Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maofisa WA serikali wanatekeleza maagizo ya kisera (dharura) ya wizara ya Afya, basi.Hapo kuna uzalendo gani, vifaranga vimekamatwa namanga ni mpakani kwa nini visingerudishwa vilikotoka kuliko kuvichoma moto.
Geza Ulole has a valid point. Vita ya wafugaji huko Kenya sio ndogo msituletee sisi kaeni nayo hukohuko. Familia za Kenyatta na Moi wanamiliki 50% ya ardhi ya Kenya so ardhi iliyobaki haiwatoshi mnaanza kuvuka mipaka. Magufuli atawanyoosha sawasawa!
Nchi maskini ambaye haijielewi kama tz tunataka ituhurumie kwa lipi? S.A, Nigeria Egypt, tutawapigia magoti tukitaka bora mikwanja inaingia. Vinyangarika kama bongo ni wa kunyooshwa tu.
Bila serikali kuwa na taarifa? how? Serikali iachie utani.
===================
Ng’ombe 1, 305 kutoka Kenya walioingia Mwanga Ijumaa Oktoba 13, wanatarajiwa kunadiwa Ijumaa, Oktoba 20.
Mahakama hiyo ya Arusha ilitoa uamuzi huo Jumanne Oktoba 17, ambapo fedha zitakazopatikana zitapewa serikali ya Tanzania wamiliki wa ng’ombe hao wakikataa kulipa faini ya Sh23 milioni.
Mwenye ng’ombe hao Ngunyi ole Ngunja, aliambia mahakama kuwa hakuwa na fedha hizo, hivyo, hakuna jingine ila kunadiwa kwa mifugo hao.
Wafugaji wanne, mmiliki wa mifugo hao na wazee kutoka Kenya waliovuka mpaka kwenda kujadili kuachiliwa kwa mifugo hao wamezuiliwa Tanzania baada ya kushtakiwa kwa kuwa nchini humo bila vyeti rasmi vya kuingia nchini humo.
Masharti na vigezo kufuatwa,muda wa shamba la bibi umepita Tz sio chaka la kutupia kila kitu.This is what Tanzanian Government said Quote
While Tanzania said the importation of the chicks was not supported by paperwork.
Kwenye Gazeti la Daily Nation ya Kenya ya tarehe 6th November 2017 serikali ya Kenya imewahidi kuwalipa fidia wale wamasai ngombe zao zilipigwa mnada hapa nchini hivi karibuni.Balozi wa Tanzania aitwa Kenya kujieleza ng'ombe wa Kenya kupigwa mnada na uchomaji wa vifaranga.
Balozi wa Tanzania ameitwa na kutoa maelezo kwa nini ng'ombe wa wakenya wamekamatwa na kupiga mnana bila taarifa kwa Serikali , pia ameombwa atoe maelezo kuhusu vifaranja vilivyochomwa.
Chanzo: DW
Balozi wa nchi ipi kaitwa kutoa Maelezo?Balozi wa Tanzania aitwa Kenya kujieleza ng'ombe wa Kenya kupigwa mnada na uchomaji wa vifaranga.
Balozi wa Tanzania ameitwa na kutoa maelezo kwa nini ng'ombe wa wakenya wamekamatwa na kupiga mnana bila taarifa kwa Serikali , pia ameombwa atoe maelezo kuhusu vifaranja vilivyochomwa.
Chanzo: DW
Huo ndio uongozi na maana halisi ya kuwajali "wapiga kura" na wananchi wanyonge. Wanapokuwa na matatizo unasimama pamoja nao kuwafariji na kuwasaidia badala ya kuwananga hata kama wakati mwingine wanaweza kuwa na makosa ya hapa na pale lakini ubinadamu kwanza. Kwa mfano mwananchi amepoteza ng'ombe zake 50, 100, 300, n.k. unasimama jukwaani kumnanga sio sahihi kabisa!Kwenye Gazeti la Daily Nation ya Kenya ya tarehe 6th November 2017 serikali ya Kenya imewahidi kuwalipa fidia wale wamasai ngombe zao zilipigwa mnada hapa nchini hivi karibuni.
Mzigo haukuwa na document za Kenya unarudisheje mzigo Kenya? Kama hivyo vifaranga vilitokea Sudan kusini je? Mwenyewe mzigo hakuwa na documents za kenyaNadhani kuna kasoro fulani katika sheria zetu! Hivi hakuna option ya kurudishwa kwao hiyo mifugo baada ya kulipa faini?! Kwani ingewezekana kuuza baadhi ya mifugo kupata fedha ya faini na mifugo iliyobaki kurudishwa Kenya!!
Kwamba wanaweza kumzuia au? Si ndio itakuwa furaha na nderemo?Jamani haya mambo yamalizwe maana tuna mgonjwa wetu kule.
Umenikumbusha vichwa vipya vya treni visivyo na mwenyewe vilivyowahi kuokotwa bandarini.Mzigo haukuwa na document za Kenya unarudisheje mzigo Kenya? Kama hivyo vifaranga vilitokea Sudan kusini je? Mwenyewe mzigo hakuna na documents za kenya