Kenya yaingia mkataba na kampuni ya doppelmayr ya Austria ujenzi wa magari yanayotembea kwenye nyaya (cable cars)

Kenya yaingia mkataba na kampuni ya doppelmayr ya Austria ujenzi wa magari yanayotembea kwenye nyaya (cable cars)

fd706a27fb0bac873635cd2a6d8d9195.jpg


[HASHTAG]#Kenya[/HASHTAG] imeingia mkataba wa TZS 129 bilioni na Kampuni ya Doppelmayr ya Austria kwa ajili ya ujenzi wa magari yanayotembea kwenye nyaya (cable cars). Ujenzi utaanza Mei mwaka huu na utakamilika 2020......

"""Kwa kweli nasikia uchungu sana

Wakenya wanaibua miradi sisi maneno meeeengi kuliko vitendo.

Mengine sina sababu ya kuyasema kila mtu anayafahamu hivi tunakosea wapi mpaka wakenya wanatupita namna hii?

Hivi wakenya wana nini cha zaidi kutupita sisi?

Kenya na Tanzania nani ana rasilimali nyingi?

Nchi ya viwanda hapa kazi tu.!
 
Duh yani hadi 2020
Mradi inabidi uwe umekamilika aisee jamaa wanaenda resi
Huku sisi tunanunuana kwanza na mauchaguzi ya kila siku hayo mengine baadaye.
 
Sidhani ht km tunaona hayo.!
Tupo bz kuumaliza upinzani Kwanza[emoji13][emoji13]
 
Back
Top Bottom