Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Kwanza hio Daadab ya Wasomali ndio ipigwe kufuli kabisa.
Cc joto la jiwe ichoboy01 Geza Ulole
The best 007
Cc joto la jiwe ichoboy01 Geza Ulole
The best 007
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini munakua na roho mbaya hvoKwanza hio Daadab ya Wasomali ndio ipigwe kufuli kabisa.
Cc joto la jiwe ichoboy01 Geza Ulole
The best 007
Wao wanapotupiga mabomu wanakuwa wana roho nzuri?Kwanini munakua na roho mbaya hvo
Siku zote usichezee simba aliyejeruhiwa. Endelea kusema kwamba hatuna ubavu huo.UNHCR wameshajibu...masikini Hana choice always...Kenya hamna huo ubavu
Richard usikubali huyu Wazimu Geza Ulole akuletee chuki zake za Kenya. Huyu pimbi anajulikana humu ana chuki mbaya sana na Kenya. Wewe Richard upo sahihi na usitishwe na yeyote humu.Nimeedit bwana. Afrika haipo sasa hivi
chuki au mnafanya mambo ya kijinga kama kuzuia mahindi huku mna njaa! kwahiyo una-support kufungwa kambi za kakuma na Daadab kisa mmepelekwa mahakamani kwa kuipa Somali territory? Si muache mahakama iamue kama mna haki na mlichojitwalia kinyemela?Richard usikubali huyu Wazimu Geza Ulole akuletee chuki zake za Kenya. Huyu pimbi anajulikana humu ana chuki mbaya sana na Kenya. Wewe Richard upo sahihi na usitishwe na yeyote humu.
Ujumbe kwenye hiyo comment haujabadilika.Richard usikubali huyu Wazimu Geza Ulole akuletee chuki zake za Kenya. Huyu pimbi anajulikana humu ana chuki mbaya sana na Kenya. Wewe Richard upo sahihi na usitishwe na yeyote humu.
Mambo yetu ya kiafrika, ukimwaga mboga mi namwaga ugali. Ni kuwakomoa tu.
Ukimwaga mboga mi namwaga ugali. Ni kuwakomoa tu.
Huyo jamaa mwoga sana.
Nah wapuuzi tu ndo wanaweza ku-support mnachofanya! hamna mtu anaichukia Kenya ila mna ujinga mwingi!Huyo jamaa mwoga sana.
Hio kesi ya Somalia hebu ifuatilie upya bila mihemko. Hakuna mahali tumewaibia maji yao.Nah wapuuzi tu ndo wanaweza ku-support mnachofanya! hamna mtu anaichukia Kenya ila mna ujinga mwingi!
Hilo jina la eneo sio kabisa!Ka nini!?
[emoji87]
sasa mbona mnajamba jamba kwenda kujieleza mahakamani? democratic country?Hio kesi ya Somalia hebu ifuatilie upya bila mihemko. Hakuna mahali tumewaibia maji yao.
Ukiwaeleza hilo wanakuambia unawachukia!wakenya wanaroho mbaya sana, hata kifo cha rais wetu wanaonyesha kwenye review za chaneli zao wanasema mambo ya ajabu ajabu ambayo hayapo wanashirikiana na kina Tundu lissu kuchafua nchi yetu hasira yao Magufuli alitufanya tukawapita mbali sana.
Tatizo ni kuwa Kenya tulikuwa wajinga kukubaliana na Tanzania kufuata line of latitude katika agreement yetu ya mwaka wa 2009 ilhali international law inafuata njia tofauti ya kudemarcate international boundaries. So Somalia wanaweza shinda kesi yao ila sisi pia tutashinda kesi yetu dhidi ya Tanzania. Fuatilia hii kesi kwa karibu. Nyinyi pia mnaweza kushinda kesi yenu dhidi ya Mozambique na kupewa Ruvuma gas basin karibu yote na Mozambique kubaki na gas basin kidogo sana.sasa mbona mnajamba jamba kwenda kujieleza mahakamani? democratic country?
wacha upumbavu makubaliano ya 2009 ni mapitio ya boundaries zilizokuwapo tangu Uhuru! Sisi hatuna husda ya kwenda kudai mipaka mipya na Mozambique! Plse naomba usinisumbue juu ya hili kuna thread juu ya hili nimeelezea wizi wenu woote!Tatizo ni kuwa Kenya tulikuwa wajinga kukubaliana na Tanzania kufuata line of latitude katika agreement yetu ya mwaka wa 2009 ilhali international law inafuata njia tofauti ya kudemarcate international boundaries. So Somalia wanaweza shinda kesi yao ila sisi pia tutashinda kesi yetu dhidi ya Tanzania. Fuatilia hii kesi kwa karibu. Nyinyi pia mnaweza kushinda kesi yenu dhidi ya Mozambique na kupewa Ruvuma gas basin karibu yote na Mozambique kubaki na gas basin kidogo sana.
hii ni moja ya jambo la kijinga hawa jamaa wanafanya, so Kenya mnapandwa na hasira mpaka mnazuia mahindi kuingia nchini kwenu yani mnaamaamuzi ya ajabu, tulizeni ball TZ ndio tumeanza ule ujinga wakutumia rasilimali zetu kujitangaza tumewakomesha na Serengeti ndio namba one mbuga ya wanyama, take it or not😀😀chuki au mnafanya mambo ya kijinga kama kuzuia mahindi huku mna njaa! kwahiyo una-support kufgungwa kambi za kakuma na Daadab kisa mmepelekwa mahakamani kwa kuipa Somali territory? Si muache mahakama iamue kama mna haki na mlichojitwalia kinyemela?