Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anajitahidi,ila hamfikii Magufuli
enda kwanza umalize hile sgr, kibaha highway na rufiji zilizokwama tangu jadi.Corona inawagaragaza kichizi, wengine hatuna pesa za kupoteza kwenye myth, hizo pesa zinaenda kwenye ujenzi wa Taifa
enda kwanza umalize hile sgr, kibaha highway na rufiji zilizokwama tangu jadi.
Asante kwa kuorodhesha miradi inayokukwangua roho the most, bado ipo mingi inakuja, andaa maumivu zaidi tu.enda kwanza umalize hile sgr, kibaha highway na rufiji zilizokwama tangu jadi.
Mlishindwa kuimaliza, mkulu wenu aliwahi kuomba hata malaika aibuke na kuua mitandao ya kijamii, ni vigumu kuimaliza maana inatumia teknolojia nje ya uwezo wenu, huko kwenu kikubwa mnachoweza labda ni kuzima traffic ya TCRA kama mlivyofanya baada ya uchaguzi, sema wadau bado walicheza na VPN, ila kufuta hii mifumo sio kazi rahisi, muiache tu.
HAHAHA, inaniuma kwa sababu ilikuwa miradi ya kuwatoa kwenye umaskini wa kutupwa na sasa zote zimekwama jinsi airport ya mwanza ilikwama kutoka 2012, bado imebaki tu ile mabanda ya mbuzi kama terminals.Asante kwa kuorodhesha miradi inayokukwangua roho the most, bado ipo mingi inakuja, andaa maumivu zaidi tu.
LOL kumbe na Mwanza airport na yenyewe ipo kwenye list?HAHAHA, inanimuma kwa sababu ilikuwa miradi ya kuwatoa kwenye umaskini wa kutupwa na sasa zote zimekwama jinsi airport ya mwanza ilikwama kutoka 2012, bado imebaki tu ile mabanda ya mbuzi kama terminals.
List ya miradi mlio anzisha na kuacha kati kati ni ndefu, naona hata shughuli za kubomoa daraja za reli mlieka hapo dar. Pole jirani, dalili ilikuwa ile kubana matumizi mlishangilia.LOL kumbe na Mwanza airport na yenyewe ipo kwenye list?
Mbezi Luis terminal na yenyewe bila shaka ipo?