MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Ni nchi ipi ina vifaa vya kutosha vya kupimia corona ?
Hamna nchi iliyojitosheleza kwenye suala la kits, hata Marekani bado kuna maeneo mengi hawajafikisha kits, viwanda vko busy vinazitengeneza kwa kasi. Sema wao wamejaribu sana kufanya tests nyingi na ndio maana nchi yao inaongoza kwa idadi ya waathirika kwa sababu wamefaulu kufanya tests nyingi ukilinganisha na mataifa mengi ambayo yanangoza kwa vifo, wanashtukizwa na vifo maana uwezo wa kufanya mass testing haupo.
Idadi ya waathirika inaonekana nyingi kwa mataifa yenye maabara nyingi zenye uwezo wa kufanya tests, kwa mfano Burundi haijatajwa hata kesi moja ilhali ilisemekana mmojwapo wa waathirika wa Tanzania alitoka na ngoma Burundi.
Kuanzia kesho Kenya inaanza zoezi la mass testing na nategemea namba za waathirika zitapndisha sana kwetu hapa.
Kwa Tanzania maabara ya kufanya test ni moja tu, backlogs zote zinatumwa Dar na kusubiri masiku kabla majibu.