Kenya yapata PET CT scanner ya kwanza Afrika Mashariki na Afrika ya Kati

RAIS WETU MAGUFULI AMESHALISIKIA HILO MASHINE HIZO ZITAFUNGWA NA TANZANIA PIA,TENA KATIKA HOSPITALI ZETU ZA TAIFA,OCEAN ROAD.
 
Hahaha nikiri tu wazi ni kweli Tanzania nzima hakuna hospital hata moja yenye ST-Scan hata hizo ulizozitaja hazina hicho kifaa
REDEEMER hapa tukisema Hospitali za rufaa tunamaanisha Bugando, KCMC, Mbeya referal, Benjamini Mkapa, Muhimbili na sasa hivi Mloganzila, zote hizo zina CT-scan, kipimo pekee ambacho kipo Muhimbili na Mloganzila ni MRI na Cath-lab, jaribu kufuatilia. Hivi karibuni wamezifanya hospitali zote za Mikoa kuwa referal lakini kwa ngazi ni level 5 Hospitals, hazijafikia level ya hizo nilizozitaja
 
Hahaha Mkuu hatuna st-scan tuna ct-scan inabidi atueleze hizo st-scan ni vidubuasha gani sababu inaonekana vimevumbuliwa hivi karibuni.

Huyo jamaa anaonekana hajui hata kitu anachokiongea hata hiyo Bima yake ya ARR ndio naisikia leo ndio maana nikamuomba anipe ufafanuzi nami niipate niweze kujichagulia hospital za marekani
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Jamani jamani nyie manyang'au vipi...? Ocean Road Cancer Institute Dar es Salaam mbona inayo (PET Scan ...Positron Emmision Tomograph)toka siku nyingi...
 
Ndio tunajenga SGR! Sasa kwa sababu sisi ndo tunajenga hutaki tuseme kisa tu nyie mmemaliza kujenga hicho kiberenge chenu kinachotema moshi utafikiri kinatumia makaa ya mawe? Ebo!; Au basi tuharakishe huo ujenzi ili kukufurahisha kisa tu SGR
yenu imekamilika?

Wakati unaongea huu upupu wako kuhusu SGR inabidi ujue kuwa wakati nyie mnajenga nchi kadhaa za kiafrika tayari walikuwa wamekamilisha sgr zao, ni sawa na sisi wakati tunajenga ninyi yenu tayari imekamilika! Sioni shida hapo!

Pengine labda hujui tu, wakati wewe unabwabwaja na hiyo SGR, serikali yenu kila siku inatuma wawakilishi kuja kujifunza kuhusu BRT, kitu ambacho sisi tumekichoka kama wewe unavyojidai kuchoka SGR.

Na pengine labda huu wimbo kuwa umeichoka hyo SGR yenu ni kwa sababu ya moshi inaotema[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]

BTW, Hongereni kwa hiyo PET CT scanner!
 
Jamani jamani nyie manyang'au vipi...? Ocean Road Cancer Institute Dar es Salaam mbona inayo (PET Scan ...Positron Emmision Tomograph)toka siku nyingi...
Mnayo siku nyingi na PET scan ni uvumbuzi wa hivi maajuzi? Kwani PET scan ilivumbuliwa Tanzania? Imekuwa huko miaka ngapi? PET scan sio scanner ya kuscan pet yako kama vile mbwa au paka bali ni mashine inayotumia gamma rays kuidentify radioactive tracers uliyomeza mwilini. Technology kama hii bado hamna. Hata sisi hatuna ndio tuko mbioni kuianzisha. Seek information all the time.
Fuata link ujielimishe uache kujiaibisha mbele ya dunia nzima.
Positron emission tomography - Wikipedia
 

Hehehe umeguswa pabaya...
Hapa hatuzungumzii kuhusu SGR ya nchi zingine, tunaongea kuhusu nyie ambao kila kitu mkifanyacho na kututambia huwa tulishakichoka enzi zile. SGR kwetu sio issue tena wakati nyie bado mnapiga mapicha ya selfie za PR.

