Kenya Yaishinikiza Tanzania Kupitia EAC Kufungua Ushoroba Mpya wa Barabara ya Mombasa-Holili-Singida Kwa faida ya Bandari ya Mombasa

Kenya Yaishinikiza Tanzania Kupitia EAC Kufungua Ushoroba Mpya wa Barabara ya Mombasa-Holili-Singida Kwa faida ya Bandari ya Mombasa

Makongamano in research methodology ni sawa interview quality ya michango inategemea na level of knowledge ya wachangiaji.
Hakuna anaye hodhi 'quality of knowledge', hili ndilo unaloshindwa kulielewa. Kuwa na digrii hata kumi hakuongezi 'quality' of knowledge' katika mambo yote

Duh! Sasa hata unaingiza vi-'lecture' mshamba kuhusu 'Research methodology'; katika nini? EeeenHeeeee! Wewe jamaa hunishangaza sana mara nyingi humu JF.
 
Wewe Huwa unadhani una akili kushinda woote ,huu nao ni aina ya ugonjwa wa akili 😆😆

Mwisho hakuna maslahi binafsi ya mfanyabiashara yatakuwa mbele at expense ya maslahi ya Nchi tena mfanyabiashara mwenyewe atanufaisha jirani.
Ndugu maamuzi ya biashara na uchumi yana angle nyingi.

Kuanza kukupa somo la strategic decision ni siku nzima
.
Embu wapeni nafasi za kutumia akili, watu wenye akili kweli.

Sio wapuuzi mnaowaanzishia mada humu kama Msechu na kuwasifia wana akili wakati ukiwasikiliza zero.

Nchi Ina vijana wana ufahamu wa maswala ya uchumi na investment mpaka unajiuliza mbona huyu sio waziri.

Mwigulu, Nehemia, Mafuru na mapoyoyo mengine wakiongelea finance na uchumi hawamfikii hata robo yule afisa masoko wa UTT-HAMIS kwenye YouTube video yao (yaani hata robo hawafiki).

Serikali iliyojaza watu wajinga ndio maana ina mawazo ya kurudi nyuma.
 
Hakuna anaye hodhi 'quality of knowledge', hili ndilo unaloshindwa kulielewa. Kuwa na digrii hata kumi hakuongezi 'quality' of knowledge' katika mambo yote

Duh! Sasa hata unaingiza vi-'lecture' mshamba kuhusu 'Research methodology'; katika nini? EeeenHeeeee! Wewe jamaa hunishangaza sana mara nyingi humu JF.
Ndugu quality strategic decision ni data and use of data to interpret finding ndioresearch. Iwe ni days za ndani ya kampuni, za soko au za serikali.

Ufundishwi research methodology kwa sababu ya kuandika dissertation tu; unatakiwa utumie hizo skills mbele kwenye ajira huko mbele au ukiwa kwenye strategic decision making position.

Maamuzi ya strategic yanahitaji data na hakuna mtu mwenye uwezo wa ku-compile data kama serikali, sasa kuitisha makongamano na kudhani hiyo ndio source kuu ya maamuzi ya kibiashara au dira ya uchumi ni ujinga to say the least.

Shida yako ni kudhania vitu kutoka kichwani kwako badala ya kufahamu how things work in the world.
 
Strategic planning ni data za serikali sio upuuzi mwingine, wanaitana kwa masaa ukumbi imejaa halafu asilimia 90% ya michango ukisikiliza upuuzi mtupu
Mkuu, 'strategic planning' ya kitu gani hasa; biashara? shipping, trade; na matakataka chungu nzima humoooo!
'Strategic Planning' ya serikali siyo ya jambo moja tu unalolijuwa wewe pekee? Ni ujumla wa mambo mengi sana, mengine hata ya mahali pa kupitisha vinyesi na uchafu mwingine ili wananchi wasidhurike.

