Kenya yamuita balozi wa Tanzania akafafanue sakata la vifaranga na kupigwa mnada kwa ng'ombe

Kenya yamuita balozi wa Tanzania akafafanue sakata la vifaranga na kupigwa mnada kwa ng'ombe

Husikii raha bila ' kuwashwawashwa ' na GENTAMYCINE. Jamani Wanaume si tupo wengi humu ' Jamvini ' kwanini mnapenda mno ' Kumshobokea ' tu Purely Talented and Charismatic Fella?
Dish lishayumba ndio maana sina wasi wasi na matusi yako.

Ukishaona mtu anapenda sana matusi ujue ni low minded. Ni kiazi.
 
Tumia akili acha ushabiki, nchi zote duniani zinatekeleza hiyo sheria ya kuteketeza vifaranga vikiingizwa nchini kinyume cha sheria zilizopo, peleka nchi zilizoendelea uone watakachokufanya, watavichoma na wewe mwenyewe uliyeviingiza pia watakuchoma, hiyo ni adhabu yenye lengo la kutoa ujumbe mkali kwa watu wengine kwamba wasijaribu kufanya hivyo.
Tatizo la wale vifaranga ni nini?
Kuingizwa kimakosa. ?
Au walikuwa na ugonjwa?
Nyie Tanzania. MNA FATA Sharia zote za kimataifa?
 
Mnataka kutumia hao omba omba ili Tanzania iwahurumie, kama ambavyo Kenya inajikomba kwa South Afrika kwa kuondoa viza kwa wananchi wa South Africa kama kigezo cha kuomba wakenya nao waondolewe viza kwenda South Africa, hata hivyo mumekataliwa, walijua mkiachiwa mtaenda kujazana huko.
Nchi maskini ambaye haijielewi kama tz tunataka ituhurumie kwa lipi? S.A, Nigeria Egypt, tutawapigia magoti tukitaka bora mikwanja inaingia. Vinyangarika kama bongo ni wa kunyooshwa tu.
 
MKUU! Yule mdada hakuingiza vifaranga vile kinyemela, alipita Getini akiwa na Gari, na lengo lake ni kufata process zote coz anasema alikua hajui kama kuna Zuio, kama angetaka kupita kinyemela asingepita Getini, angepita njia za Panya na wasingemkamata.
Kutokujua sheria sio excuse ya kukwepa kosa,halafu kupitisha kinyemela sio maana yake kupitisha msituni. Mbake msichana halafu ukifikishwa mahakamani mwambie hakimu hukujua kama kubaka ni kosa uone moto wake!!

Kupitisha kinyemela maana yake kupitisha kitu bila kufuata taratibu whether upitishe barabarani,baharini,angani,msituni au ziwani sheria inafanya kazi yake.

Angalizo: Hakuna mtu anayefanya biashara hasa ya kimataifa bila kufanya utafiti wa masoko,kodi au ushuru wa nchi unayotoka na ile unayoenda ili ujue faida yako itakuwaje,ndani ya utafiti huo angejua kuwa Tanzania imepiga marufuku vifaranga vya nyama na mayai tokea mwaka 2007. Kutokujua kwamba kuna zuio ni "mere excuse" ya kiwango cha standard gauge.
 
MKUU! Yule mdada hakuingiza vifaranga vile kinyemela, alipita Getini akiwa na Gari, na lengo lake ni kufata process zote coz anasema alikua hajui kama kuna Zuio, kama angetaka kupita kinyemela asingepita Getini, angepita njia za Panya na wasingemkamata.
Kinyemela maana yake hakuwa na documents halali za kuingiza hivyo vifaranga, kuanzia huko Kenya hadi huku Tanzania, ikiwemo kuomba permission ya kuingiza hivyo vifaranga toka wizara ya Uvuvi na mifugo ya Tanzania, angepitisha njia za panya, hiyo ingekuwa ni biashara ya magendo
 
Allah unayemwamini akusamehe wewe na kizazi chako. Hujui ulitendalo. Matako yameumbwa vizuri kwa mfano WA mtume
Mmmh hili jiwe halijampata kweli naona atajifunza kuandika huenda anabadilishwa pampas tungoje
 
Shenz type eti familia ya Kenyatta ilinyakua shamba Kajiado? Wapi hapo? Nieleze vizuri kwa sababu Kajiado ni kwetu. We mzaramo lazima itakuwa walikunyofoa kengele. Huu umbea ni wa kike kabisaaa.
let's assume kenyatta senior did not grab any land in kajiado....but my research shows kajiado is going through a lot of land dispute issues.
cb313e6c1e4f70a7d3aba65184286b15.jpg
7aa087078ab765d292736aa12ac348d0.jpg
 
Sasa kama Kenya hamna mashamba mbona ngombe wenu 4,000 sasa hivi tunawachemsha supu? Walikuwa wanafanya nini Kenya? Hivi hizi stori za vijiweni huwa mnazitunga mkiwa mmechapa mbege na bange au?
Kama mna ng'ombe wetu,kelele za nn?
 
