Kenya yaipa UNHCR siku 14 kufunga kambi ya Daadab na Kakuma

Kenya yaipa UNHCR siku 14 kufunga kambi ya Daadab na Kakuma

Richard usikubali huyu Wazimu Geza Ulole akuletee chuki zake za Kenya. Huyu pimbi anajulikana humu ana chuki mbaya sana na Kenya. Wewe Richard upo sahihi na usitishwe na yeyote humu.
chuki au mnafanya mambo ya kijinga kama kuzuia mahindi huku mna njaa! kwahiyo una-support kufungwa kambi za kakuma na Daadab kisa mmepelekwa mahakamani kwa kuipa Somali territory? Si muache mahakama iamue kama mna haki na mlichojitwalia kinyemela?
 
Nah wapuuzi tu ndo wanaweza ku-support mnachofanya! hamna mtu anaichukia Kenya ila mna ujinga mwingi!
Hio kesi ya Somalia hebu ifuatilie upya bila mihemko. Hakuna mahali tumewaibia maji yao.
 
wakenya wanaroho mbaya sana, hata kifo cha rais wetu wanaonyesha kwenye review za chaneli zao wanasema mambo ya ajabu ajabu ambayo hayapo wanashirikiana na kina Tundu lissu kuchafua nchi yetu hasira yao Magufuli alitufanya tukawapita mbali sana.
 
Ukiwaeleza hilo wanakuambia unawachukia!
Tony254
 
sasa mbona mnajamba jamba kwenda kujieleza mahakamani? democratic country?
Tatizo ni kuwa Kenya tulikuwa wajinga kukubaliana na Tanzania kufuata line of latitude katika agreement yetu ya mwaka wa 2009 ilhali international law inafuata njia tofauti ya kudemarcate international boundaries. So Somalia wanaweza shinda kesi yao ila sisi pia tutashinda kesi yetu dhidi ya Tanzania. Fuatilia hii kesi kwa karibu. Nyinyi pia mnaweza kushinda kesi yenu dhidi ya Mozambique na kupewa Ruvuma gas basin karibu yote na Mozambique kubaki na gas basin kidogo sana.
 
wacha upumbavu makubaliano ya 2009 ni mapitio ya boundaries zilizokuwapo tangu Uhuru! Sisi hatuna husda ya kwenda kudai mipaka mipya na Mozambique! Plse naomba usinisumbue juu ya hili kuna thread juu ya hili nimeelezea wizi wenu woote!

UN wana ramani hii
kharidad3.jpg

chuki au mnafanya mambo ya kijinga kama kuzuia mahindi huku mna njaa! kwahiyo una-support kufgungwa kambi za kakuma na Daadab kisa mmepelekwa mahakamani kwa kuipa Somali territory? Si muache mahakama iamue kama mna haki na mlichojitwalia kinyemela?
hii ni moja ya jambo la kijinga hawa jamaa wanafanya, so Kenya mnapandwa na hasira mpaka mnazuia mahindi kuingia nchini kwenu yani mnaamaamuzi ya ajabu, tulizeni ball TZ ndio tumeanza ule ujinga wakutumia rasilimali zetu kujitangaza tumewakomesha na Serengeti ndio namba one mbuga ya wanyama, take it or not😀😀
 
Back
Top Bottom