Ninyi mlikua mnasema kwamba Kenya ni miongoni mwa nchi chache zenye uwezo wa kupima Corona hata kabla ya Corona kuingia Afrika, ikumbukwe kwamba, kabla ya Corona kuingia Africa ni Senegal na S.Africa tu ambao walikuwa na uwezo wa kupima Corona, wakati Corona inaingia Kenya, bado hamkuwa na uwezo wa kupima, lakini bado mlikua mnabisha, Tanzania ilitangulia kupata mtambo kabla yenu, ndio sababu sisi hatujawahi kupeleka South Africa, Kenya hadi nwishoni mwa February bado mlikua mnapeleka S.Africa, lazima mkubali kwamba Tanzania ipo vizuri zaidi yenu.