Kenya yakusanya kodi mara mbili ya Tanzania - pesa yetu ya ndan

Uongo uko wapi wakati tumegharamia 15% ya mradi na 85% ni mkopo kutoka kwa nchi makandarasi na hii ni kwasababu ya masharti ya mkataba?
Tangu lini mkopo ukawa msaada?
SGR ya Kenya imejengwa kwa asilimia hizi hizi Kenya 15%, 85% mkopo, sio msaada, kutoka Uchina. Ila hukomi kusema mengi sana kuhusu SGR ya Kenya, kila siku, humu Jf. Acha nikupe bad news, hiyo grant ambayo mmepewa ni msaada. Grants sio mikopo.
 
Can you name one thing you've done better or even closer to what we have done.
We already have a massive SGR cruising more than 500km, while you still struggling with a mere 200km.
What about
1.Dar has BRT...phase 1 yet other phases U/C while nyie mmepaint BRT roads
2.Kigamboni is now accessed via bridge where as Likon imebaki story na selender bridge iko u/c
3. JNiA has now same capacity as JKIA..
4..best facility of heart diseases and problems ambayo all neighbours wanakuja Jakaya Cardiac institute
 
Bro mmekusanya pesa ngap in U.S. $ nashindwa kuzielewa hizo fedha kwa pesa yenu
 
You are living in a small propaganda bubble.
5 years ago, Kenya and Tanzania were in the 30% range of electricity connectivity. Tanzania is still there, Kenya is now approaching 70%.

Everything you've done, we've done double.
Tanzania now is at 52% the problem of kenyans is that mnahisi maendeleo mnapata wenyewe
 
I have never seen a president muongo Kama Magufuli. Sasa anadanganya watanzania ati terminal 3 imejengwa kutumia pesa za ndani wakati tunajua si sote hati pesa ni grant from Netherlands.

Mbona kasema mwenye leo leo that 85% ni loan na 15% ni goverment money ..mbona kama ww ndo muongo
 
Yaani budget mzima ya education ldc ni $630mln na Kenya ni $4.7bn[emoji1787][emoji1787][emoji1787]tuusan njoo hapa
Bro tumekarabati shule kongwe 89 kwa billion zaidi ya 150tsh,watoto Wa pri n sec school hawalipi sch fees,tumejenga madarasa 3000 shule za msingi kadhaa madarasa ya kisasa kabisa yenye facility zote...
Hata mkopo wa vyuo vikuu umeongezeka kufikia B450tsh kwa mwaka
 
SGR ya Kenya imejengwa kwa asilimia hizi hizi Kenya 15%, 85% mkopo, sio msaada, kutoka Uchina. Ila hukomi kusema mengi sana kuhusu SGR ya Kenya, kila siku, humu Jf. Acha nikupe bad news, hiyo grant ambayo mmepewa ni msaada. Grants sio mikopo.
Wapi wamesema ni grant..who gives you 300mil usd grant pumbavu
 
Ufanisi wa matumizi kwenu uko vipi?
 
Can you name one thing you've done better or even closer to what we have done.
We already have a massive SGR cruising more than 500km, while you still struggling with a mere 200km.
Ujenzi unaendelea hadi makutopora 722km
 
Asilimia 70% ya Watanzania ni maskini wa kutupwa, https://www.worldbank.org/en/countr...-a-new-picture-of-growth-for-tanzania-emerges
Asilimia 30% ilyosalia ni ya Wahhindi, waarabu na familia za vigogo.
Umepata wapi hiyo takwimu ya 30% wahindi Tanzania?
Acha nikupe bad news, hiyo grant ambayo mmepewa ni msaada. Grants sio mikopo.
Umajununi huo wakati huna ndala mguuni.
Ningependa sana kuona treni yenyewe. Hebu weka picha... If you don't mind


Reli haijakamilika yote ila jionee maji yanavyotulia hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…