Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakishatupenda, then what?Kuna Mzee mmoja wa kihindi nilikuwa naongea nae. Yeye ameishi inchi nyingi za Africa. Alisema wakenya hawawapendi kabisa watz. Wanatuchukia sana. Akadai sababu kubwa ni walikuwa wanautaka mlima Kilimanjaro.
Haya ni mambo ya kupita. Maboarder yalikuwepo na tutakufa tutayachaFanyeni mnachotaka wajinga nyie! Kuna wengine 9000 wamekamatwa aidha fine ama tunapiga mnada! Land south of Tanzania-Kenya border is Tanzania’s territory!
Hujui na huelewi chochote ila unataka kujifanya mjuaju.Tatizo lako wewe ni uwelewa mdogo unaokusumbua, mwisho utasema gari zikikamatwa zimeingia kiholela zichomwe moto, watu walioingia bila vibali pia wachomwe moto, tumia akili uliyopewa na mungu katika kufikiria mambo, kila jambo linapangiwa sheria kutokana na mazingira ya wakati uliopo, kipindi cha Ebola tahadhari iliyochukuliwa mipakani na sasa hivi ni tofauti kabisa, kukutokea ugonjwa wa foot and mounth disease au kimeta, na ikaonekana kuna hatari ya kuenea katika hizi nchi zetu, hata hizo ng'ombe pia zitawashwa moto
OK. We're togetherDiplosia ndio aina mpya ya mipasho!? Pathetic!
Dharau kweli jamaa wanayo haswaaHawa wakenya wanaenda kupigiwa magoti
Ngoja tunyooshane kwanza ili tukikaa kwenye mijadala ya ki diplomasia basi tuwe tunaheshimiana mkuu.
Mkuu akaze tuu mpaka pale wakenya watakapoa acha dharau
Good questionKama na sie tungefata sheria tusingechoma vifaranga
Wakenya bana.....yaani eti wanayaita anayoyafanya rais wetu eti ni "primitive"!Kenya now expresses anger against Magufuli's tough actions towards Kenyans
Kenyan govt angry after Magufuli burns over 6,000 chicks,sells cattle confiscated from Kenyan herders
ATTACH=full]626029[/ATTACH]
Mkuu hawa jamaa bana wanazingua. Nahisi kama hawatupendi designWakenya bana.....yaani eti wanayaita anayoyafanya rais wetu eti ni "primitive"!
Watanzania wenzangu, yaani ina maana sisi tunaongozwa na kutawaliwa ki-primitive primitive kweli? mi sikubali!utaua
Vipi kama vingetaifishwa kuliko kupiga moto?Swala la kuku wala sio lakujadili na wala sio la kidiplomasia.sisi tz tunasheria zetu na lazima sheria zifuatwe na kila mtu,kwani kenyan ndio akinani?
Wewe ndio zuzu kabisa, Tanzania ilishapiga marufuku uingizaji wa vifaranga toka nchi yoyote ile bila kujali kwamba nchi hiyo ina hilo tatizo, hukumbuki sakata la vifaranga toka Malawi pale airport, tunaruhusu uje utotoe vifaranga hapa nchini.Hujui na huelewi chochote ila unataka kujifanya mjuaju.
Soma Sheria ya livestock Movement permit kisha pitia sheria na kanuni zinazohusu udhibiti wa Magonjwa ya Milipuko yasiyotibika. Kisha elewa kwamba Kenya Hakuna na haijarepotiwa kutokea kwa Ugonjwa huo wa mafua ya ndege. Alafu malizia kumsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara akijibu swali kuhusiana na jambo Hilo.
Nafikiri ww ni mtanzania,waliochoma viranga hawakukurupuka,kuna marufuku ya serikali juu ya uingizaji kuku na jamii zake sababu ya mafua ya ndege marufuku hiyo bado haijaondolewa.je kama kama kuku wangekuwa na maradhi nyie ndio mngekuwa wa kwanza kupaza sauti kwa uzembe wa watendaji wa serikali.Vipi kama vingetaifishwa kuliko kupiga moto?
Mpakani walipitaje mkuu? Maana wamechomewa ndani ya boardersNafikiri ww ni mtanzania,waliochoma viranga hawakukurupuka,kuna marufuku ya serikali juu ya uingizaji kuku na jamii zake sababu ya mafua ya ndege marufuku hiyo bado haijaondolewa.je kama kama kuku wangekuwa na maradhi nyie ndio mngekuwa wa kwanza kupaza sauti kwa uzembe wa watendaji wa serikali.