Kenya yaigeukia Ethiopia kujaza pengo la upungufu wa chakula lililoachwa wazi na Tanzania

Kenya yaigeukia Ethiopia kujaza pengo la upungufu wa chakula lililoachwa wazi na Tanzania

Mimi sina tatizo na hilo suala kabisaa mzee,ila ninachojua vita ya kibiashara haijawahi kua na mshindi(US Vs China) wote lazima muumie tu.

Nimejionea majuzi kati hapa kipindi mahindi yalivyopigwa marufuku kwenda Kenya madhara waliyoyapata wakulima tena mpk wale wakubwa wakubwa akiweko yule jamaa aliyekua mmiliki wa ma-bus ya Sumri tena yeye ana tani za mahindi maelfu kwa maelfu sasa sijui hakuona hizo nchi 8 zingine zinazotuzunguka,hio sijui mzee baba.

Niliona pia wakulima wadogo wadogo/wa kati wa Karoti,nyanya,vitunguu jinsi ambavyo nyumba zao zilitaka kupigwa minada na taasisi za mikopo baada ya wao kushindwa kulipa mikopo yao.

Mimi ninachofurahia tu ni kwamba soon vitunguu,nyanya,karoti na vitu vingine vinaenda kushuka bei kwa kasi na nitaenjoy maisha that's all boss.
Karudie tena kuangalia hiyo vidio ya jamaa wa sumry uelewe.ila kumsaidia tu! Haikua kenya bali serikali ilizuia kuuza nnje kwa maana nnje ya nchi sio kenya tu! Ni nchi zote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
And who is a loser here?

Tanzania is a loser!

Chakula chetu kitaoezea ndani,no one to sell to!

Unaringia soko?

Hivi soko linachezewa?

Use brains
Unasahau kuwa Tanzania kwa muda mrefu ilitegemea bidhaa kutoka nje, ikiwemo Kenya. Mageuzi ya ujenzi wa viwanda bado vilikuwa havipati malighafi ya kutosha kwa sababu ya soko la nje na nchi jirani kama Kenya, sababu ya tofauti ya bei. Kufungwa kwa mipaka ni fursa kwa viwanda vya ndani kuongeza uzalishaji kwa kywa sasa malighafi itapatikana kwa wingi.

Kenya will end up a looser and soon will import finished goods from Tabzania just as the Tanzanite business has shifted in favour of Tanzsnians business men.
 
Joto la jiwe anacheka kwa sababu Wakulima Watanzania wamepoteza soko.
Ni kwamba bei za ndani hazitopanda sana kwa Tanzania sababu "supply" itakuwa kubwa ikiwa ni kweli hututouza nje
 
Kwani tulikua tunapeleka chakula Kenya bure?........Wafanyabiashara wa hivyo vyakula lazima wataaumia
 
Chakula kinaenda Congo, Zambia had burundi na Rwanda pindi nyie mnaleta jeuri huku mna njaa mafii yenu

Sent using Jamii Forums mobile app

Mwenye njaa nani?

Kama wewe una njaa jiongelee wewe

Sikujui hunijui,njaa anayo bibi yako

Zote hizo ni nchi masikini,bei ya kg per mahindi will be less and unreliable!

Plus,mahindi yamekua yakienda huko enzi na enzi,eti leo suddenly waongeze demand???

Na mkiongeza supply demand inapungua bei inashuka,yall are lunatics!

Law of demand and supply lazima iwe obeyed!
 
Unasahau kuwa Tanzania kwa muda mrefu ilitegemea bidhaa kutoka nje, ikiwemo Kenya. Mageuzi ya ujenzi wa viwanda bado vilikuwa havipati malighafi ya kutosha kwa sababu ya soko la nje na nchi jirani kama Kenya, sababu ya tofauti ya bei. Kufungwa kwa mipaka ni fursa kwa viwanda vya ndani kuongeza uzalishaji kwa kywa sasa malighafi itapatikana kwa wingi.

Kenya will end up a looser and soon will import finished goods from Tabzania just as the Tanzanite business has shifted in favour of Tanzsnians business men.

Tanzania kuna viwanda?

Nikae hapa nasikiliza mawe anasema eti TZ kuna viwanda?Fvck it!

Cherehani eti nayo kiwanda!

Read this,TZ hakuna viwanda!!!

Muulize mpiga domo Mwijage akuambie,ni propaganda tupu!

Kadanganyeni watoto huko!

Mlimaji mahindi nae anajifanya ana control soko?Fo what hasa?

