Kenya yakumbwa na uhaba mkubwa wa vifaa vya kupimia Corona

Hutumii facts, unatupia tu pumba kwa mikemko. Shughuli ya kutayarisha maabara na ku'set up' kits sio ya siku moja. Kenya ilianza shughuli hiyo wiki ya pili Feb huku ikiendelea kutuma sampuli S.A. Hadi mapema mwezi machi waziri alipotangaza kwamba shughuli imekamilika rasmi. Hii ni status update ya WHO, Feb 20, Tz bado hamkuwa na uwezo huo.
 
Vipi mbona mnapeleka SA?
 
Kufikia sasa U.S na uwezo wao wote wameweza kupima sampuli 400,000 tu.





US hakuna kit za kutosha wanapima wale tuu wenye hali mbaya sana. Tumetumiwa vimemo na Trump tukiambiwa tukae majumbani, kama tuna dalili.
 
Hiyo test ya thermometer kenya imefanya wangapi? Wacha uboya mwingi haukuona china wanatumia infrared security cameras kuangalia nani kati ya maelfu ya wananchi watafanyiwa Lab Test?
Mbona unatumia akili kama kabati ya Meno? If I contract the virus today and happen to undergoe the infrared red test would I turn positive?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…