Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Hayo mambo mwambie mTz ambaye hajakanyaga Kenya labda55% of Tanzanians are poor.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo mambo mwambie mTz ambaye hajakanyaga Kenya labda55% of Tanzanians are poor.
We si umekataa hapo juu kuwa hajaitaja Ethiopia ukaomba na uthibitisho kuwa wapi ameitaja Ethiopia? Haya kwenye hiyo habari hujasikia Ethiopia hapo au unawenge mjomba??Ethiopia is one of our neighbors. He also mentioned Uganda, so why have you insisted that we have turned to Ethiopia and excluding Uganda?
And who is a loser here?
Tanzania is a loser!
Chakula chetu kitaoezea ndani,no one to sell to!
Unaringia soko?
Hivi soko linachezewa?
Use brains
Hahahaha, ungekua una ubongo wa binadamu ningekujibu, lakini bahati mbaya ibongo wako ni sawa na "locust".Una akili kama siafu. Kuna nchi zinazalisha chakula kingi Dunia. Akili yako inawaza chakula tuu. Kuna mataifa yanazalisha chakula Kenya itaagiza vyakula kutoka kwao sio lazima wanunue Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂Hii Ethiopia yenye njaa ambao wanachi wake wanapitishwa kwenye malori Tunduma wakienda SA? kweli sasa wamechanganyikiwa.
Pelekeni hizo ndege Zambia zikawachukulie gunia za mahindi na maharageKwenyu mnakuanga na cargo flights kama Kenya, currently all jumbos headed to Nairobi as others are leaving, huko south naona tu nika dash kamoja kako route za daladalaView attachment 1453581
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapoteza muda bure hamna kitu hapo
Jinga hilo achana naloKweli nwamba maana anachoandika humu cjui Kama anajilisha mwenyew huyu , hivi kweli hata Kama inawezekana ukanunue mahindi bara lingine Kisha uyalete Kenya tena kwa ndege gharama itakua sawa na kununua Tanzania kweli ? Wananchi watamudu gharama? Anaongea pumba eti watanunua America mara China watateka soko yani mchina ateke soko la Kenya kuiuzia mahindi wakati anawapa msaada wa mchele wa plastic Mara kibao hapa tunaona . inawezekana smartphone kapata mwezi huu kwahiyo hajui dunia inavyokwenda tumsamehe tu
Sent using Jamii Forums mobile app
55% of Tanzanians are poor.
Chakula kitaoza? Kwani hakihifadhiwi?And who is a loser here?
Tanzania is a loser!
Chakula chetu kitaoezea ndani,no one to sell to!
Unaringia soko?
Hivi soko linachezewa?
Use brains
All these threads written by Tanzanians who think that they feed us are moronic. We buy food products from Tanzania, that is not in doubt and it should continue. In the meantime the trade should come to a halt until measures are in place preventying every driver heading south coming back positive with corona virus. Whether you ban anything you with to retaliate with is upon you as long there will be cessation of movement at the time. We are fighting the virus not engaging in trade wars
Whatever you are prepared about is really none of our business. Kenya haiombi msaada wowote kutoka kwenuWe are ready and better prepared for any eventuality, stay tuned.
Sent using Jamii Forums mobile app
Soon gunia la vitunguu litashuka mpk Tsh. elfu 50,Karoti za Buku tutakua tunajaziwa ndoo nzima ile ndogo hapo wananchi wanyonge kwetu ni swadakta tu maana vilipanda bei sana tu.Dah....tatizo kubwa Wakenya mnawaza mikopo na misaada kutoka taasisi za kimataifa kwa gharama za Watanzania....hii si haki...na mvutano huu hautaisha salama kwetu sote....haijalishi nani atashinda...Ni kama mabondia....wote watapata majeraha..[emoji2960]
Sent using Beretta ARX 160
Uganda wameambiwa wafanye ration wale 250g posho per day!Kataja mna majirani Wengi mtanunua hata Ethiopia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
hawa wapuuzi wakianza kuuwana tena wasitegemee msaada wowote toka tz huyu mkuu wetu wa sasa hana time kabisa yeye ni kazi tuHii umeiona. Wajinga wengine wanalazimisha lockdown
View attachment 1453432
Sent using Jamii Forums mobile app