Sasa, kama unazungumzia 'strategic planning' (sijui kwa nini lazima iwe 'strategic') ya maswala ya biashara, usidhani ni hizo digrii za biashara pekee ndizo zinazohitajika kufanya kazi hiyo ya 'planning' huko. Kuna 'diversity' ya watumiaji katika eneo hilo pia; kila mtumiaji wa huduma hiyo anazo 'perspective' zake na uzoefu wake. Huwezi kung'ang'aniza tu uliyosoma darasani kwako ndio uwe mwongozo wa sekta hiyo.
 
Toka mwalimu nyerere ile ni security zone, wakenya waelezwe ile barabara inadhibitiwa kuzuia isafirishaji wa meno ya tembo na magendo kama madawa ya kulevya, na nyara mbalimbali, hiyo ilitokana na ripoti za kiusalama toka miaka ya 1980, kwani serikali hawana hiyo hadidu ya rejea, wasilete utani,
 
Wakilegea bandari ya Dar inakwenda kujifia kifo cha mende lazima wawe macho, wasijaribu kuchezwa shere mchana kweupe, though kuna mengi ya usalama wa uchumi wetu wamechezea sana basi tu ni vile watu tunakaa kimya, kwenye hilo wasijaribu
 
Hakuna feasibility au facts zozote zinazo support ulichoandika, acha wafungue tuu ili miji inayopitiwa na hiyo barabara ikue, waweke na fee per mile tupige pesa, acha akili za kimaskini na roho mbaya
 
Mkuu, 'strategic planning' ya kitu gani hasa; biashara? shipping, trade; na matakataka chungu nzima humoooo!
'Strategic Planning' ya serikali siyo ya jambo moja tu unalolijuwa wewe pekee? Ni ujumla wa mambo mengi sana, mengine hata ya mahali pa kupitisha vinyesi na uchafu mwingine ili wananchi wasidhurike.

Sasa, kama unazungumzia 'strategic planning' (sijui kwa nini lazima iwe 'strategic') ya maswala ya biashara, usidhani ni hizo digrii za biashara pekee ndizo zinazohitajika kufanya kazi hiyo ya 'planning' huko. Kuna 'diversity' ya watumiaji katika eneo hilo pia; kila mtumiaji wa huduma hiyo anazo 'perspective' zake na uzoefu wake. Huwezi kung'ang'aniza tu uliyosoma darasani kwako ndio uwe mwongozo wa sekta hiyo.
Kazi kweli kweli

Ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.

National economic policies (strategic planning), tena ishakuwa na hadithi za kutolea kinyeshi kwani hii mada inazungumzia strategic planning ya kujenga sewage system au urban planning.

Kwenye kichwa chako kila hoja inafaa kokotę.

Maamuzi ya uchumi, biashara na policies (sera) zake ni data husika, na hakuna credible source kama data za serikali.

👋
 
Shida yako ni kudhania vitu kutoka kichwani kwako badala ya kufahamu how things work in the world
Bahati nzuri maswala ya matumizi ya 'data' na namna ya kuzipata siyo jambo unaloweza kunivunga juu yake, kwa maana hiyo ni sehemu ya maisha yangu kwa muda mrefu; hata kama siyo hizo 'data' za uchumi/biashara zinazokutia kiwewe wewe.
Kwa hiyo usifikiri unajadili hapa na mtu asiye elewa chochote. Ninapo kusoma, na kuona unavyo hangaika na kujipa ujuaji mwingi, naelewa tu kwamba hiyo ni hulka ya usomi wanayokuwa nayo watu wengi, hasa wale wanaodandia hizi fani kwa bahati bahati tu.
Wewe unapozungumzia mambo ya biashara/uchumi, pamoja na kuwa sina uzoefu wa maeneo hayo, lakini naelewa unachozungumzia, na wala sioni cha ajabu unacho dhani wengine hawawezi kukifahamu.
Watu wanachagua fani/maeneo na kuyaacha mengine, siyo kwa sababu hawawezi kuyamudu hayo unayofikiri wewe pekee ndiye mwenye uwezo wa kuyamudu.
 
Sasa kama uelewi data za biashara na uchumi zinavyokuwa interpreted kwenye maamuzi ya sera za tunajadili kitu gani.

Mada inajadili sera za uchumi wa regional blocks (free movements of goods). Wewe Una introduce mambo yasiyo husika nje ya mjadala; halafu unataka tujadili hayo mambo yako.

Mtu mzima hovyo kweli.
 
Kazi kweli kweli

Ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.

National economic policies (strategic planning), tena ishakuwa na hadithi za kutolea kinyeshi kwani hii mada inazungumzia strategic planning ya kujenga sewage system au urban planning
strategic planning ya kujenga sewage system au urban planning.

Kwenye kichwa chako kila hoja inafaa kokotę.

Maamuzi ya uchumi, biashara na policies (sera) zake ni data husika, na hakuna credible source kama data za serikali.

👋
Sasa kwani wewe huoni kuwa kuna uhusika wa 'economics' katika kushughulikia maswala ya kinyesi? Ndiyo maana ninakwambia kuwa upo 'narrow minded'; unategemea sana elimu ya kukariri vitabuni zaidi kuliko matumizi ya elimu hiyo
 
Nchi ya Kenya Kupitia Mgongo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC inafanya juhudi kubwa ya kuishinikiza na kuihujumu Tanzania Kwa kuwarubuninkina Rwanda,Burundi na DRC Ili kufungua njia Mpya ya usafiri wa barabara.

Ushoroba unaopigiwa chapuo na Kenya ni WA Central Corridor ambao unaanzia Barabara ya Kutoka Mombasa-Voi-Taveta/Holili-Arusha-Singida Hadi Bujumbura via Kahama kwamba itapunguza umbali wa Transit goods Kwa zaidi ya km 350 badala ya Ushoroba wa Northern Corridor wa kutoka Mombasa-Kampala-Kigali Hadi Rwanda/DRC.

Lengo la Kenya sio kuwasaidia wasafirishaji Bali ni kuua Bandari ya Dar na kupokonya Wateja wa Tanzania ambao ni Rwanda,Burundi na Kaskazini mwa DRC ambao wanatumia Njia ya kuanzia Bandari ya Dar-Moro-Dodoma-Singida-Kahama Hadi Nchi hizo.

Naomba Serikali isikubali Kufa ya jambo hili Kwa Kisingizio Cha mtengamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na kukuza biashara maana itapunguza zaidi ya robo ya mizigo Bandari ya Dar na kuifaidisha Mombasa.

View: https://twitter.com/The_EastAfrican/status/1817152138822246778?t=RN3quU6xyzkIhdhRJi3zmw&s=19

My Take: Kama Wakenya Wana hamu sana ya Kutumia njia hiyo ni Bora Serikali iwaeleze kwamba itafungua njia hiyo mara baada ya kukamilisha ujenzi wa njia zifuatazo:

1. Kupanua kina na kununua vifaa vya Kisasa Bandari ya Tanga.

2. Kujenga Barabara ya Kutoka Tanga-Handeni-Kibaya-Chemba-Singida

3. Kujenga SGR ya kutoka Tanga-Same-Arusha-Musoma

4. Kujenga na kuimarisha Bandari ya Musoma pamoja na kununua meli ya kubeba treni/behewa za mizigo.

Tukifanya hayo ndio Sasa tutaweza kushindana vizuri na Bandari ya Mombasa vinginevyo itakuwa ni kujitia dole mwenyewe na kupoteza pambano la Biashara ya logistics Kwa knockout.

@) Greenline ndio WaKenya wanapigia chapuo.

b) Blueline ndio njia proposed ya Serikali Kujenga.

View attachment 3054817

===========

Transporters accuse Tanzania of laxity in geofencing the Arusha-Singida road, which forms part of the Northern Corridor, but some observers blame it on the insidious competition for business between Mombasa and Dar es Salaam ports.

If the corridor increases efficiencies, importers and exporters in some parts of Tanzania, Burundi and DRC might prefer Mombasa to Dar es Salaam as their port of choice.

Transporters between Mombasa and Bujumbura are yet to fully utilise the Voi-Taveta/Holili-Arusha-Singida road network, part of the trunk road between the two cities, because Tanzania is yet to geofence the Arusha-Singida stretch.

A road is geofenced when it has inspection points, and cargo passing through it can be tracked electronically for taxation and to avoid dumping of goods.

Geofencing guards against theft and loss of cargo while in transit.

The highway, covering 1,545km, was completed in 2018, and is meant to reduce the transit distance from Mombasa to Bujumbura on the Northern Corridor by 358 kilometres.

“We are caught up between the regional ports scramble for business, and that is why we can’t ferry goods past the Taveta One-Stop Border Point, as, past there, the goods would not be tracked and would therefore be declared stolen,” explained Hamisi Juma, a Mombasa transporter.

The Citizen

Tanzania ssis ni watu wa ajabu sana..Kitu Gani Kenya anafanya amabacho hatuwezi kukop na kuwavutia watu wa Rwanda,,Congo na bUrundi ilibkutumia Bandari zetu??
 
Sasa kama uelewi data za biashara na uchumi zinavyokuwa interpreted kwenye maamuzi ya sera za tunajadili kitu gani
Nani kawambia hajui 'interpretation ya data', siyo hizo tu za kiuchumi. Data ni data tu.
 
Sasa kwani wewe huoni kuwa kuna uhusika wa 'economics' katika kushughulikia maswala ya kinyesi? Ndiyo maana ninakwambia kuwa upo 'narrow minded'; unategemea sana elimu ya kukariri vitabuni zaidi kuliko matumizi ya elimu hiyo
Ok hoja yako inahusiana vipi na mada husika wakenya kutaka access ya barabara Tanzania ili waweze kupeleka mizigo maeneo mengine ya trade block kurahisisha free movements of goods on the region.
 
Mada inajadili sera za uchumi wa regional blocks (free movements of goods). Wewe Una introduce mambo yasiyo husika nje ya mjadala; halafu unataka tujadili hayo mambo yako.

Mtu mzima hovyo kweli
Hebu rudi nyuma uone ulivyo upanua mjadala wenyewe wewe mwenyewe hapo!
Unless uwe hujui unacho kiandika.
Toka mwanzo, soma vizuri maelezo yako, kama utaona umejikita kwenye mjadala huo unaoutaja sasa hivi.
 
Wewe mwenye mawazo ya kitajiri na upepo mkubwa kafungue hiyo route
Miaka 60 ya uhuru bado mnaangaika na Matundu ya choo hilo la hiyo highway huwezi kulielewa ...kwa ufupi mmeshindwa nje na ndani....tokeni huko juu
 
Hebu rudi nyuma uone ulivyo upanua mjadala wenyewe wewe mwenyewe hapo!
Unless uwe hujui unacho kiandika.
Toka mwanzo, soma vizuri maelezo yako, kama utaona umejikita kwenye mjadala huo unaoutaja sasa hivi.
Salaleh mimi tena ndio nime-introduce new sub topics kwenye huu mjadala.

Dah umeshinda
 
Ok hoja yako inahusiana vipi na mada husika wakenya kutaka access ya barabara Tanzania ili waweze kupeleka mizigo maeneo mengine ya trade block kurahisisha free movements of goods on the region.
Wewe umewazungumzia akina Kitila, Mafuru katika hoja hii hii unayoiweka sasa au umeipanua na kuruhusu taka zote ziingie?
 
Tanzania ssis ni watu wa ajabu sana..Kitu Gani Kenya anafanya amabacho hatuwezi kukop na kuwavutia watu wa Rwanda,,Congo na bUrundi ilibkutumia Bandari zetu??
Hoja ni ku shorten distance wew unaongelea stori za kukopi na ku paste.

Distance ikiwa fupi nani atanufaika?
 
Back
Top Bottom