Kenya yaigeukia Ethiopia kujaza pengo la upungufu wa chakula lililoachwa wazi na Tanzania

Kenya yaigeukia Ethiopia kujaza pengo la upungufu wa chakula lililoachwa wazi na Tanzania

Ethiopia is one of our neighbors. He also mentioned Uganda, so why have you insisted that we have turned to Ethiopia and excluding Uganda?
We si umekataa hapo juu kuwa hajaitaja Ethiopia ukaomba na uthibitisho kuwa wapi ameitaja Ethiopia? Haya kwenye hiyo habari hujasikia Ethiopia hapo au unawenge mjomba??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu we both loose, you'll face shortage of food, we'd loose market.

It's a loose loose situation.

Nashangaa Mkenya anayemcheka mTanzania na mTanzania anayemcheka mKenya
And who is a loser here?

Tanzania is a loser!

Chakula chetu kitaoezea ndani,no one to sell to!

Unaringia soko?

Hivi soko linachezewa?

Use brains

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una akili kama siafu. Kuna nchi zinazalisha chakula kingi Dunia. Akili yako inawaza chakula tuu. Kuna mataifa yanazalisha chakula Kenya itaagiza vyakula kutoka kwao sio lazima wanunue Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, ungekua una ubongo wa binadamu ningekujibu, lakini bahati mbaya ibongo wako ni sawa na "locust".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenyu mnakuanga na cargo flights kama Kenya, currently all jumbos headed to Nairobi as others are leaving, huko south naona tu nika dash kamoja kako route za daladala
Screenshot_20200518-201911_Flightradar24.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii Ethiopia yenye njaa ambao wanachi wake wanapitishwa kwenye malori Tunduma wakienda SA? kweli sasa wamechanganyikiwa.
😂😂😂😂😂
Mwenyewe nimeshangaa. Ethiopia shibe yao tu inawasumbua, ndo wataweza njaa ya jirani?

Ukweli wautake wasitake, ukanda wa Mashariki na Kusini, walishaji ni sisi na Afrika ya Kusini.
 
Kweli nwamba maana anachoandika humu cjui Kama anajilisha mwenyew huyu , hivi kweli hata Kama inawezekana ukanunue mahindi bara lingine Kisha uyalete Kenya tena kwa ndege gharama itakua sawa na kununua Tanzania kweli ? Wananchi watamudu gharama? Anaongea pumba eti watanunua America mara China watateka soko yani mchina ateke soko la Kenya kuiuzia mahindi wakati anawapa msaada wa mchele wa plastic Mara kibao hapa tunaona . inawezekana smartphone kapata mwezi huu kwahiyo hajui dunia inavyokwenda tumsamehe tu
Unapoteza muda bure hamna kitu hapo

Jinga hilo achana nalo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
All these threads written by Tanzanians who think that they feed us are moronic. We buy food products from Tanzania, that is not in doubt and it should continue. In the meantime the trade should come to a halt until measures are in place preventying every driver heading south coming back positive with corona virus. Whether you ban anything you with to retaliate with is upon you as long there will be cessation of movement at the time. We are fighting the virus not engaging in trade wars
 
We are ready and better prepared for any eventuality, stay tuned.
All these threads written by Tanzanians who think that they feed us are moronic. We buy food products from Tanzania, that is not in doubt and it should continue. In the meantime the trade should come to a halt until measures are in place preventying every driver heading south coming back positive with corona virus. Whether you ban anything you with to retaliate with is upon you as long there will be cessation of movement at the time. We are fighting the virus not engaging in trade wars

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah....tatizo kubwa Wakenya mnawaza mikopo na misaada kutoka taasisi za kimataifa kwa gharama za Watanzania....hii si haki...na mvutano huu hautaisha salama kwetu sote....haijalishi nani atashinda...Ni kama mabondia....wote watapata majeraha..[emoji2960]

Sent using Beretta ARX 160
 
Soon gunia la vitunguu litashuka mpk Tsh. elfu 50,Karoti za Buku tutakua tunajaziwa ndoo nzima ile ndogo hapo wananchi wanyonge kwetu ni swadakta tu maana vilipanda bei sana tu.
 
Back
Top Bottom