Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitegemea watengeneze reli juu ya maji baharini pale kwenye kivuko cha Likoni alafu meli ndo zipae juu kama ndege au?Substitute ya electrical SGR! 😱😱☝
Acha sitilesi we tulia hapo uone tukiyatimiza kama ilivo kawaida yetu. Sasa wewe mtz ambaye upo huko huko Tz ndo utatuamulia sisi wakenya? Suluhisho limetafutwa miaka nenda miaka rudi, maanake Likoni Channel pako deep sana. Ikimbukwe pia hiyo ndo 'route' muhimu ya meli kubwa kubwa. Tulipoanza mradi wa SGR pia, enzi zile, mlikurupuka sana mkisema ni ndoto za mchana. Kenya tusipodhubutu mtaiga kutoka kwa nani?White elephant, Yani kivuko mnaweka hayo madude?? Hizo zilipaswa kuwekwa kwenye Maeneo ya Utalii.. Mbona mnakurupuka sana Wakenya..
Kwani mngeweka cable bridge isingerezekana? How efficient is that? 22 cars wakati kuna maelfu ya watu wanatakiwa kupita hapoAcha sitilesi we tulia hapo uone tukiyatimiza kama ilivo kawaida yetu. Sasa wewe mtz ambaye upo huko huko Tz ndo utatuamulia sisi wakenya? Suluhisho limetafutwa miaka nenda miaka rudi, maanake Likoni Channel pako deep sana. Ikimbukwe pia hiyo ndo 'route' muhimu ya meli kubwa kubwa. Tulipoanza mradi wa SGR pia, enzi zile, mlikurupuka sana mkisema ni ndoto za mchana. Kenya tusipodhubutu mtaiga kutoka kwa nani?
Fanya utafiti wako kuhusu Likoni Channel. Acha majungu, kwani nchi yako imekataa kusikiza mawaidha yako? Unadhani maamuzi kama hayo yanafanywa na mganga wa kienyeji?Kwani mngeweka cable bridge isingerezekana? How efficient is that? 22 cars wakati kuna maelfu ya watu wanatakiwa kupita hapo
Don't we have something called White Elephant? Sio kila maamuz yanayofanywa yanakuwa sahihiFanya utafiti wako kuhusu Likoni Channel. Acha majungu, kwani nchi yako imekataa kusikiza mawaidha yako? Unadhani maamuzi kama hayo yanafanywa na mganga wa kienyeji?
Hehehe, watz buana 🙂. Huu ni ule mjadala kwa lugha ya kimombo wanauitaga 'circle jerk' yaani tunarudi palepale. Mi sipo.Don't we have something called White Elephant? Sio kila maamuz yanayofanywa yanakuwa sahihi
Ulitegemea watengeneze reli juu ya maji baharini pale kwenye kivuko cha Likoni alafu meli ndo zipae juu kama ndege au?
Hizo 22 cable cars zinabeba watu 11,000 kila lisaa na 180,000 kila siku. Watu wanao vuka likoni channel on average ni 330,000.Kwani mngeweka cable bridge isingerezekana? How efficient is that? 22 cars wakati kuna maelfu ya watu wanatakiwa kupita hapo
Kumbuka sio ule wenu wa 1350MW wakati 70% ya wabongolala hawajaunganishwa na Umeme... LDC shida tupu how do you guys survive really?hii kitu itatumia umeme ama? 😛
White elephant, Yani kivuko mnaweka hayo madude?? Hizo zilipaswa kuwekwa kwenye Maeneo ya Utalii.. Mbona mnakurupuka sana Wakenya..
Hivi takwimu mnatolea wapi,ni ajabu mtu baada ya kupata chang' aa unasema 30% ndio wana umeme,by 2020 Tanzania nzima itakuwa na umeme.FYI mpka jana umeme umesambaa kwa 71% na vijiji kibao viko kwny pipelineKumbuka sio ule wenu wa 1350MW wakati 70% ya wabongolala hawajaunganishwa na Umeme... LDC shida tupu how do you guys survive really?
Yanafanywa na brainwashed kenyan politician like Maina.Fanya utafiti wako kuhusu Likoni Channel. Acha majungu, kwani nchi yako imekataa kusikiza mawaidha yako? Unadhani maamuzi kama hayo yanafanywa na mganga wa kienyeji?
Maina A au Maina B? We unajua kuna Maina wangapi Kenya hii? Be specific please!Yanafanywa na brainwashed kenyan politician like Maina.
Hivi takwimu mnatolea wapi,ni ajabu mtu baada ya kupata chang' aa unasema 30% ndio wana umeme,by 2020 Tanzania nzima itakuwa na umeme.FYI mpka jana umeme umesambaa kwa 71% na vijiji kibao viko kwny pipeline
2020 sio mbali,mpaka tunavyoongea umeme unasambazwa vijijini kwa spidi ya sauti,REA wanaunganisha kwa shilingi 27000,yaani hata chokoraa damu wa Nairobi anaweza vutaUuuuui... Wadanganyika mnatia aibu.... Ptoh... Hiyo dark land mnasema 2020???Hata 3020 bado