Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Sasa unamtetea huyo nyang'au ili iweje?Msipindishe....
Ukicheki full video utaona Huyo alikua anajibu swali la mwanahabari alouliza kwanini Tanzania ina wasiwasi na testi zinazofanyika kenya na kunawatu wanapimwa upande wa kenya wanakua positive na wakipimwa Tanzania ni negative. Ndo akawa anaelezea kwanini wao hawatumii rapid test ambayo iko based na antibodies kwa sababu zina false positive na false negatives pia akaelezea kipimo kinachotumika huko ni PCR ambayo ina sensitivity kubwa zaidi.
Nawashauri wale walio na 'aleji' na ukweli wanywe vidonge vya citrizen vitawasaidia.
Tony254 ulisemaje magu alivyosemaga hivi?
HahaaLabda kwa sababu Magu hakusema kwa kizungu, si unawajua hawa nyang'au walivyo?
Yaani najaribu kuwaza huyu jamaa aliyetengeneza hiki kirusi sijui muda huu anajisikiaje au anawaza nini
MK254 kaenda kujinyonga.Nyang'au wako wapi? Shigela amejaribu kuwapigia na tukawaambia drunken officer wenu atampigia Magu kuyamaliza, tayari kesha surrender. Mk254 yuko wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama ila si ulikuwa unabeza hii hatua ya Rais wetu na conclusion yake...Lazima uelewe Rais si mtu mmoja bali ni Taasisi....Na ana intelijensia ya juu sana nyuma yake...Hilo jambo analoongea ukaliona halifai jua kuna timu ya maana nyuma wamelihighlight na kuliona linafaa....Have a nice day.Sie hatujatest machungwa kama nyie.
Kwa hiyo??!!Msipindishe....
Ukicheki full video utaona Huyo alikua anajibu swali la mwanahabari alouliza kwanini Tanzania ina wasiwasi na testi zinazofanyika kenya na kunawatu wanapimwa upande wa kenya wanakua positive na wakipimwa Tanzania ni negative. Ndo akawa anaelezea kwanini wao hawatumii rapid test ambayo iko based na antibodies kwa sababu zina false positive na false negatives pia akaelezea kipimo kinachotumika huko ni PCR ambayo ina sensitivity kubwa zaidi.
Nawashauri wale walio na 'aleji' na ukweli wanywe vidonge vya citrizen vitawasaidia.
Tanzania na Kenya wote wanatumia PCR, lakini majibu yanatofautiana, hakuna nchi kati ya hizi inayotumia rapid test.Msipindishe....
Ukicheki full video utaona Huyo alikua anajibu swali la mwanahabari alouliza kwanini Tanzania ina wasiwasi na testi zinazofanyika kenya na kunawatu wanapimwa upande wa kenya wanakua positive na wakipimwa Tanzania ni negative. Ndo akawa anaelezea kwanini wao hawatumii rapid test ambayo iko based na antibodies kwa sababu zina false positive na false negatives pia akaelezea kipimo kinachotumika huko ni PCR ambayo ina sensitivity kubwa zaidi.
Nawashauri wale walio na 'aleji' na ukweli wanywe vidonge vya citrizen vitawasaidia.
Tafuta citrizen au piritonSasa unamtetea huyo nyang'au ili iweje?
Tatizo wabongo tuna 'manufacture' ukweli wetu tofauti na kinachoendelea. Tunaishi Utopia, raha sanaHizi "rapid test kits" zilishaonyesha matatizo huko ughaibuni kitambo sana. Wakenya na ubishi wao...atleast wamejiridhisha sasa
Maabara ipi Tanzania? Ile ya mapapai?Tanzania na Kenya wote wanatumia PCR, lakini majibu yanatofautiana, hakuna nchi kati ya hizi inayotumia rapid test.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maharage ya mbeyaMtarukaruka wee kama maharage mwisho wa siku mtatulia tuliii.
Ngoja hizo hela zilizowapa mchecheto mzigawane ziishe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hueleweki.Tafuta citrizen au piriton