mvaa viatu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2017
- 351
- 522
Karudie tena kuangalia hiyo vidio ya jamaa wa sumry uelewe.ila kumsaidia tu! Haikua kenya bali serikali ilizuia kuuza nnje kwa maana nnje ya nchi sio kenya tu! Ni nchi zoteMimi sina tatizo na hilo suala kabisaa mzee,ila ninachojua vita ya kibiashara haijawahi kua na mshindi(US Vs China) wote lazima muumie tu.
Nimejionea majuzi kati hapa kipindi mahindi yalivyopigwa marufuku kwenda Kenya madhara waliyoyapata wakulima tena mpk wale wakubwa wakubwa akiweko yule jamaa aliyekua mmiliki wa ma-bus ya Sumri tena yeye ana tani za mahindi maelfu kwa maelfu sasa sijui hakuona hizo nchi 8 zingine zinazotuzunguka,hio sijui mzee baba.
Niliona pia wakulima wadogo wadogo/wa kati wa Karoti,nyanya,vitunguu jinsi ambavyo nyumba zao zilitaka kupigwa minada na taasisi za mikopo baada ya wao kushindwa kulipa mikopo yao.
Mimi ninachofurahia tu ni kwamba soon vitunguu,nyanya,karoti na vitu vingine vinaenda kushuka bei kwa kasi na nitaenjoy maisha that's all boss.
Sent using Jamii Forums mobile app