Kenya yamuita balozi wa Tanzania akafafanue sakata la vifaranga na kupigwa mnada kwa ng'ombe

Heh hiyo slogan si ya kubwa Trump au
Hii nayo ina apply sasa Tanzania

Maana tulijitoa kusaidia sana enzi za kupigania Uhuru , ikasababisha tukabaki nyuma kimaendeleo japo tulipata heshima kubwa duniani

Sasa ni awamu ya kujijenga sisi ,Leo Mh Rais hotuba yake Kagera sugar ,karudia msimamo na sio Kenya tu ,hii ni Rwanda ,Uganda na Burundi
 
Inauma sana kabla ya vita vya Kagera Tanzania ilikuwa Na uchumi imara sana Afrika , vita vya Kagera Na kusaidia nchi jirani kama Msumbiji, Malawi, South Africa, Angola, Zimbabwe n.k ndo zilifanya uchumi wetu ushuke .Wakenya wakatokea kutudharau toka wapate Uhuru wenyewe hawajapata misukosuko,Naamini ndani ya miaka Kumi ijayo tutakuwa Na uchumi imara sana Afrika.
 
Hakika kwa namna Magufuli anavyopambana naamini hata akimaliza miaka 10 tupate kiongozi kama yeye tena
 
Kama unaona ni pumba si uchanganye na Viroba unywe. Pathetic creature!
Eti Watanzania wengi mnanufaika! Fuateni sheria na kanuni za nchi ili muendelee kunufaika. Mlizoea wizi na Uhujumu. Awamu hii ni tofauti.
Nakuelewa mkuu
 
Fuata taratibu. Sio njia za panya. Alikuwa na Klbali. Na alipoambia avirudishe wakakataa. TANZANIA sio shamba la bibi. Utaratibu ufuatwe.
 
So what!? Mnavunja sheria na kanuni za Nchi yetu halafu mnataka tuwachekee tu. Mmezoea UNYANG'AU .....your game is up. It's either you (Kenyans) follow our country's Rules & Regulations (abiding by the Law) or F#%K OFF! God bless Tanzania and its People.
And her people
 
I understand mkuu. But Kenyans are not "Angels" and fair players when it comes to EAC economy. Wametuchezea sana hao jamaa....sasa hivi wamekutana na Chuma ndio maana wanalialia.
Mada IPO kidiplosia zaidi. Waliosoma international relationship wataelewa.....so pole
Mkuu hakuna issue ya diplomasia hapa wala nini.
Hapa tuna issue ya kiuchumi, mazingira na afya.
Tunateketeza au tunataifisha bidhaa za kutoka China kila siku ambazo hazijaingizwa kihalali au zina kasoro, au zile za vyakula na madawa hazijapewa vibali na TFDA.

Uzuri ni kwamba Mh.Raisi kasema hata watanzania wakipeleka mifugo au bidhaa kinyume na sheria za huko basi hatua zichukuliwe dhidi yao.
 
Well said mkuu. Ila kuwachoma wale viumbe kwako ni sawa? Ingekuwa kalamu, kitabu au unga ni sawa hapa issue ni uhai. Sitetei Kenya kuleta kuku but kuchoma moto
 
Peleka ujinga Azam wheat flour imezuiwa hata kabla ya uchaguzi! Migogoro ya Loliondo imekuwapo tangu Kikwete akiwa Rais na NGOs za Kenya zilikuwa ziki-promote conflict! Tour vans zilifungiwa kipindi cha JK, Magu hataki upuuzi!

Mbona unamwona binadamu mwenzio kama Mungu wako? Au huna kitu kichwani?
 
Well said mkuu. Ila kuwachoma wale viumbe kwako ni sawa? Ingekuwa kalamu, kitabu au unga ni sawa hapa issue ni uhai. Sitetei Kenya kuleta kuku but kuchoma moto
That was inhumane slaughter of chicks. Wangewapulizia dawa ya usingizi kama nusu kaputi kisha wangewapiga moto.
 
I understand mkuu. But Kenyans are not "Angels" and fair players when it comes to EAC economy. Wametuchezea sana hao jamaa....sasa hivi wamekutana na Chuma ndio maana wanalialia.
Ukiona hadi mkenya anataka diplomacy ujue maji yamemfika shingoni, wakwende zao mifugo yao walishe hukohuko nairobi
 
Magufuli kiboko yao , sio Kenya tu , mifugo toka Rwanda ,Uganda ,Burundi ikikamatwa inapigwa mnada

Magufuli Make Tanzania Great Again

Vizuri sana, hawa manyangau ndo wanaisoma namba zaidi sasa wanaelewa who is EA powerhouse
 
Busara za Amina Mohamed, Kenya cabinet Secretary for foreign affairs- governments come and go, the people will always be here.
 
The Sabbath was made for man, not man for the Sabbath. Likewise government. Awamu hii must shape up.
 
Mkuu hakuna issue ya diplomasia hapa wala nini.
Hapa tuna issue ya kiuchumi, mazingira na afya.
Tunateketeza au tunataifisha bidhaa za kutoka China kila siku ambazo hazijaingizwa kihalali au zina kasoro, au zile za vyakula na madawa hazijapewa vibali na TFDA.

Uzuri ni kwamba Mh.Raisi kasema hata watanzania wakipeleka mifugo au bidhaa kinyume na sheria za huko basi hatua zichukuliwe dhidi yao.
Asante sana mkuu kwa kumjibu huyo jamaaa.
 
Back
Top Bottom