Kenya yaongoza EAC kijeshi ikifuatwa na Uganda


Kwanza naomba nikusahihishe, hakuna mtu amesifia KDF hii ranking imefanywa ya dunia yote, nchi za Afrika zipo mbali sana, sote tumetajwa mbali kiasi cha kutia huruma. Ni kwamba ndani ya EAC Kenya ndio afueni lakini ukilinganisha na mataifa mengine yaliyotajwa, Kenya na KDF yetu tumetupiwa nje.

Pili nyie pamoja na magobole yenu mliyopigana nayo dhidi ya watoto wa M23, bado hamjakumbana na vita vya kisasa dhidi ya mujahedin bin shetwan. Hawa nu muziki tofauti, wanaingia kwenye jengo wakiwa na nia ya kufa wote na kujilpua lipua. Hilo hamjakumbana nalo, waulize USA na Russia maana ni muziki balaa huo, wapasua matofali wenu hawajajipata katika hali ya kihivyo.

Tatu, majeshi yetu ya Kiafrika hayana siri yoyote maana tunaagiza silaha zote kutoka kwa hawa wanaotutathmini, sasa nyie hapo Tanzania ikiwa hadi sindano mnaagiza hivi mna siri ipi ya kuringia.
 
Hehehe! Kama pale Somalia ndio vipimo, basi bora ukae kimyaaa maana nyie mumeogopa kupakaribia wakati mataifa yote ya ukanda huu yamekwenda ikiwemo Burundi na Rwanda.

You are so stupid. You need to avoid sites whose credibility is questionable. According to "Global Firepower" Tanzania doesnt possess "MLRSs"check it here here

Yet, Tanzania operates one of the most deadliest MLRS in the world.


A-100 since 2008. How do you rate such a site?

You are very stupid. DRC is ranked above us really? We are training Congolese army



read more here

Dont be stupid!
 
mi naona ipangwe mechi ya "nani mtani jembe" kati ya TPDF vs KDF!
 
Where is Annael? By the way is Annael a woman? I want to know
 
tupo tofauti ....sana hiyo kdf ni cha mtoto sana kwa jeshi la tanzania kununua silaha siyo tatizo ....kwani silaha haiuzwi nchi moja kama hao watafiti inatembeaga na kila nchi kwenye kununua silaha sawa....

hyo siyo point acha kutawaliwa ns ujinga
 
Hawajielewi hawa mkuu...Eti DRC ipo juu yetu wakati wanajeshi wao tunawafundishia pale monduli na mwaka juzi raisi wao alikuja kufunga mafunzo na akatushukutu kwa kumsaidia kupambana na waasi..

Me nimeangalia ikabidi nitulie tu aisee maana kila mtu anavutia kwake na ukweli unaachwa..
 
Hehehe! Kama pale Somalia ndio vipimo, basi bora ukae kimyaaa maana nyie mumeogopa kupakaribia wakati mataifa yote ya ukanda huu yamekwenda ikiwemo Burundi na Rwanda.
Sisi watz tuna mafunzo ya kila aina ya kupigana na taifa lenye nguvu kutuzidi wakati nyinyi wakenya mafunzo yenu ayaeleweki mana hata al shabbabu mmewazidi nguvu ila amjawaweza kuwashinda hivyo siraha nyingi na zakisasa mlizo nazo si kitu kwa tz mana jeshi letu limejengwa katika mfumo wa kupigana na adui mwenye nguvu kutuzidi
 
wale vijana wane wa alshababu waliwatepetesha west gate leO MNAKUJA NA NGONJERA
 
huyu jamaa anapenda kuongelea vita utafikiri anajua anachoongea. Vita ikitokea hapa matako yako hayatakuwa hata kwenye hio keyboard unayotumia kutroll vitu vya kithenge.
Nyie wakenya katika ulinzi. a medani ya vita kuongea nanyi is a waste of time. Nashauri endeleeni kuongelea jeshi lenu maana hata sisi raia ambao hatuna intelligence info tunazidi kuwajua.
 
Somali iliwashinda wamarekani lakini sisi wanaEA yaani Kenya, Ethiopia, Uganda Burundi, Rwanda na djibouti tunawakabili ila TZ ni yule mwanamme mwenye anauliza wako wapi hao niwakabili akiwa mvunguni.Hamwezi ingia kule kazi yenu ni kulemea kabila moja kule DRC mkibaka wanawake tu!
 

Sio wakenya tu ndio wameshindwa na Alshbb, majeshi kadhaa yenye nguvu yanakabiliana nao huko, ikiwemo America, lakn yameshindwa kuwamaliza. Do u understand why?

Kenya, tangu kuingia vita Sonalia imewapoteza karibu majeshi 300. Zingatia ya kwamba ingawaje Kenya ina majeshi wachache huko ukilinganisha na nchi kama Uganda, Burundi na sijui waEthiopia ni wangapi, lakn Kenya ndilo linadhibiti eneo kubwa zaidi huko Somalia.....
.and most of those areas are quite stable security- wise.

Hao magaidi kuweza kuwashambulia na kuwaua makeshi haimanishi ya kwamba jeshi hilo ni dhaifu. Mnafaa kuzingatia mbinu za hawa magaidi wanatumia kukabiliana na wanajeshi. Ni mbinu zisizo za kawaida kabisa. Kwa mfano mwanamke anakaa innocent kumbe amejifunga vilipuzi ndani ya buibui anayovaa.

Tangu Barack Obama kuingia madarakani 2008 hadi alipowaondoa majeshi wa Amerikani Iraq na Afghanistan in 2012, wanajeshi zaidi 2500 tayari walikuwa wameuawa kipindi hicho. Na ukumbuke nimewaelezea ya kwamba tangu 2010 hadi wa leo, majeshi 300 wa Kenya wameuawa Somalia.
Je, hiyo ni kumanisha majeshi ya Amerika ni dhaifu ukilinganisha na hao maghaidi? Ama je, majeshj ya Kenya yamezidi ya Amerika ujuzi kukabiliana na ughaidi?
 
Uwezo binafsi wa nguvu za kijeshi na zana zake ni siri ya nchi, kwahiyo endeleeni kutabiri.
 
hivi unajuaje nguvu za mtu pasipo kupigana naye....me naomba tupigane kidogo na hawa Kenya
 

Hilo lilikuwa aibu kubwa kwa nchi yetu, lakn usitumie suala hili la hao wapumbavu wachache kuamua kupora bidhaa Westgate to kunegate the prowess of the Kenyan military. If such moments of mischief ndio zinaindicate how ineffective a military is, then America probably has one of the most bogus militaries on the world!
Hilo suala la Wstgate is besides the point, hapa tunazungumzia uwezo wa makeshi in varous aspects, in terms of skills, equipment and technology, logistics, budget and personnel.

Kusema ya kwamba Tz iko na nguvu sana, inaweza kuwamaliza hawa maghaidi kwa haraka sana kushinda yale majeshi yalio huko Sonalia ni ubaradhuli sana.
Hii vita dhidi ya ughaidi sio sawa na zile vita za kawaida JWTZ ilishuhudia huko Uganda na kwengine. This is different, it's as though u are fighting an enemy u cannot see.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…