pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
SGR ya Kenya imejengwa kwa asilimia hizi hizi Kenya 15%, 85% mkopo, sio msaada, kutoka Uchina. Ila hukomi kusema mengi sana kuhusu SGR ya Kenya, kila siku, humu Jf. Acha nikupe bad news, hiyo grant ambayo mmepewa ni msaada. Grants sio mikopo.Uongo uko wapi wakati tumegharamia 15% ya mradi na 85% ni mkopo kutoka kwa nchi makandarasi na hii ni kwasababu ya masharti ya mkataba?
Tangu lini mkopo ukawa msaada?