Kenya yaja na muundo mpya wa Jeshi la Polisi

Kenya yaja na muundo mpya wa Jeshi la Polisi

Huu ni upuuzi wa kuiga kila kitu. Police jina lenyewe tu siyo service. Police service ni kitengo ndani ya police force.
Wakenya kwa kukurupuka hawajambo.
 
Moja ya kazi ya police ni law enforcement. Sijui watakuwa wanafanya nini.
Au majukumu ya law enforcement wameachiwa KDF!?
IMG_20180916_053704_274.jpg
 
Back
Top Bottom