Hii nayo ina apply sasa TanzaniaHeh hiyo slogan si ya kubwa Trump au
Inauma sana kabla ya vita vya Kagera Tanzania ilikuwa Na uchumi imara sana Afrika , vita vya Kagera Na kusaidia nchi jirani kama Msumbiji, Malawi, South Africa, Angola, Zimbabwe n.k ndo zilifanya uchumi wetu ushuke .Wakenya wakatokea kutudharau toka wapate Uhuru wenyewe hawajapata misukosuko,Naamini ndani ya miaka Kumi ijayo tutakuwa Na uchumi imara sana Afrika.Hii nayo ina apply sasa Tanzania
Maana tulijitoa kusaidia sana enzi za kupigania Uhuru , ikasababisha tukabaki nyuma kimaendeleo japo tulipata heshima kubwa duniani
Sasa ni awamu ya kujijenga sisi ,Leo Mh Rais hotuba yake Kagera sugar ,karudia msimamo na sio Kenya tu ,hii ni Rwanda ,Uganda na Burundi
Hakika kwa namna Magufuli anavyopambana naamini hata akimaliza miaka 10 tupate kiongozi kama yeye tenaInauma sana kabla ya vita vya Kagera Tanzania ilikuwa Na uchumi imara sana Afrika , vita vya Kagera Na kusaidia nchi jirani kama Msumbiji, Malawi, South Africa, Angola, Zimbabwe n.k ndo zilifanya uchumi wetu ushuke .Wakenya wakatokea kutudharau toka wapate Uhuru wenyewe hawajapata misukosuko,Naamini ndani ya miaka Kumi ijayo tutakuwa Na uchumi imara sana Afrika.
Dump them if you are able.We should take all this Tanzanian beggers in our streets and dumb them in lake Victoria
Nakuelewa mkuuKama unaona ni pumba si uchanganye na Viroba unywe. Pathetic creature!
Eti Watanzania wengi mnanufaika! Fuateni sheria na kanuni za nchi ili muendelee kunufaika. Mlizoea wizi na Uhujumu. Awamu hii ni tofauti.
And her peopleSo what!? Mnavunja sheria na kanuni za Nchi yetu halafu mnataka tuwachekee tu. Mmezoea UNYANG'AU .....your game is up. It's either you (Kenyans) follow our country's Rules & Regulations (abiding by the Law) or F#%K OFF! God bless Tanzania and its People.
I understand mkuu. But Kenyans are not "Angels" and fair players when it comes to EAC economy. Wametuchezea sana hao jamaa....sasa hivi wamekutana na Chuma ndio maana wanalialia.
Mkuu hakuna issue ya diplomasia hapa wala nini.Mada IPO kidiplosia zaidi. Waliosoma international relationship wataelewa.....so pole
Well said mkuu. Ila kuwachoma wale viumbe kwako ni sawa? Ingekuwa kalamu, kitabu au unga ni sawa hapa issue ni uhai. Sitetei Kenya kuleta kuku but kuchoma motoMkuu hakuna issue ya diplomasia hapa wala nini.
Hapa tuna issue ya kiuchumi, mazingira na afya.
Tunateketeza au tunataifisha bidhaa za kutoka China kila siku ambazo hazijaingizwa kihalali au zina kasoro, au zile za vyakula na madawa hazijapewa vibali na TFDA.
Uzuri ni kwamba Mh.Raisi kasema hata watanzania wakipeleka mifugo au bidhaa kinyume na sheria za huko basi hatua zichukuliwe dhidi yao.
Peleka ujinga Azam wheat flour imezuiwa hata kabla ya uchaguzi! Migogoro ya Loliondo imekuwapo tangu Kikwete akiwa Rais na NGOs za Kenya zilikuwa ziki-promote conflict! Tour vans zilifungiwa kipindi cha JK, Magu hataki upuuzi!
That was inhumane slaughter of chicks. Wangewapulizia dawa ya usingizi kama nusu kaputi kisha wangewapiga moto.Well said mkuu. Ila kuwachoma wale viumbe kwako ni sawa? Ingekuwa kalamu, kitabu au unga ni sawa hapa issue ni uhai. Sitetei Kenya kuleta kuku but kuchoma moto
Ukiona hadi mkenya anataka diplomacy ujue maji yamemfika shingoni, wakwende zao mifugo yao walishe hukohuko nairobiI understand mkuu. But Kenyans are not "Angels" and fair players when it comes to EAC economy. Wametuchezea sana hao jamaa....sasa hivi wamekutana na Chuma ndio maana wanalialia.
Watakaoumia ni wakenyaKwa mfano tukapata mgogoro tukawa hatuna mahusiano chanya nao wazan wataoumia ni kina nani.....serikali au wananchi
It was a prepared chicken missileThat was inhumane slaughter of chicks. Wangewapulizia dawa ya usingizi kama nusu kaputi kisha wangewapiga moto.
Magufuli kiboko yao , sio Kenya tu , mifugo toka Rwanda ,Uganda ,Burundi ikikamatwa inapigwa mnada
Magufuli Make Tanzania Great Again
Asante sana mkuu kwa kumjibu huyo jamaaa.Mkuu hakuna issue ya diplomasia hapa wala nini.
Hapa tuna issue ya kiuchumi, mazingira na afya.
Tunateketeza au tunataifisha bidhaa za kutoka China kila siku ambazo hazijaingizwa kihalali au zina kasoro, au zile za vyakula na madawa hazijapewa vibali na TFDA.
Uzuri ni kwamba Mh.Raisi kasema hata watanzania wakipeleka mifugo au bidhaa kinyume na sheria za huko basi hatua zichukuliwe dhidi yao.