Kenya yaingia mkataba na kampuni ya doppelmayr ya Austria ujenzi wa magari yanayotembea kwenye nyaya (cable cars)

Mleta mada ungewaekea hawa Malofa picha ya Likoni channel, waelewe hicho kivuko kinakaaje na kwanini hii project inafaa ili kurahisisha usafiri kwenye sehemu hiyo. Maanake wengi wao wanaropoka tu wanadhani haya ni yale ya SGR.
 
White elephant, Yani kivuko mnaweka hayo madude?? Hizo zilipaswa kuwekwa kwenye Maeneo ya Utalii.. Mbona mnakurupuka sana Wakenya..
 
Acha sitilesi we tulia hapo uone tukiyatimiza kama ilivo kawaida yetu. Sasa wewe mtz ambaye upo huko huko Tz ndo utatuamulia sisi wakenya? Suluhisho limetafutwa miaka nenda miaka rudi, maanake Likoni Channel pako deep sana. Ikimbukwe pia hiyo ndo 'route' muhimu ya meli kubwa kubwa. Tulipoanza mradi wa SGR pia, enzi zile, mlikurupuka sana mkisema ni ndoto za mchana. Kenya tusipodhubutu mtaiga kutoka kwa nani?
 
Kwani mngeweka cable bridge isingerezekana? How efficient is that? 22 cars wakati kuna maelfu ya watu wanatakiwa kupita hapo
 
Fanya utafiti wako kuhusu Likoni Channel. Acha majungu, kwani nchi yako imekataa kusikiza mawaidha yako? Unadhani maamuzi kama hayo yanafanywa na mganga wa kienyeji?
 
Don't we have something called White Elephant? Sio kila maamuz yanayofanywa yanakuwa sahihi
 
Hehehe, watz buana 🙂. Huu ni ule mjadala kwa lugha ya kimombo wanauitaga 'circle jerk' yaani tunarudi palepale. Mi sipo.
 
Kwani mngeweka cable bridge isingerezekana? How efficient is that? 22 cars wakati kuna maelfu ya watu wanatakiwa kupita hapo
Hizo 22 cable cars zinabeba watu 11,000 kila lisaa na 180,000 kila siku. Watu wanao vuka likoni channel on average ni 330,000.
 
White elephant, Yani kivuko mnaweka hayo madude?? Hizo zilipaswa kuwekwa kwenye Maeneo ya Utalii.. Mbona mnakurupuka sana Wakenya..

Naona hujapatiwa Homework na Mwalimu leo...... You are very idle... unaandika tu shit kila mahali
 
Mmmh 22 cable cars?! Au mwandishi alimaanisha 22 cabins
 
Kumbuka sio ule wenu wa 1350MW wakati 70% ya wabongolala hawajaunganishwa na Umeme... LDC shida tupu how do you guys survive really?
Hivi takwimu mnatolea wapi,ni ajabu mtu baada ya kupata chang' aa unasema 30% ndio wana umeme,by 2020 Tanzania nzima itakuwa na umeme.FYI mpka jana umeme umesambaa kwa 71% na vijiji kibao viko kwny pipeline
 
Fanya utafiti wako kuhusu Likoni Channel. Acha majungu, kwani nchi yako imekataa kusikiza mawaidha yako? Unadhani maamuzi kama hayo yanafanywa na mganga wa kienyeji?
Yanafanywa na brainwashed kenyan politician like Maina.
 
Hivi takwimu mnatolea wapi,ni ajabu mtu baada ya kupata chang' aa unasema 30% ndio wana umeme,by 2020 Tanzania nzima itakuwa na umeme.FYI mpka jana umeme umesambaa kwa 71% na vijiji kibao viko kwny pipeline

Uuuuui... Wadanganyika mnatia aibu.... Ptoh... Hiyo dark land mnasema 2020???Hata 3020 bado
 
2020 sio mbali,mpaka tunavyoongea umeme unasambazwa vijijini kwa spidi ya sauti,REA wanaunganisha kwa shilingi 27000,yaani hata chokoraa damu wa Nairobi anaweza vuta
 
Back
Top Bottom