Kenya yamuita balozi wa Tanzania akafafanue sakata la vifaranga na kupigwa mnada kwa ng'ombe

Kenya yamuita balozi wa Tanzania akafafanue sakata la vifaranga na kupigwa mnada kwa ng'ombe

Wewe Choko usitake kunitafutia Ban, unatafuta Bwana?
Vitu vingine ni busara tu, Mbona Ng'ombe hawachomi moto? Au hujasikia Ng'ombe wa Uganda walokamatwa?
Fuc.k off...
Nimekupiga ban rasmi hadi wiki ijayo.
Ukirudi hapa utakuwa ushaacha matusi
 
Samahani kwa kutoka nje ya mada, lakini ningependa kuongea ukweli kuwa UKRISTO SIO DINI YA HAKI, NDOMANA WAKRISTO WOOTE WAMELAANIWA, UKIWAANGALIA WAKRISTO WENGI USONI WANA SURA MBAYA KA MATAKO,
Mungu akusamehe maana hujajua unachosema n kitu gani [emoji87]
 
Hawakuona eti haja ya kuvipima ,halafu wanasema wanazuia ugonjwa wa mafua hahahahahah kweli watendaji wa ccm akili kamasi tupu
Sure!
Ulikua busara kuvipima, then kama vingekua na Ugonjwa ni sawa, lah! Wangempiga fine huyo Binti na Kodi stahiki na onyo juu then wampe Vifaranga vyake!

Kama ingekua ngumu, Wangevirudisha Kenya vilikotoka...

Sasa watu wanasubiri kama na wale Ng'ombe waliokamatwa toka Uganda kama watachomwa moto.
 
Samahani kwa kutoka nje ya mada, lakini ningependa kuongea ukweli kuwa UKRISTO SIO DINI YA HAKI, NDOMANA WAKRISTO WOOTE WAMELAANIWA, UKIWAANGALIA WAKRISTO WENGI USONI WANA SURA MBAYA KA MATAKO,
Kama nawe ni muislam uislam hautaki kutukana miungu au dini za wengine kwani kufanya hivyo utasababisha itukanwe dini yako pia.
Nakunasihi usiendelee na hili
 
Wewe jamaa unajiona nabii sana.
Ni kama mtoto mdogo akijisifia kuwa moja jumlisha moja ni mbili.

Husikii raha bila ' kuwashwawashwa ' na GENTAMYCINE. Jamani Wanaume si tupo wengi humu ' Jamvini ' kwanini mnapenda mno ' Kumshobokea ' tu Purely Talented and Charismatic Fella?
 
Kwani ndege haibadilishi gia ikiwa angani?

To hell with the EAC

CLEANSE TANZANIA OF LEECHY KENYANS AND THEIR INFESTED CHICKENS
Vifaranga tu? Sisi omba omba wa kibongo wametuchafulia miji yetu lakini hata petroli tu hatujafikiria kuwamagilia.
 
Tumia akili acha ushabiki, nchi zote duniani zinatekeleza hiyo sheria ya kuteketeza vifaranga vikiingizwa nchini kinyume cha sheria zilizopo, peleka nchi zilizoendelea uone watakachokufanya, watavichoma na wewe mwenyewe uliyeviingiza pia watakuchoma, hiyo ni adhabu yenye lengo la kutoa ujumbe mkali kwa watu wengine kwamba wasijaribu kufanya hivyo.
Weka ushahidi wa nchi zinazoteketeza vifaranga kwa moto.
 
nakumbuka Mh. jana alisema haikuwa kazi ndogo kupata huu mradi wa kutoka Hoima mpaka tanga.... [HASHTAG]#Naishia[/HASHTAG] hapo...

Ila hawa matunda ya Ukame kenya, na wananchi kuwa na mamlaka makubwa ktk Ardhi na kujiona kila kitu wanajua, naona sasa ina wagalimu, watakula jeuri yao..... wamalizane na siasa zao... mwaka utaisha bila kumfahamu kiongozi wa nchi yao ni nani....

Wanajua sana mpaka wanakuwa marofa, et ethiopia, uganda, kwanini hawalalamiki... kama wamelizika, kama ni mazuzu...
 
Vifaranga tu? Sisi omba omba wa kibongo wametuchafulia miji yetu lakini hata petroli tu hatujafikiria kuwamagilia.
wafukuzeni warudi kwao... mna waacha ina maana mna wapenda kwa kuwa mna watumia kama mradi wa biashara, mna wachukua kuja kufanya kazi ya omba omba... CItizen tv mbona wamereport na ina eleweka vizuri tu....

ni ujinga kulalamika alafu hauchukui hatua...
 
