Kenya yaongoza EAC kijeshi ikifuatwa na Uganda

Hehehe! Kama pale Somalia ndio vipimo, basi bora ukae kimyaaa maana nyie mumeogopa kupakaribia wakati mataifa yote ya ukanda huu yamekwenda ikiwemo Burundi na Rwanda.
Tz tulienda DR Congo, ina maana na nyie mliogopa kwenda? katika masuala ya kivita Kenya isijilinganishe kabisa na Tz, tumeanza kupigana vita siku nyingi tangu kuzikomboa nchi za Kiafrika kutoka kwa Wareno na Makaburu, Iddi Amin alijaribu kujipima ubavu na Tz akapata matokeo. Kenya muda wote huo walikuwa na urafiki wa kibiashara na Wareno na Makaburu kama kawaida, walimsaidia Idd Amin kumpitishia silaha zake ili atupige nk lakini ni kuwa Kenya haijapigana vita ya kisawasawa, ndio kwanza wanaenda kujipima na Al Shabaab wakisaidiwa na Marekani. Kuwa na silaha nyingi sio kujua kupigana, Marekani isingepigwa na Vietnam kama Kenya inavyopigwa na Al Shabaab!
 
hata Idd Amini dada, kipindi hiko alikuwa na jeshi imara lakini alichapwa na tz , kushinda vita ni muunganiko wa vitu vingi, sio mavifaa tu peke yake. Hata Congo wana jeshi kubwa lakini wanadhibitiwa na nchi ndogo kama rwanda!
 
Sijui lini tutaipenda nchi yetu, watu wako radhi kujiita wachambuzi kutwa kucha kutafuta habari zenye mtazamo hasi dhidi ya mataifa mengine.
Mleta mada ni mkenya mkuu. Hiyo MK254 maana yake ni Mkenya na 254 ndio namba ya simu ya nchi yao kama yetu ilivyo +255.
 
Uwezo wa mbinu na idadi ya wanajeshi ni ngumu kujua. Lakini vifaa kwa nchi za kiafrika ni rahis kujulikana coz wao ndo wanatuuzia. Sion tatzo katka Hilo . But kongo na uganda kutuzidi czan
 
Funny thing is you guys always rank yourselves as top.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Mkiulizwa nyie jeshi lenu limepigana wapi, mnakwepa mnaanza side shows.

Hata majeshi yakijadiliwa muwe mnafyata mdomo, kwa sababu jeshi jina tu activity hakuna na sifa mnajimiminia wenyewe, mkiwa ranked by someone indipendent mnakataa matokeo.
 
ha haa haaa........jidanganye ivyo ivyo kama vita hatuvijui....imgieni ndani ya box muone tutakavyo wabaka....mtajuta taifa zima
 
kama haujui ....lilipaa mpaka saudi alabia wakati osama yupo....kimya kimya.....ndyo maana tunasemaga usilolijua ni sawa na usiku wa giza.....baadhi ya majibu ushajibiwa lakini nshisi kusoma haujui
 
Kwanza uko kwenu wanaume wanapigwa na wake zao ndo ije kwenye jeshi lenu huo upuuzi wenu mwenda mkawasimulie wasomali wanaowabaka kila siku
 
Washughulikieni alshabaab.
 
Wakenya mmeuziwa helcopter chakavu halafu waliowauzia wanawadanganya mko vizuri kijeshi ili muendelee kununua zana chakavu halafu mnachekelea.
 
Wakenya bwana wanapenda sifa za kijinga!! Kama Tanzania ingekuwa na tamaa basi sehemu yote ya Uganda ingekuwa ipo Tanzania na hata Kenya yote, sema Tanzania haina tamaa
 
Naafiki ukubwa wa pua si uwingi wa makamasi
 
KDF imepigana Zimbabwe, Mozambique, Namibia, sierra Leon, Liberia, Eritrea, Yugoslavia, croatia n.a. sasa somalia.
 
Unga hakuna nyinyi mnanunua vyuma. Kwani mnapingana na nani?
 
Huyu MK254 sijui nikabila gani huko kwao

Ingekua huku kwetu angekua Mhaya

Maana yeye kila propaganda za magharibi kwake ni faraja

Wait nikwambie, ukiona mtu anasifia jeshi lako then hujawahi pigana hata vita moja hapo kuna mawili.
Moja.Jeshi lako halina sili
Mbili.Anakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa
Nguvu ya kijeshi inajulikana tu ukiwa vitani na mwanaume mwenzio
Hivi hujiulizi juzi tu watu sijui sita wanateka kituo cha jeshi kule pwani ya bahari hindi,
watu watatu wanvamia mall(WEST AGTE) polisi na jeshi wanagongana then jeshi lina pishwa kuokoa jahazi badala yake jeshi wanapiaga mabom,then JICHO PEVU linawanasa KDF wanatoka na vifurushi,
Wanachi wanahoji wahalifu wako wapi jeshi lina guna,

Halafu unatoka kifua mbele tunajeshi imara kuliko Jirani,

Leo anatoka mtu mashariki ya mbali ankwambia unajeshi zuri kuliko jirani yako ,unapiga makofi kisa ka kwambia unamzidi jirani,

Uwe unchuja mkuu,

Sifa ya kijeshi nikufanikiwa katika misheni zake,sio kurundika silaha then huna mtumiaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…