Hayo ya BRT ni makosa hatuwezi kuyafanya Kenya, na wanaokuja Bongo kujifunza lazima wanaharibu hela ya serikali, sisi tunawaza kuhusu treni za kukatiza maeneo ya mjini kati.

 

Hehehe umelibwaga chini hilo lijamaa.... Hawa jamaa aibu tu.
 
.....Duh hii sasa kali, wenzako tayari wana install watu waanze kufaidika, wewe unazungumzia ahadi ambayo hujui lini itatekelezwa...
 

Habari za kuguswa pabaya sio pahala pake maana sina mashali binafsi bali naongelea uhalisia!

Ukisema BRT hamwezi kufanya wakati wewe sio msemaji wa serikali basi unanishawishi niamini kuwa unachangia kwa mihemuko maana GoK ndo inawatuma kila siku na last week kama sio early this week walikuwepo!


Suala jingine ni kuwa, kutangulia kufanya kitu basi haimaanishi wengine waache!nNimekupa mfano kuwa wakati nyie mnaanza kujenga nchi kadhaa za kiafrika tayari walikuwa wamechoka kuitumia kama wewe unavyojidanganya hapo!

Lastly, hiyo plani uliyoweka hapo ingepwndeza kama ingekuwa in progress, ukitaka plan tu tutajaza servers bure
 
Kenyans are very funny, yaani watu wazima mnakuja kutambia takataka za kichina!!!
 
....Agakhan, KCMC cheap hospitals?
 
....Kitu mnachoshindwa kuelewa ni kwamba once hiyo huduma ikiwepo hapo nchini mwao, irrespective of being owned by private hospital, itakuwa msaada mkubwa sanaa. Ikiwa watu wanaenda mpaka India au south Africa, huoni kwamba itasaidia even nchi jirani?
 
Kenyans are very funny, yaani watu wazima mnakuja kutambia takataka za kichina!!!
Ujumbe haukuwa wako bali wa Wakenya hapa JF lakini kwa wivu na kutoamini ukaamua kutoa povu hapa.
 
Ni kweli kabisa unalosema, ila tunachojadili hapa ni serikali au wananchi kuipongeza serikali kwamba imefanya, mfano mzuri ni serikali ya Tanzania kushindwa kuiendesha TTCL badala yake ijisifie kwa utendaji mzuri wa Vodacom, Tigo au Airtel, japo zinatoa huduma bora, lakini serikali haijawekeza hata shilingi moja zaidi ya kutoa vibali.
 
Kisii Hospital ni level 6 kwanza...
rusha picha za vifaa tuone kama uko nazo
Level 6 sawa na KNH!?? nafikiri hiyo title wamepewa juzi juzi sidhani kama equipments za level 6 zimeshawasili,



kuna hii picha hapa ya 2014/15 ndo ujenzi wa Level 6 ndo ulianza, so probably equiping haijafanyika, sijui kama ujenzi ulikamilika


Kwa mfano hii hapa video ya 2016, bado ilikua iko level 5, na hata hao kulingana na hii video ilibidi wa refer conjoined twins waliokua wamezalisha hapo kisii to KNH for separation diagnosys
 
perhaps haukusoma hio habari nilioweka pale nyuma, Serekali kuu ilishapiga dili na manufaturers kama philips,GE..... kwahivyo kwa equipments hakuna shida, shida ilikua hakuna nafasi ya kuweka hizi equipments kwa hizi hospitali, kwahivyo hapa si wishes tu, sahii ukienda kwa 90% ya tovuti za county governments hautakosa kuona tender au ujenzi wa projecs za kupanua hospitali au kujenga mpya kabisa..... ipatia hadi 2020 hivi kila county itakua na hospitali angalau mbili level ya juu sana..



"Today I officially launched medical equipment at the Nakuru Level 5 Hospital."








 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…