Walivipima!?
Kwanini wavipime? Tayari serikali imeshapiga marufuku tokea 2007 mpk leo ,kuvipitisha kinyemela ni kukwepa kupima kwa sab ni lazima vipimwe kwanza vinakotoka na anayesafirisha kwanini amekwepa kupima akapata kibali kwenye mamlaka za Kenya? Inaonyesha vina ugonjwa ndio maana akaviingiza kinyemela lkn vipimwe ili iweje kwa sababu nchi ilishapiga marufuku kwa kupambana na magonjwa mbalimbali ya mlipuko marufuku inasema kutokana na sheria no 17 ya 2003 vifaranga vya nyama vyote vinavyoingia kinyemela vinachukuliwa vinaumwa hivyo vinatakiwa kuteketezwa. Mpk sasa tokea 2013 vimeshateketezwa vifaranga vya nyama vilivyoingia kinyemela vipatavyo 67,000 na serikali inaendelea kuteketeza kwa mujibu was sheria mpk marufuku itakapoondolewa.
 
Weka ushahidi wa nchi zinazoteketeza vifaranga kwa moto.
Ushahidi wa vitendo sio maneno, wewe peleka hivyo vifaranga ulaya, ukirudi utakuwa na ushahidi wa kutosha, jielimishe na usome ni jinsi gani miaka michache iliyopita nchi za ulaya na Amerika ya kusini walivyoteketeza mamilioni ya Nguruwe na Ng'ombe walipovamiwa na ugonjwa wa midomo na miguu wa wanyama, waliwachoma kama manyasi
 
Utaitukana vipi dini ya mwenzako kiasi hiki? Hivi huu si ndio uchokozi ?

Mada ni vifaranga hili la ukristo limetoka wapi?

Kama ni wauaji wakubwa ni nani kati ya islamic na Christian? Na sisi wakristo mbona hatuwatukani hivyo?

Hili uliloliandika liangalie mara mbili mbili halijakaa sawa kabisa
 
Ushahidi wa vitendo sio maneno, wewe peleka hivyo vifaranga ulaya, ukirudi utakuwa na ushahidi wa kutosha, jielimishe na usome ni jinsi gani miaka michache iliyopita nchi za ulaya na Amerika ya kusini walivyoteketeza mamilioni ya Nguruwe na Ng'ombe walipovamiwa na ugonjwa wa midomo na miguu wa wanyama, waliwachoma kama manyasi
Blah blah blah!
 
Wewe kalanga2, unaporusha kashfa kwa dini nyingine, tueleze wewe ni dini gani ili tuweze kujilinganisha na dini yako, hata kama unaabudu mizimu tujulishe tu.
 
Vifaranga tu? Sisi omba omba wa kibongo wametuchafulia miji yetu lakini hata petroli tu hatujafikiria kuwamagilia.
Mnataka kutumia hao omba omba ili Tanzania iwahurumie, kama ambavyo Kenya inajikomba kwa South Afrika kwa kuondoa viza kwa wananchi wa South Africa kama kigezo cha kuomba wakenya nao waondolewe viza kwenda South Africa, hata hivyo mumekataliwa, walijua mkiachiwa mtaenda kujazana huko.
 
Kwanini wavipime? Tayari serikali imeshapiga marufuku tokea 2007 mpk leo ,kuvipitisha kinyemela ni kukwepa kupima kwa sab ni lazima vipimwe kwanza vinakotoka na anayesafirisha kwanini amekwepa kupima akapata kibali kwenye mamlaka za Kenya? Inaonyesha vina ugonjwa ndio maana akaviingiza kinyemela lkn vipimwe ili iweje kwa sababu nchi ilishapiga marufuku kwa kupambana na magonjwa mbalimbali ya mlipuko marufuku inasema kutokana na sheria no 17 ya 2003 vifaranga vya nyama vyote vinavyoingia kinyemela vinachukuliwa vinaumwa hivyo vinatakiwa kuteketezwa. Mpk sasa tokea 2013 vimeshateketezwa vifaranga vya nyama vilivyoingia kinyemela vipatavyo 67,000 na serikali inaendelea kuteketeza kwa mujibu was sheria mpk marufuku itakapoondolewa.
MKUU! Yule mdada hakuingiza vifaranga vile kinyemela, alipita Getini akiwa na Gari, na lengo lake ni kufata process zote coz anasema alikua hajui kama kuna Zuio, kama angetaka kupita kinyemela asingepita Getini, angepita njia za Panya na wasingemkamata.
 
Samahani kwa kutoka nje ya mada, lakini ningependa kuongea ukweli kuwa UKRISTO SIO DINI YA HAKI, NDOMANA WAKRISTO WOOTE WAMELAANIWA, UKIWAANGALIA WAKRISTO WENGI USONI WANA SURA MBAYA KA MATAKO,
Allah unayemwamini akusamehe wewe na kizazi chako. Hujui ulitendalo. Matako yameumbwa vizuri kwa mfano WA mtume
 
wafukuzeni warudi kwao... mna waacha ina maana mna wapenda kwa kuwa mna watumia kama mradi wa biashara, mna wachukua kuja kufanya kazi ya omba omba... CItizen tv mbona wamereport na ina eleweka vizuri tu....

ni ujinga kulalamika alafu hauchukui hatua...
Ungetizama hiyo ripoti ya citizen vizuri ungejua ya kuwa hao wanaowaleta omba omba wa kibongo huku Kenya ni watz wenzao. Shida unakariri tu.
 
Back
Top Bottom