Kenya yakiri vifaa vya kupima COVID-19 vinatoa majibu yasiyoeleweka

Kenya yakiri vifaa vya kupima COVID-19 vinatoa majibu yasiyoeleweka

Ukisoma maoni na comments za wakenya ni kama wamechangwanywa na wanaomba waachiwe wakafanye kazi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
20200521_023057.jpg
 
Tanzania na Kenya wote wanatumia PCR, lakini majibu yanatofautiana, hakuna nchi kati ya hizi inayotumia rapid test.

Sent using Jamii Forums mobile app
Magufuli alisema mlipima machungwa mkapata ina corona. Hamkutumia pcr kwa sababu pcr ni accurate sana. Itakuwa mlitumia rapid test ambayo sio sensitive sana. Usijaribu kusema eti pcr yenu ndio ilitoa matokeo eti machungwa yana corona. Pcr ni mashine very accurate. Inatumika na wanasayansi sana kwenye research yao. Inatumika pia na polisi wanaofanya uchunguzi wa crime scene. Wanachukua damu iliyo kwenye crime scene na kutumia pcr mashine kuanalyse dna.
 
Back
Top Bottom