Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Sasa unamtetea huyo nyang'au ili iweje?Msipindishe....
Ukicheki full video utaona Huyo alikua anajibu swali la mwanahabari alouliza kwanini Tanzania ina wasiwasi na testi zinazofanyika kenya na kunawatu wanapimwa upande wa kenya wanakua positive na wakipimwa Tanzania ni negative. Ndo akawa anaelezea kwanini wao hawatumii rapid test ambayo iko based na antibodies kwa sababu zina false positive na false negatives pia akaelezea kipimo kinachotumika huko ni PCR ambayo ina sensitivity kubwa zaidi.
Nawashauri wale walio na 'aleji' na ukweli wanywe vidonge vya citrizen vitawasaidia.