soko la ndani
Remember We have 60M population!
Bado kuna nchi kama Rwanda+ DRC+ Zambia
Ambazo bado zinategemea chakula kutoka Tz
 
Unazidi kuota!

Mkulima wa mahindi Mabogini Moshi abebe gunia 20 za mahindi apeleke Ruvuma kuhifadhi?

Really?

Na 75% ya wakulima TZ ni wakulima wadogo wadogo,uhifadhi hawawezi na usafirishaji hawawezi!

Hilo ghala umejenga mkulima anapeleka mhindi humo kwa utaratibu upi?

Soko la korosha lilipokufa mliambiwa mnunue kutoka kwa wakulima halafu mje muuze baadae,mkazengua,korosho zote zikaoza!

Mahindi mtafanyeje?Mtanunua mkahifadhi nyie huko?Hela ya kununua toka kwa wananchi hamna!Just like korosho...You have zero shillings to buy anything you losers!
Tutauza UGANDA mkuu just watch and learn
 
vikenya bhana kanchi kenyewe kadogo kako na taaaaaabu yani hata week haijaisha
 
Back
Top Bottom