Yani wanyarwanda wametapakaa Tanzania zaidi ya wahaya wachaga wanyakyusa na makabira megine? Wewe ni kichaa unaejitia propagandistUmakini umeongezeka kiasi kwa sasa lakini tayari wanyarwanda walishatapakaa ktk taasisi zote nchini elimu wapo,afya wapo,kilimo,tamisemi ndo usiseme sasa watashindwaje kesho kuwa viongozi wakubwa wa kuongoza nchi.
Tanzania kuna wageni wengi sana kutoka nchi zinazotuzunguka lakini hutujawahi kuwa uchi kwa yeyote yule.Wanyarwanda wapo nchini tumesoma nao humu nchini wakifaulu kutoka ktk kambi zao na wengine wakiishi uraiani tumeendelea kusoma nao hadi vyuo vikuu wapo wameajiriwa na serikali yetu wengine wamepata na uraia kabisa lakini hiyo haiwaondolei ukweli kuwa ni watusi ,wahutu na wengineo kwani wana ndg huko kwao na wana mawasiliano.
Sikurupuki kuandika hiki wapo kwa sasa wamekuwa wenyeviti wa mitaa,wenyeviti wa vyama wilaya hadi mikoa.Upo mkoa mmoja nchini mwenyekiti wake wa mkoa ni mkazi wa Rwanda aliyejipatia uraia hapa kwani wazazi wake walifika huku wakaweka makazi na kuishi but ni mtusi pure.
Vikao vya nec yumo kwanini asije siku moja akawa raisi wa nchi na hata asipofanikiwa siri za nchi atazijua na aweza kuzilikisha kwa kagame vyema.
Kwa taarifa yako kagame anaijua tz yetu kuliko hata ikulu yake.
Sisi watanzania hatuna hofu na wageni kabisa kwani tushawahi kuwa na wasomali wengi Tu kwenye system na hawajahi Fanya lolote zaidi yetu.Marekani ni nchi isiyokuwa na mwenyewe inacombine mataifa yote duniani.Jiulize ni watanzania wangapi wameajiriwa Rwanda wakifanya kazi kama nyie mlivyo huku tz.
Sitakiwi kutaja majina na nafasi za watu kwani wanajijua hata humu wapo.Ni mtanzania yupi aweza kupata wadhifa Rwanda na uraia na akaishi kama wao wanavyoishi nchi nyingine.
Ninyi kwa ninyi mnauana mtawezaji kuishi na wageni.Usifananishe na vitu visivyofananishika kwani watanzania hatujawahi vunja haki za wakimbizi hata aiku moja.
Immigration ya nchi gani hiyo ??Hawataweza kwa hilo nakuhakikishia.mpaka sasa immigration inaorodha ya wanyarwanda ,warundi, wakamba wote waliozaliwa hapa Tanzania na wameandikishwa kwa majina hata kama mzazi wako alikuja kabla ya Uhuru wa Tanganyika. Hizi nakupa ni info za ndani.
Acha kuhara humu jf wakati nyanyaako yuko anakufa njaa kibera.Wanyarwanda wanadhani Kenya in Tz bila kujua wanachezea simba. Somalia,Sudan na Uganda hawajawapea onyo? The government of Kenya will bring "Liberation" to them had I washangae.
Vichuguu vyao?? Apolojaize!! Kichuguu ni mimi tu, na vijukuu ni familia yangu!Hahahah. Najitolea kukutafsiria maana ya jina KIMONYO. Kimonyo ni mdudu fulani kama siafu ila yeye mkubwa kidogo mweusi nae anatengeneza vichuguu vidogo sana vyeusi pia havifikii ukubwa wa vile vinavyotengenezwa na mchwa. Vichuguu vyao vinaitwa Ibisindu wakati vile vya mchwa vinaitwa Imigina. Kwa tafsiri ya kiingereza sikushauli uwasubiri kina Rufufu na Dj Mark maana wale wanaangalia tu tukio then wanaliwekea maneno yao ndo maana wanachotuambia ukiangalia kiko tofauti na subtittles, usishangae ukiwapelekea hii habari wakakwambia hawajui ina maana gani wakati kila siku wanatutafsiria movie za kina Rambo
Hahahaha sikujua kama hili jina lina hati miliki, samahani sana kama kuna usumbufu nimeusababishaVichuguu vyao?? Apolojaize!! Kichuguu ni mimi tu, na vijukuu ni familia yangu!
Nimekusamehe lakini sitakusahau!!Hahahaha sikujua kama hili jina lina hati miliki, samahani sana kama kuna usumbufu nimeusababisha