kilaghonyi
Member
- Dec 27, 2016
- 39
- 32
Biblia inasema usimjibu mpumbavu usije ukafanana naye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shenz type eti familia ya Kenyatta ilinyakua shamba Kajiado? Wapi hapo? Nieleze vizuri kwa sababu Kajiado ni kwetu. We mzaramo lazima itakuwa walikunyofoa kengele. Huu umbea ni wa kike kabisaaa.Pelekeni ujinga wenu mlipie grazing rights ama ambia Masai wamdai Uhuru ardhi yao Kajiado ambayo baba yake aliwapora. Hawa wasivumiliwe kabisa mambo ya cattle rustling ya Karamajong na Mount Elgon yatahamia Serengeti na Loliondo!
Geza Ulole has a valid point. Vita ya wafugaji huko Kenya sio ndogo msituletee sisi kaeni nayo hukohuko. Familia za Kenyatta na Moi wanamiliki 50% ya ardhi ya Kenya so ardhi iliyobaki haiwatoshi mnaanza kuvuka mipaka. Magufuli atawanyoosha sawasawa!Shenz type eti familia ya Kenyatta ilinyakua shamba Kajiado? Wapi hapo? Nieleze vizuri kwa sababu Kajiado ni kwetu. We mzaramo lazima itakuwa walikunyofoa kengele. Huu umbea ni wa kike kabisaaa.
Huko kote mpaka Taveta Kenyatta pamoja na likes of Criticis wanamiliki zaidi hectares 200,000Shenz type eti familia ya Kenyatta ilinyakua shamba Kajiado? Wapi hapo? Nieleze vizuri kwa sababu Kajiado ni kwetu. We mzaramo lazima itakuwa walikunyofoa kengele. Huu umbea ni wa kike kabisaaa.
Dini yenyewe umeletewa tu! hiyo hiyo Ndio INA kufanya ujione una haki kuliko wengine!!Samahani kwa kutoka nje ya mada, lakini ningependa kuongea ukweli kuwa UKRISTO SIO DINI YA HAKI, NDOMANA WAKRISTO WOOTE WAMELAANIWA, UKIWAANGALIA WAKRISTO WENGI USONI WANA SURA MBAYA KA MATAKO,
Samahani kwa kutoka nje ya mada, lakini ningependa kuongea ukweli kuwa UKRISTO SIO DINI YA HAKI, NDOMANA WAKRISTO WOOTE WAMELAANIWA, UKIWAANGALIA WAKRISTO WENGI USONI WANA SURA MBAYA KA MATAKO,
Kwa hiyo hilo ndiyo jibu?,umeona wapi? wameandika walivipima kama mdau alivyouliza au mim ndiyo sijasoma vizur 'kwa lengo la kuzuia kuenea kwa mafua ya Ndege' ndivyo nilivyoelewa,kulikuwa na ugumu gani? kuvipima au kuvirudisha huko viripotolewa(Kenya) ikiwezekana kwa ulinzi mkal
Ni kumpuuza tuBiblia inasema usimjibu mpumbavu usije ukafanana naye
Unaongea pumba na confidence zaidi ya Madenge. Taveta ipo Kajiado county? Unajua kusoma ramani? Nataka unieleze ni wapi ambapo familia ya Kenyatta inamiliki ardhi Kajiado?Huko kote mpaka Taveta Kenyatta pamoja na likes of Criticis wanamiliki zaidi hectares 200,000
Mshenzi wewe na ng'ombe 71 waliokamatwa Tara kea? Unafikiria sisomi ripoti kama wewe naongea ninachojua! Masai mara nzima na periphery yake iko mikononi mwa Wakikuyu wakiongozwa na UhuruUnaongea pumba na confidence zaidi ya Madenge. Taveta ipo Kajiado county? Unajua kusoma ramani? Nataka unieleze ni wapi ambapo familia ya Kenyatta inamiliki ardhi Kajiado?
