Wameachana na Jungle Uniforms ili kuleta maana halisi ya Police Service.
By the way nawapongeza sana. Kwa miaka mingi nimekuwa nikilipigia kelele suala hilo huko nchini Tanzania kwamba Jeshi letu la Polisi libadirike kutoka Police Force kwenda Police Service lakini wapi na siku waliposikia ndiyo eti wakaja na Polisi Jamii.
Kwa mazingira ya mchi yetu bado tunahitaji sana kiwa na Police force kwa kuwa tayari tuna Field Force Unit hiyo ingetosha ma haya maeneo mengine yangebaki kutoa services tu. Just imagine hadi trffic ni Police Force, ugomvi wa mke kutukanana na mume majirani wanaripoti Polisi inakuja defender imejaa Polisi wenye silaha za moto hasa....huu si ukichaa huu?