Kenya imeilalamikia Tanzania kwenye kitu walichokiita 'Kubadilishwa kwa sera inayobariki vitendo vya kihasama dhidi ya raia wa Kenya na biashara zao

Siku ya Jumatatu Katibu wa Mambo ya Nje na Diplomasia Tom Amollo alikosoa hatua ya Tanzania kuchoma vifaranga moto na kupiga ng'ombe mnada bila kuzihusisha mamlaka za nchi hiyo

Ameelezea kitendo hicho kinahatarisha kuchafua uhusiano mzuri uliokuwepo baina ya nchi hizo kwa muda mrefu

Hatua hiyo ilipelekea maofisa wa Kenya kumuita balozi wa Tanzania nchini humo Pindi Chana kuelezea juu ya 'maamuzi ya upande mmoja yanaoyathiri nchi zote mbili'

'Uhusiano kati ya Kenya na Tanzania ni wa muda mrefu na wenye manufaa makubwa, haufai kuhatarishwa na vitu vidogo ambavyo vinaweza kutatuliwa kwa mazungumzo'' Katibu huyo aliwaambia wajumbe wa Tanzania kwenye mkutano uliofanyika Nairobi

''Kunaweza kuwa na haja ya kuwakutanisha kwa haraka maafisa wa mpakani kutoka Kenya na Tanzania kuzungumzia matatizo haya yanayojitokeza kwenye mipaka''

Pia Kenya imelaumu kuchomwa kwa vifaranga 6,400 na kwa madai ya kuenea kwa ugonjwa wa mafua ya ndege na kusema ugonjwa wa ndege haujawahi kuripotiwa Kenya

Serikali pia imesema kitendo cha kupiga mnada ng'ombe 1,325 kutoka Kenya ni
kutojali shida au maslahi ya wananchi wa Kenya walioathirika "licha ya viongozi kutoka Kenya kuomba kususbirishwa kwa zoezi hilo'


"Ufugaji katika mipaka hutokea sio tu mpaka wa Tanzania, lakini pia kwa mipaka yetu na Uganda, Sudan Kusini na Ethiopia, lakini hakuna hata mmoja kati ya nchi hizi imeamua kuchukua hatua kubwa kama hizi dhidi ya mali ya raia wa nchi jirani na rafiki'' Amollo alisema.
====================================================================

Kenya has formally protested to Tanzania over what Nairobi terms “a policy shift that condones hostile actions against Kenyan citizens and their business interests”.

On Monday, Foreign Affairs Political and Diplomatic Secretary Tom Amollo criticised Tanzania’s decision to burn chicks imported from Kenya as well as auction animals from Kenyan herders without involving authorities in Nairobi.

He said such actions risked soiling historical relations between the two countries.

RELATIONS
The move followed the summoning of Tanzanian High Commissioner Pindi Chana by Kenyan foreign officials for “Tanzania’s unilateral actions on issues affecting the two countries”.

“Kenya-Tanzania relations are longstanding, rich and complex and should not be jeopardised by a hardening of positions over minor issues that can be easily resolved through candid and open dialogue,” he told the Tanzanian envoy during a meeting in Nairobi.

“There may be need to urgently convene the Kenya-Tanzania Joint Border Commissioners/Administrators Committee Meeting to address emerging cross border issues,” he added.

BIRD FLU
The issue arose from a move last week by the Tanzanian Livestock ministry to burn 6,400 chicks imported from Kenya, apparently to prevent the spread of bird flu.

But the act was condemned by animal enthusiasts from both sides.

Kenya complained that no case of the bird flu had been reported within Kenya’s borders.

While Tanzania said the importation of the chicks was not supported by paperwork.

ILLEGAL GRAZING
In October, Tanzania auctioned 1,325 head of cattle belonging to Kenyan herders after they were confiscated for grazing in Tanzania.

Nairobi protested that the move was a “blatant disregard of the plight or interests of the affected Kenyan citizens” despite appeals from Kenya officials to delay it.

Dr Chana said 70 head of cattle had been seized in Tarakea, and herders fined for illegal grazing and environmental degradation, but they failed to raise the fine.

Kenya argued the decision violated historical relations between the two countries.

“Cross-border grazing happens not only along the border with Tanzania, but also along our borders with Uganda, South Sudan and Ethiopia, yet none of these countries has resorted to such drastic action against the property of citizens of a neighbouring and friendly country,” Mr Amollo said.


Source: Daily Nation
Magu for Change Kwahiyo hakuna cha kushangaa
 
Wote ni vichwa ngumu. yule wa kule hana tatizo sana Lakini huyu wa huku MMmmmmmmmm! yupo ntuma ya yule King'ang'anizi wa kule.


Hili game bado kabisa.
 
Nchi maskini ambaye haijielewi kama tz tunataka ituhurumie kwa lipi? S.A, Nigeria Egypt, tutawapigia magoti tukitaka bora mikwanja inaingia. Vinyangarika kama bongo ni wa kunyooshwa tu.
Mbona mnalalamika kwa kuwakamata ng'ombe wenu, mbona mnalalamika kwa kuchoma vifaranga?, sisi tukiona mumefanya jambo tusilolipenda tunalipiza hapo hapo, mlikataza unga wa ngano na gesi ya kupikia, sisi tujazuia maziwa na tyres zenu, sasa na nyie lipizeni acheni kupiga kelele

Sent from my MediaPad T1 8.0 using JamiiForums mobile app
 
Jamani uzalendo ni muhimu. Vile vifaranga vilikuwa vigonjwa na hamna namna nyingine ya kutreat viral case.
Hapo kuna uzalendo gani, vifaranga vimekamatwa namanga ni mpakani kwa nini visingerudishwa vilikotoka kuliko kuvichoma moto.
 
Back
Top Bottom