Kenya yamuita balozi wa Tanzania akafafanue sakata la vifaranga na kupigwa mnada kwa ng'ombe

Kenya yamuita balozi wa Tanzania akafafanue sakata la vifaranga na kupigwa mnada kwa ng'ombe

Magufuli kaharibu siasa, uchumi na sasa anaharibu diplomasia ya Tanzania.
 
Kuna Mzee mmoja wa kihindi nilikuwa naongea nae. Yeye ameishi inchi nyingi za Africa. Alisema wakenya hawawapendi kabisa watz. Wanatuchukia sana. Akadai sababu kubwa ni walikuwa wanautaka mlima Kilimanjaro.
Wakishatupenda, then what?
 
Fanyeni mnachotaka wajinga nyie! Kuna wengine 9000 wamekamatwa aidha fine ama tunapiga mnada! Land south of Tanzania-Kenya border is Tanzania’s territory!
Haya ni mambo ya kupita. Maboarder yalikuwepo na tutakufa tutayacha
 
Tatizo lako wewe ni uwelewa mdogo unaokusumbua, mwisho utasema gari zikikamatwa zimeingia kiholela zichomwe moto, watu walioingia bila vibali pia wachomwe moto, tumia akili uliyopewa na mungu katika kufikiria mambo, kila jambo linapangiwa sheria kutokana na mazingira ya wakati uliopo, kipindi cha Ebola tahadhari iliyochukuliwa mipakani na sasa hivi ni tofauti kabisa, kukutokea ugonjwa wa foot and mounth disease au kimeta, na ikaonekana kuna hatari ya kuenea katika hizi nchi zetu, hata hizo ng'ombe pia zitawashwa moto
Hujui na huelewi chochote ila unataka kujifanya mjuaju.

Soma Sheria ya livestock Movement permit kisha pitia sheria na kanuni zinazohusu udhibiti wa Magonjwa ya Milipuko yasiyotibika. Kisha elewa kwamba Kenya Hakuna na haijarepotiwa kutokea kwa Ugonjwa huo wa mafua ya ndege. Alafu malizia kumsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara akijibu swali kuhusiana na jambo Hilo.
 
Hawa wakenya wanaenda kupigiwa magoti

Ngoja tunyooshane kwanza ili tukikaa kwenye mijadala ya ki diplomasia basi tuwe tunaheshimiana mkuu.

Mkuu akaze tuu mpaka pale wakenya watakapoa acha dharau
Dharau kweli jamaa wanayo haswaa
 
Kuna mijitu bhn...hayajui faida za uhusiano wa kidiplomasia...yanawaza ubabe tuh ...asa hapo mmemtia hasara mtu na hao vifaranga wangeingia wangefaidisha baadhi ya watu pia...masuala ya paperwork wangeyatatua tuu
 
Anamuita waziri wetu ye kama nani?mafua ya ndege yalivyoenea ulimwenguni anataka amuumize nani?wao kuingiza kinyume cha Sheria hawachafui uhusiano?
 
Wakenya bana.....yaani eti wanayaita anayoyafanya rais wetu eti ni "primitive"!

Watanzania wenzangu, yaani ina maana sisi tunaongozwa na kutawaliwa ki-primitive primitive kweli? mi sikubali!utaua
Mkuu hawa jamaa bana wanazingua. Nahisi kama hawatupendi design
 
Swala la kuku wala sio lakujadili na wala sio la kidiplomasia.sisi tz tunasheria zetu na lazima sheria zifuatwe na kila mtu,kwani kenyan ndio akinani?
 
Vipi kama vingetaifishwa kuliko kupiga moto?
 
Hujui na huelewi chochote ila unataka kujifanya mjuaju.

Soma Sheria ya livestock Movement permit kisha pitia sheria na kanuni zinazohusu udhibiti wa Magonjwa ya Milipuko yasiyotibika. Kisha elewa kwamba Kenya Hakuna na haijarepotiwa kutokea kwa Ugonjwa huo wa mafua ya ndege. Alafu malizia kumsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara akijibu swali kuhusiana na jambo Hilo.
Wewe ndio zuzu kabisa, Tanzania ilishapiga marufuku uingizaji wa vifaranga toka nchi yoyote ile bila kujali kwamba nchi hiyo ina hilo tatizo, hukumbuki sakata la vifaranga toka Malawi pale airport, tunaruhusu uje utotoe vifaranga hapa nchini.

Wewe ni miongoni mwa mazuzu humu jamvini, wale wote wahusika waliofanya hivyo unadhani hawajasoma hivyo vipengele unavyovitaja?, unadhani kuwa jobless kwako ndiyo kunakupa hasira za kuona wizara nzima iliyoamua kufanya hivyo hawajui kitu ila wewe unayezurura mtaani ndiye unayejua hizo sheria zote, hovyo kabisa wewe.
 
Vipi kama vingetaifishwa kuliko kupiga moto?
Nafikiri ww ni mtanzania,waliochoma viranga hawakukurupuka,kuna marufuku ya serikali juu ya uingizaji kuku na jamii zake sababu ya mafua ya ndege marufuku hiyo bado haijaondolewa.je kama kama kuku wangekuwa na maradhi nyie ndio mngekuwa wa kwanza kupaza sauti kwa uzembe wa watendaji wa serikali.
 
Mpakani walipitaje mkuu? Maana wamechomewa ndani ya boarders
 
Uzuri Mzee wakazi yupo. Wakenya wawaulize wale waliokatalia bombadia
 
Back
Top Bottom