Kenya yaigeukia Ethiopia kujaza pengo la upungufu wa chakula lililoachwa wazi na Tanzania

Kenya yaigeukia Ethiopia kujaza pengo la upungufu wa chakula lililoachwa wazi na Tanzania

Mad men are discussing[emoji23][emoji23][emoji23]. From the article, there's nowhere written that Kenya has turned to Ethiopia and there's nowhere Peter Munya said that we will buy from Ethiopia. If there's any evidence I would the thread owner present it to us. Either as video or from his social media's accounts.

Hiyo apo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Are you aware that today tumefuka Tanzanians 51 pamoja na lori zao?
Hata mkifuka buku kwendeni zenu mtajua wenyewe... Itafikia wakati mtaacha kuiwaza Tz mtaanza kuwaza tumbo na domo kama yamepitisha kitu kwa siku.Time will tell.
 
Si kwa kipindi hiki soma majira kipindi hiki kila serikali ya nchi husika iko macho kutazama akiba iliyonayo na chakula kinachozalishwa ndani Sasa kipindi hiki chakula kinahitajika Sana maana hata Kama Nchi inayo inaendelea kukua kwa ajili ya akiba
Finding supplier is easier than finding a customer

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mkifuka buku kwendeni zenu mtajua wenyewe... Itafikia wakati mtaacha kuiwaza Tz mtaanza kuwaza tumbo na domo kama yamepitisha kitu kwa siku.Time will tell.
Sisi hatuwazi nchi maskini kama Tanzania.
 
Ethiopia is one of our neighbors. He also mentioned Uganda, so why have you insisted that we have turned to Ethiopia and excluding Uganda?
Hao Ethiopia juzi walitungua ndege yenu na hakuna kitu mtawafanya [emoji23]

Usisahau pia Uganda nao wana janga la nzige, mafuriko kama nyie tu kwa hiyo sio pa kutegemea sana,

Yaani badala huyo waziri wenu ahimize kilimo nchini kwenu eti anahimiza kutegemea majirani.
 
Si kwa kipindi hiki soma majira kipindi hiki kila serikali ya nchi husika iko macho kutazama akiba iliyonayo na chakula kinachozalishwa ndani Sasa kipindi hiki chakula kinahitajika Sana maana hata Kama Nchi inayo inaendelea kukua kwa ajili ya akiba

Sent using Jamii Forums mobile app
Malori yote yanayoelekea Kenya si yote yamebeba chakula. Mengine yana mbao, mkaa wa mawe nk.
 
Back
Top Bottom