Kenya yamuita balozi wa Tanzania akafafanue sakata la vifaranga na kupigwa mnada kwa ng'ombe

Wakati umefika wa kulinda mipaka yetu kisasa

Tungekuwa tuna tumia vifaa vya kisasa kama vya hapa chini usumbufu unaendelea sasa wala usingekuwepo


 
Usipende kujaza server bure. Nimesema tukipenda, shida ni, sisi hatujui kuishi tukiwa tumepiga magoti kama wabongo tunapenda kusimama wima.
 


"Tanzania sio shamba la kuchungia mifugo ya nchi jirani, ndio maana tumeamua kukamata mifugo na kuchukua hatua kwa mujibu wa kisheria, na hata huko kwenye nchi jirani wakishika mifugo ya kutoka Tanzania wachukue hatua za kisheria za nchi hizo" alisisitiza rais Magufuli
 
Ngombe wameuziwa watanzania wenzentu kwa bei cheeeeee;
Wale ngombe wa wamasai waliokufa naona serikali imewawezesha kwa njia mbadala.

Tumetumia akili sana ; kusoma sio kujua mambo

Wakenya hawa ndo wabongooooo wazee wa mbongo ata south wanawafahamu
 
Reactions: Oii
Magu kakaza vyuma hadi Kenya ... Hahaaa wapewape baba , cdm endeleeni kueatetea hao nyangau wametunyanyasa sana
 
Reactions: Oii
Je yule anayenanga jukwaani kwa kusema ukweli, akiwa na lengo la kusimamia sheria yenye lengo la kuwalinda na kuwatetea walio wengi, tena wale masikini, na yule ambaye anaruhusu polisi wapige risasi na kuuwa zaidi ya ng'ombe 300 wa mwananchi wa hali ya chini kwa sababu ameingiza wanyama hao ndani ya shamba la tajiri kwa ajili ya malisho?
 
Jamani uzalendo ni muhimu. Vile vifaranga vilikuwa vigonjwa na hamna namna nyingine ya kutreat viral case.
Acha uwongo, uliza Kama hujui. Hakuna hata kifaranga kimoja kilichokuwa na Ugonjwa hiyo ni kwa Mujibu wa Taarifa ya Katibu Mkuu wizara ya Mifugo.
 
Acha uwongo, uliza Kama hujui. Hakuna hata kifaranga kimoja kilichokuwa na Ugonjwa hiyo ni kwa Mujibu wa Taarifa ya Katibu Mkuu wizara ya Mifugo.
Kuna taratibu za kuingiza mifugo ikiwemo kulipa ushuru! Ukuda pelekeni Kenya !
 
Kuna taratibu za kuingiza mifugo ikiwemo kulipa ushuru! Ukuda pelekeni Kenya !
Kukiukwa kwa taratibu hizo hakutoi loophole ya kuteketeza viumbe husika Kama Hakuna outbreak ya Ugonjwa usiotibika.

Mbona wale ng'ombe hawajachomwa moto?
 
Hii kitu, waliofanya hawakuangalia madhara yake. Na hapa unapata kujua kuwa nyadhifa ukipewa unatakiwa uwe makini mno
 
Kukiukwa kwa taratibu hizo hakutoi loophole ya kuteketeza viumbe husika Kama Hakuna outbreak ya Ugonjwa usiotibika.

Mbona wale ng'ombe hawajachomwa moto?
Hahah walikutwa hawana Ugonjwa wa Homa ya mafua ya ndege. Ingia tena halafu ulizoweka tena Magifuli hana muda na ujinga wenu. Migogoro ya Loliondo itaisha tu maana ana muarobaini wake.[emoji115] [emoji23]
 
Masharti na vigezo kufuatwa,muda wa shamba la bibi umepita Tz sio chaka la kutupia kila kitu.
Huyo aliyeleta aliokota? Bidhaa zinazotoka China zina vigezo gani na mbona punda wanachinjwa kila siku na hatuambiwi ni daktari gani kaenda kuwapima ili wasafirishwe kwenda China. One sided decision or double standard. Mimi naunga mkono haya yote mradi yangeenda kwenye uwazi na sheria na kuhusisha wahusika wa wizara zote.
 
“Kenya-Tanzania relations are longstanding, rich and complex and should not be jeorpadised by a hardening of positions over minor issues that can be easily resolved through candid and open dialogue,” Kenya's Foreign Affairs Political and Diplomatic Secretary Tom Amollo is quoted as having told Pindi during the meeting in Nairobi
 
So what!? Mnavunja sheria na kanuni za Nchi yetu halafu mnataka tuwachekee tu. Mmezoea UNYANG'AU .....your game is up. It's either you (Kenyans) follow our country's Rules & Regulations (abiding by the Law) or F#%K OFF! God bless Tanzania and its People.
 
Hapo kuna uzalendo gani, vifaranga vimekamatwa namanga ni mpakani kwa nini visingerudishwa vilikotoka kuliko kuvichoma moto.
Ili iwe fundisho, ndivo walivosema, but am against it, wasn't fair. But people have to be frightened in some cases for the laws to be abided.
Wicked world
 
Fanyeni mnachotaka wajinga nyie! Kuna wengine 9000 wamekamatwa aidha fine ama tunapiga mnada! Land south of Tanzania-Kenya border is Tanzania’s territory!
Mkuu hebu fafanua kwa kina tatizo lipo wapi hasa? Na kwa nini litokee baada ya Raila swahiba wa rais wetu kushindwa Urais?
Pls fafanua bila kupendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…