Kenya yakiri vifaa vya kupima COVID-19 vinatoa majibu yasiyoeleweka

Kenya yakiri vifaa vya kupima COVID-19 vinatoa majibu yasiyoeleweka

spencer

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
3,599
Reaction score
3,226
Dr. Amoth, DG, MoH: Some of the challenges with rapid kits is that the test could come out as negative & change in 14 days making these false negatives. Sometimes common colds could test positive for coronavirus causing false positives

spencer,

Leo kila aina ya propaganda zitazidi kuletewa ili kumtetea mtakatifu ....hawajasema hivyo kama olivyo eleza....wanapendekeza kuongeza kasi ya kupima kwa kutumia rapid testing kits ambazo zina changamota zake moja yake ndo hiyo haziko 100% sahihi......sio kwamba wameanza kuzitumia...mkuu kiingereza kinakupa shida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda kwa sababu Magu hakusema kwa kizungu, si unawajua hawa nyang'au walivyo?
wanapita mule mule alipopita JIWE

Sent using Jamii Forums mobile app
Msipindishe....
Ukicheki full video utaona Huyo alikua anajibu swali la mwanahabari alouliza kwanini Tanzania ina wasiwasi na testi zinazofanyika kenya na kunawatu wanapimwa upande wa kenya wanakua positive na wakipimwa Tanzania ni negative. Ndo akawa anaelezea kwanini wao hawatumii rapid test ambayo iko based na antibodies kwa sababu zina false positive na false negatives pia akaelezea kipimo kinachotumika huko ni PCR ambayo ina sensitivity kubwa zaidi.
Nawashauri wale walio na 'aleji' na ukweli wanywe vidonge vya citrizen vitawasaidia.
 
Naona unajaribu kubadilisha anachoongea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom