baro
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 3,129
- 4,028
Hii nayo ina apply sasa TanzaniaHeh hiyo slogan si ya kubwa Trump au
Maana tulijitoa kusaidia sana enzi za kupigania Uhuru , ikasababisha tukabaki nyuma kimaendeleo japo tulipata heshima kubwa duniani
Sasa ni awamu ya kujijenga sisi ,Leo Mh Rais hotuba yake Kagera sugar ,karudia msimamo na sio Kenya tu ,hii ni Rwanda ,Uganda na Burundi