Wanyarwanda wapo nchini tumesoma nao humu nchini wakifaulu kutoka ktk kambi zao na wengine wakiishi uraiani tumeendelea kusoma nao hadi vyuo vikuu wapo wameajiriwa na serikali yetu wengine wamepata na uraia kabisa lakini hiyo haiwaondolei ukweli kuwa ni watusi ,wahutu na wengineo kwani wana ndg huko kwao na wana mawasiliano.
Sikurupuki kuandika hiki wapo kwa sasa wamekuwa wenyeviti wa mitaa,wenyeviti wa vyama wilaya hadi mikoa.Upo mkoa mmoja nchini mwenyekiti wake wa mkoa ni mkazi wa Rwanda aliyejipatia uraia hapa kwani wazazi wake walifika huku wakaweka makazi na kuishi but ni mtusi pure.
Vikao vya nec yumo kwanini asije siku moja akawa raisi wa nchi na hata asipofanikiwa siri za nchi atazijua na aweza kuzilikisha kwa kagame vyema.
Kwa taarifa yako kagame anaijua tz yetu kuliko hata ikulu yake.