Chakula ambacho hawajui kuhifadhi,hawana teknolojia wala nini,uozo mtupu!

Msimu huu ukipita brother we are in deep shit!

Plus hawa wafanyabishara wanaofanya hizi kazi wamechoka,mmewanyanyasa,na sasa hivi watanyamaza hakuna kuuza chochote popote!

Eti tunauza,unauza wewe kama nani?CCM ilishalima chochote dunia hii?
 
Tutatengeneza chakula cha kuku mengine WFP wananunua na pia tutalishia nguruwe

TZ wafugaji wana hela ya kununua chakula cha grade ya binadamu ili kulishia mifugo?

Hivi mzima kweli wewe?

Mtauza kwa bei ya chini

Plus kuna wafugaji commercial wangapi na ranches zao kununua the whole load?

Na hii demand ikiongezeka bei inapungua,bei ikipungua wakulima hawatakubali kuuza

Halafu mahindi yataozea ghalani maana wakulima wa TZ ni masikini,teknolojia ni duni ya kuhifadhi mahindi,na hayo maghala yenyewe wanayo wachache mnoo!

Yall are losers here!
 
Wakenya wamepagawa hao kule Mombasa kuna soko linaitwa markiti linaenda kufa tukifunga mpaka kwa wiki mbili tu hawa jamaa wanatuhitaji kwa kiasi kikubwa kuliko tunavyowahitaji
Ngoja tuone njaa ikiwabana jamaa wataingia mtaani!
 
Mimi sina tatizo na hilo suala kabisaa mzee,ila ninachojua vita ya kibiashara haijawahi kua na mshindi(US Vs China) wote lazima muumie tu.

Nimejionea majuzi kati hapa kipindi mahindi yalivyopigwa marufuku kwenda Kenya madhara waliyoyapata wakulima tena mpk wale wakubwa wakubwa akiweko yule jamaa aliyekua mmiliki wa ma-bus ya Sumri tena yeye ana tani za mahindi maelfu kwa maelfu sasa sijui hakuona hizo nchi 8 zingine zinazotuzunguka,hio sijui mzee baba.

Niliona pia wakulima wadogo wadogo/wa kati wa Karoti,nyanya,vitunguu jinsi ambavyo nyumba zao zilitaka kupigwa minada na taasisi za mikopo baada ya wao kushindwa kulipa mikopo yao.

Mimi ninachofurahia tu ni kwamba soon vitunguu,nyanya,karoti na vitu vingine vinaenda kushuka bei kwa kasi na nitaenjoy maisha that's all boss.
Tatizo lako wewe mawazo yako yote yametawaliwa na neno "Kenya" sijui kwanini, jaribu kuzungusha ubongo wako nyuzi 360.

Huyo jamaa aliyekua na magari ya Summry, hajawahi kuhuza hata gunia moja la mahindi kwa nchi ya Kenya, yeye yupo Sumbawanga, ni zaidi ya Kilometa 2000 hadi Nairobi, gharama ya kusafirisha mahindi toka Sumbawanga ni kubwa sana.

Summry na mikoa yote ya kusini mwa Tanzania, masoko yao yapo DRC, Zambia, Malawi, Zimbabwe na Msumbiji. Nchi ilipiga marufuku kuuza chakula nje ya nchi, ndio sababu wakulima walilalamika, wewe unageuza unasema walizuia kwenda Kenya pekee, wacha kufikiria Kenya kama nchi pekee, Solo la Kenya kwa chakula cha Tanzania, halizidi 10%, DRC ni soko kubwa kwetu kuliko Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TZ wafugaji wana hela ya kununua chakula cha grade ya binadamu ili kulishia mifugo?

Hivi mzima kweli wewe?

Mtauza kwa bei ya chini

Plus kuna wafugaji commercial wangapi na ranches zao kununua the whole load?

Na hii demand ikiongezeka bei inapungua,bei ikipungua wakulima hawatakubali kuuza

Halafu mahindi yataozea ghalani maana wakulima wa TZ ni masikini,teknolojia ni duni ya kuhifadhi mahindi,na hayo maghala yenyewe wanayo wachache mnoo!

Yall are losers here!
Wacha ujinga wewe, Kenya sio wanunua wakubwa wa mahindi ya Tanzania, wanunua wakubwa sasa hivi ni WFP, DRC, Zimbabwe, Malawi, Msumbiji na Zambia. Hakuna kilo hata moja ya mahindi itakayoharibika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom