Kenya Yaishinikiza Tanzania Kupitia EAC Kufungua Ushoroba Mpya wa Barabara ya Mombasa-Holili-Singida Kwa faida ya Bandari ya Mombasa

Kenya Yaishinikiza Tanzania Kupitia EAC Kufungua Ushoroba Mpya wa Barabara ya Mombasa-Holili-Singida Kwa faida ya Bandari ya Mombasa

Salaleh mimi tena ndio nime-introduce new sub topics kwenye huu mjadala.

Dah umeshinda
Sihitaji "ushindi" hapa; ninachohitaji ni kukufahamisha tu kwamba usiwe 'snobbish' sana unapozungumzia maswala muhimu hapa. Taaluma yako usiione kuwa ni ya kipekee sana na muhimu kuliko zingine, ambazo zote zina mchango mkubwa katika maswala ya nchi yetu.
 
Wewe umewazungumzia akina Kitila, Mafuru katika hoja hii hii unayoiweka sasa au umeipanua na kuruhusu taka zote ziingie?
On what contexts nimewazungumzia tu bila ya sababu au? Kulikuwa na comparison.


View: https://m.youtube.com/watch?v=FuAcgpcpjUU&pp=ygUJVVRUIEhhbWlz

Kama unajua finance msikilize huyo jamaa akichambua investment option za UTT-Hamis, risk, risk aversion strategy, their negations tactics to get better deals for their client and so forth; yuko very deep.

Mtu anaeongea hayo mambo kama unajua finance and investments he is deep. Ndio niliemlinganisha nao na nimemtaja kwa position yake ya kuwa ukiwasikiliza hao watu hawafiki hata robo ya huyo jamaa.

Nimemtumia huyo kama benchmark kwakuwa kwenye kichwa chako ni kuropoka tu unadhani kila mtu anafikiria na kutafsiri vitu kwa uwezo wako.

Badala ya ku-assume mtu kaandika nini take time kuelewa kilichoandikwa.

Can’t waste anymore time na wewe kwenye hii mada huna jipya zaidi ya ujuaji wako na ubishi wa kitoto tu, be it you an elderly chap.
 
Nilisoma mtandaoni Kenya ina the Cabinet Secretary for Roads and Transport ana kazi ya kufanya vikao na mawaziri wa Uganda, Rwanda na DR Congo kuhusu ushirikiano wa biashara huku wakiitenga Tz.
Tumalize haraka SGR isijekuwa bad deal.

Soma

Wanafiki sana hawa.. chochote wanachokiongea ni kwa ajili yao..tu Tanzania ingepata Rais mwenye maono mazuri kama ya Rais wa Rwanda tungefika mbali sana
 
Can’t waste anymore time na wewe kwenye hii mada huna jipya zaidi ya ujuaji wako na ubishi wa kitoto tu, be it you an elderly chap.
Hivi kweli kwa akili yako timamu unataka nipoteze muda wangu kusikiliza haya uliyoweka hapa; kwa sababu zipi hasa! Unataka nikachukue digrii huko? Ya nini?
'Context' ya mjadala huu unataka kuufanya uwe wa kitaaluma bila ya sababu kabisa. Siyo kila mtu anahitaji kuwa fundi wa Finance, na siyo Finance pekee inayoweza kuendesha maisha ya waTanzania wote. Yo simply do'nt get it!
 
Hivi kweli kwa akili yako timamu unataka nipoteze muda wangu kusikiliza haya uliyoweka hapa; kwa sababu zipi hasa! Unataka nikachukue digrii huko? Ya nini?
'Context' ya mjadala huu unataka kuufanya uwe wa kitaaluma bila ya sababu kabisa. Siyo kila mtu anahitaji kuwa fundi wa Finance, na siyo Finance pekee inayoweza kuendesha maisha ya waTanzania wote. Yo simply do'nt get it!
And how exactly unatengeneza economic na financial models za kufanya strategic decision based on advantages a disadvantages za hiyo sera ya kufungua mipaka kama hujui decision processes za uchumi na finance.

Let me guess kutumia data za kutengeneza sewage system, si ndio.

Nimekupa ushindi tayari mjadala wetu uishe sasa mtu unakiri ufahamu wako wa decision process ya mada husika limited ila bado unaendelea kubisha, uoni tatizo we mwenyewe.

You win 🏆
 
Sioni ubaya wowote. Kama wewe ni Burundi na njia fupi ni kupitia Kahama ba Holili, why not? Lakini sidhani kama it will be cheap hata kama ni shorter kwa sababu haikujengwa kwa transit traffic. Isitoshe, itabidi alipe transit fee mara 2 Kahama ba Holili. Kama cargo inaenda na kuishia Kenya, sawa, lakini kama inaenda nje ya East Africa nadhani Treaty haikuruhusu hayo. Ni sawa na Bologonja ilivyofungwa kwa Watalii wa Serengeti, kila Nchi inaweza kuchagua uingilie wapi, kwa hiyo kama onakwenda China tunaweza kusema itoke Kahama hadi Ruvu ndoyo iende Holili yaani ifiate njia ya treni. Wanatapatapa tu.
 
And how exactly unatengeneza economic na financial models za kufanya strategic decision based on advantages a disadvantages za hiyo sera ya kufungua mipaka kama hujui decision processes za uchumi na finance.

Let me guess kutumia data za kutengeneza sewage system, si ndio.

Nimekupa ushindi tayari mjadala wetu uishe sasa mtu unakiri ufahamu wako wa decision process ya mada husika limited ila bado unaendelea kubisha, uoni tatizo we mwenyewe.

You win 🏆
Nadhalia ya elimu ya vitabuni imekuharibu akili wewe.
 
Ndugu quality strategic decision ni data and use of data to interpret finding ndioresearch. Iwe ni days za ndani ya kampuni, za soko au za serikali.

Ufundishwi research methodology kwa sababu ya kuandika dissertation tu; unatakiwa utumie hizo skills mbele kwenye ajira huko mbele au ukiwa kwenye strategic decision making position.

Maamuzi ya strategic yanahitaji data na hakuna mtu mwenye uwezo wa ku-compile data kama serikali, sasa kuitisha makongamano na kudhani hiyo ndio source kuu ya maamuzi ya kibiashara au dira ya uchumi ni ujinga to say the least.

Shida yako ni kudhania vitu kutoka kichwani kwako badala ya kufahamu how things work in the world.
SAHIHI

Unamwangaza sana...

Kujenga taasisi imara ni jambo linalofungamana na upeo na uwezo wa kutafsiri 'sura na mienendo' ya mambo kwa data fasaha; na tena(1) za msingi na (2) kwa uweledi katika kuzisaka, kuzitumia na kuzichambua...

Hili nalo ni suala lenye mengi ya ulazimu wa miundo thabiti ya kiutendaji, maamuzi na utekelezaji--ni kweli kuna tatizo la 'dhana ya ushirikishwaji' katika mambo nyeti ya 'kupanga maendeleo' hapa kwetu na khasa katika muktadha wa 'mashauriano ya watendaji na wanajamii' , consultations, yanapohusisha umma usio 'Elimu ya Kina Mambo'...

Uzoefu wa miye kama mtu kuwa katika shughuli za jamii na miradi, umenipatia utambuzi wa jinsi 'Ukosefu wa Elimu ama mapana ya uelewa' katika jamii ni gharama kiuchumi na fedha na fadhaa ya kiutamaduni; kuna namna, 'jamii isiyo na taamuli'--mambo ya kujifahamu, inaponza utendaji wote mzima wa serikali na jamii yenyewe.

'Jamii isiyo na taamuli' ni jambo mtambuka... Linaathiri shughuli za serikalini na za jamii; unapoona watu wanajihesabia 'usomi' na kumbe usomi wenyewe ni utundu tu wa maandiko na 'kusukuma siku' katika shughuli za maendeleo ni dalili ya 'Elimu ya Mchongo' kutamalaki katika suala zima la 'kuelimishana' na 'kupeana madaraja jina/uhitimu'--jambo la kupelekea aibu ya kukosa uweledi wa kweli na tena kukosa dhamira ya kujifunza ili kukwamua adha za kimaisha katika jamii imzungukayo mtu--ile kwa dhati...

Kwa hivyo, unapatia hasa unapokosoa mambo ya 'ukosefu wa uweledi' katika fani, utumishi na karia...

Ikiwa kuna la kushauri katika hili; ni kukazia umuhimu wa 'Taamuli katika Jamii'--mambo ya 'Mwenge wa Uhuru'...

Sasa mambo ya 'Taamuli katika Jamii' ni ujumuifu wa imani, elimu bora na roho ya kujizatiti katika utumishi/kazi/huduma na matendo...

Kiufundi, mambo mengi ya migogoro ya kijamii , iwe Tanzania ama kungineko, hayatatatuliwa, kwa 'elimu' na 'uongozi' kwa sura ya kileo ya mambo--hata kudai utaasisi wa demokrasia ya kiliberali; kwa kuwa khasa, udhahiri wake ni mambo yanaweza kutatuliwa kupitia 'ukombozi wa kifikra' na 'imani'...

Umahiri katika kazi na huduma unakwamishwa na elementi ya makusudi yenye kuharibika katika mambo kama vile umendeaji mbovu wa nafasi za ajira, utumishi, uongozi, utendaji n.k miongoni mwa wanajamii wenyewe--mambo ya jamii na utamaduni.

Rushwa na mmomonyoko wa maadili ndiyo kiini cha kufubaza jitihada za dhamira za kimaendelo ya kweli.

Ni rahisi hata kubaini 'maandiko yenye usanii' katika utayarishaji wa 'Miradi ya Maendeleo' na tena 'utendaji wenye usanii' kufuatia 'utekelezaji wake'... Lakini nani amfunge paka kengele?

... Katika ulimwengu wa leo wa 'Uchumi Mauti' kila kitu ni 'Usanii' na kulana danzu...

'Mikakati' ni jambo linalotaka umakini katika Mipango na miongozo ya Utendaji, sera na sheria makini, na basi kudhibiti mianya ya 'usanii' katika utekelezaji; hili ni kwa maslahi mapana ya jamii nzima 'yenye kujielewa' vema ama sivyo ni mwendo wa muktadha akilifu wa kompromaizi kati ya 'watawala' na 'wataliwa'. Hivyo basi maslahi ni ugani wa mambo ya nyakati, utendaji na makusudi -- kwa sura pana, ya muda mfupi na pia muda mrefu... Wakati huo huo mikakati ni sanaa ya 'mapiku' kwa wale 'wanaojifahamu ilivyobora'--jambo linalohitaji 'kukesha macho'...
 
Tanzania Ina potential kubwa sana kuwa economical superpower wa Africa kama watu wetu watatuliza vichwa/ kizazi kingine chenye fikra pevu na haraka kikishika dola.
Tunahitaji twist ndogo sana kuibadili nchi Kwa muda mfupi sana.
Siamini kama hawa tulionao wanaweza kuwa na akili yakuitoa nchi hapa.
Nimeisoma hii sehemu na kuirudia, kwa kweli naona Mungu alitupendelea sana kutupatia hii jiografia ya nchi yetu!
 
Back
Top Bottom