Magufuli alisema mlipima machungwa mkapata ina corona. Hamkutumia pcr kwa sababu pcr ni accurate sana. Itakuwa mlitumia rapid test ambayo sio sensitive sana. Usijaribu kusema eti pcr yenu ndio ilitoa matokeo eti machungwa yana corona. Pcr ni mashine very accurate. Inatumika na wanasayansi sana kwenye research yao. Inatumika pia na polisi wanaofanya uchunguzi wa crime scene. Wanachukua damu iliyo kwenye crime scene na kutumia pcr mashine kuanalyse dna.