Kenya yaongoza Afrika kuingiza mitumba nyuma ya Nigeria yenye idadi ya raia mara 4 zaidi yake : JPM alitutaka tuwe nchi ya viwanda !

Kenya yaongoza Afrika kuingiza mitumba nyuma ya Nigeria yenye idadi ya raia mara 4 zaidi yake : JPM alitutaka tuwe nchi ya viwanda !

Mkunazi Njiwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2023
Posts
9,468
Reaction score
8,281
Japokuwa Tanzania ni nchi yenye idadi ya raia zaidi ya Kenya lakini hatuingizi mitumba mingi.

Tafiti iliyofanyika chuo kikuu cha Massachusetts (MIST) nchini Marekani imelinganisha idadi ya raia wa Nigeria kuwa ni mara 4 zaidi ya Kenya lakini nchi hiyo imekuwa ya pili kuingiza MITUMBA nyuma ya Kenya.

Fikra fikirishi juu ya kuyafanya mataifa ya Afrika kuwa "dumping areas" ya vitu "used" inanipeleka kumkumbuka jemedari hayati Magufuli ambaye ni kaka kipenzi wa rais wetu mpendwa Dr.Samia Suluhu Hassan ya kwamba alipotutaka tuwe nchi ya VIWANDA alimaanisha ukombozi mkubwa kwetu.

Ukombozi huo katika haya yafuatayo ;
-Kuongeza ajira kwa watanzania hususani vijana
-Kuinua pato la mtanzania na nchi kwa ujumla
-Kuhifadhi mazingira (kinyume na haya ya dumping areas za mitumba).
-Kuendeleza heshima na utu wa raia wa nchi hii.

Mh.Rais Samia alipata kusema yeye na hayati Magufuli ni kitu kimoja na ndio maana ametuletea hizi 4R's......

4R's ndio nguzo ya kuzidi kulifanya bora hili taifa tukufu duniani !

#Mwenyezi Mungu alihifadhi taifa tukufu la Tanzania ,aaaaamin !
 
Back
Top Bottom