Tayari kuna marufuku ya kuingiza vifaranga tokea 2007 ili kupambana na magonjwa mpk Leo marufuku hiyo haijaondolewa sheria no 17 ya mwaka 2003 iliyoongoza kuweka marufuku hiyo inataka vifaranga vinavyoingizwa kinyemela vichukuliwe vina magonjwa ndio maana vimeingizwa kinyemela kwa sababu mwingizaji amekwepa kuvipima lkn marufuku hiyo haitoi nafasi ya kupima kwa sab haielezi vikipimwa vikaonekana havina ugonjwa vifanywe nini wakati vimeshapigwa marufuku.Kwa hiyo hilo ndiyo jibu?,umeona wapi? wameandika walivipima kama mdau alivyouliza au mim ndiyo sijasoma vizur 'kwa lengo la kuzuia kuenea kwa mafua ya Ndege' ndivyo nilivyoelewa,kulikuwa na ugumu gani? kuvipima au kuvirudisha huko viripotolewa(Kenya) ikiwezekana kwa ulinzi mkal
Sio kweli. Hata waliovichoma hawakuthitisha hilo ila walisema viliingizwa kimagendo yaani bila vibali.Jamani uzalendo ni muhimu. Vile vifaranga vilikuwa vigonjwa na hamna namna nyingine ya kutreat viral case.
Sasa kama Kenya hamna mashamba mbona ngombe wenu 4,000 sasa hivi tunawachemsha supu? Walikuwa wanafanya nini Kenya? Hivi hizi stori za vijiweni huwa mnazitunga mkiwa mmechapa mbege na bange au?Geza Ulole has a valid point. Vita ya wafugaji huko Kenya sio ndogo msituletee sisi kaeni nayo hukohuko. Familia za Kenyatta na Moi wanamiliki 50% ya ardhi ya Kenya so ardhi iliyobaki haiwatoshi mnaanza kuvuka mipaka. Magufuli atawanyoosha sawasawa!
Una miaka mingapi dada mrembo. Umri wako labda utatusaidia jinsi ya kukusaidia.Samahani kwa kutoka nje ya mada, lakini ningependa kuongea ukweli kuwa UKRISTO SIO DINI YA HAKI, NDOMANA WAKRISTO WOOTE WAMELAANIWA, UKIWAANGALIA WAKRISTO WENGI USONI WANA SURA MBAYA KA MATAKO,
Akikujibu mkuu nistue.....nipo kwa Koran hapa ......[emoji5]Hamna haja ya kupima pumbavu wewe! unga wa Azam ulipimwa?
Hao ng'ombe sitoshangaa kusikia ni wakwenu mmefanya tu fake showSasa kama Kenya hamna mashamba mbona ngombe wenu 4,000 sasa hivi tunawachemsha supu? Walikuwa wanafanya nini Kenya? Hivi hizi stori za vijiweni huwa mnazitunga mkiwa mmechapa mbege na bange au?
Safi saana mkuu umefafanua labda awe taahira aje kupingaTayari kuna marufuku ya kuingiza vifaranga tokea 2007 ili kupambana na magonjwa mpk Leo marufuku hiyo haijaondolewa sheria no 17 ya mwaka 2003 iliyoongoza kuweka marufuku hiyo inataka vifaranga vinavyoingizwa kinyemela vichukuliwe vina magonjwa ndio maana vimeingizwa kinyemela kwa sababu mwingizaji amekwepa kuvipima lkn marufuku hiyo haitoi nafasi ya kupima kwa sab haielezi vikipimwa vikaonekana havina ugonjwa vifanywe nini wakati vimeshapigwa marufuku.
Katika kupambana na magonjwa serikali tokea mwaka 2013 mpk 2017 tayari imeshateketeza vifaranga 67000 vilivyoingia kinyemela.
Una ushahidi.?Jamani uzalendo ni muhimu. Vile vifaranga vilikuwa vigonjwa na hamna namna nyingine ya kutreat viral case.