Kenya yapata PET CT scanner ya kwanza Afrika Mashariki na Afrika ya Kati

Umezungumza mambo mengi, ngoja nijaribu kuyatolea maelezo
1)Japo hazitoshi lakini CT scan zipo 2 Muhimbili, na Mloganzila ipo kubwa sana na yakisasa, na Hospitali zote za rufaa hapa nchini wanazo
2)Kuhusu Lisu matibabu yake, hakuna sehemu ambayo hakufanyiwa haki, kama wewe ni mwanachama wa bima ya Afya yoyote ile unajua masharti na taribu zote za hiyo bima ya afya, na kawaida unakuwa na kadi yako, ukiugua huna sababu yoyote ya kumuambia muajiri wako akulipie, unachukua kadi yako na kuenda kwenye hospitali zinazopokea kadi yako, huwezi wewe mwenyewe kuamua kwenda unakotaka bila kufuata utaratibu wa bima yako unavyosema, kesha unaanza kumlalamikia muajiri wako wakati kadi yako ya bima unayo.
Kuhusu Hosp za rufaa kuwa na ST Scan ni uongo! Kwa sasa hosp zote za Mkoa Tz zimeongezewa neno Referal Hosp ktk vibao vyao. Niliwahi kuwa Hosp ya Mkoa wa Mara for the past 3 months watu wanakufa kama wadudu. Hakuna madawa, Hakuna madaktari, hakuna vifaa, cha bure mle ni kitanda pekee. Ebu tuache siasa za Taarabu za akina H. Harakaharaka.
Wao wanakupiga tu lile ya mionzi (X-ray) hiyo ST Scan yako wanaiskia tu.

Bugando ni Referal Hosp ya Kanda....wana ST Scan 1 nzee ya kusuasua. Mwaka jana most of the time ilikuwa off. Watu walikuwa wanakuwa Referred huko Kilumba. Kwa sasa mashine hiyo ipo Uhuru Hosp (private) 350,000.

Nadhani siasa za uongo, na maneno ya ulagai hafai ktk maisha ya Raia.

Hosp zote ulizotaja zipo Dar!! Je Dar ndio Tz?

Kwa Wabunge wa CHADEMA tu ndio taratibu zina apply? Huyo Speaker katibiwa mara ngapi Germany na India?

Ebu tuache hoja za kitoto. Niumwe mm afu ww unichagulie Hosp? Ww ni nani? Kwani Apolo -India, serikali ilikotaka kumpeleka T. Lissu na The Nairobi Hosp- Kenya ipi ni nafuu na Ipi ipo ktk East Africa Community?
 
Kuna uwezekano mkubwa wewe ni mtu wa kijiweni hata bima ya afya huna na hujawahi kuwa nayo, kama ulishatumia bima ya afya, unaweza kuwaambia hivyo kwamba naumwa mimi kwa hiyo hamuwezi kunichagulia hospitali ya kwenda?, acha kuleta mambo ya kuvuta bangi, kila kitu kina taratibu zake, kama hutaki kufuata taratibu jilipie mwenyewe, muulize Zitto Kabwe au James Mbatia, wote walipelekwa India kutibiwa, kwanini wao wafuate taratibu lakini Lissu ajiamulie?,

Kuhusu Hospitali za rufaa nilizomaanisha sio ni Muhimbili, Ocean road, Mbeya, KCMC, Benjamini Mkapa Dodoma na Bugando, hizo zingine za mikoani zilizopandishwa juzi sikumaanisha hizo, suala la mashine kuharibika hilo linawezekana, ila tunachozungumzia ni kuwepo kwa mashine, hwa zinachakaa na kuhitaji matengenezo
 
Tatizo wenye akili fupi ndio hujifanya wajuaji Tz! Mf asiye na cheti kuongoza mji mkuu wa nchi uliojaa na maprofessa ndio yako hapa pia.

ARR Insurance tu kwa Raia wa kawaida Referral ya kwanza nje ni Nairobi Hosp au Aghakan Kenya, then Europe na the rest.

Hii hii Tz test za Ebola tu walipeleka Kenyan Laboratories. Zica -S. Africa.

Na utofautishe Bima ya Mbunge + Diplomatic Passport na BIMA za wakulima wenu za NHIF!!

Eti Tz ukiwa CCM na ukawa muongeaji hata wa utumbo ww ndio kichwa!!
 
Kama nilivyohisi kwamba wewe ni mtu wa kijiweni, hujawahi kutumia bima yoyote ya afya, unasikia tu AAR, kila bima ina masharti yake, ni laxima wao ndiyo wataamua wapi wakupeleke kutokana na hali yako wanavyoiona, kumbuka bima zote zina madaktari wao na hospitali zao pendekezwa, hujiamulii wewe mwenyewe vile upendavyo, wote tungeamua kwenda kutibiwa ulaya.

Kwanini akina Zitto na Mbatia walipelekwa nje bila tatizo?, huyu Lissu kwanini asifuate taratbu kama wenzake?, kwani Mbatia sio mbunge wa upinzani?, Zitto sio mbunge?, acha kuleta maelezo ya wavuta bangi
 
Jibu hoja ww. Hunijui sikujui!!

Yaani ww unachukulia Bima kama kitu cha ajabu sn sijui? Wakati ni nchi mbovu tu inapaswa kila raia awe na Bima tokea kuzaliwa tu. Hizo za wakulima wenu NHIF individual tu ni Tshs 78,000, sasa hii nayo ni hela au hujui hata gharama za Bima ndio maana unaropoka tu? Au unalipiwa hata A wala Z za Bima hujui Utakuwa mshamba sn ww!!
 
Hata kama bima ni shilingi kumi, lakini ni lazima iwe na masharti yake, usipoyafuata hiyo bima haitokulipia gharama za matibabu, Lissu lazima afuate masharti ya bima yake ya afya aliyonunuliwa na bunge kama wabunge wengine wote wanavyofanya, amuulize Zitto au Mbatia watamuambia, kinyume cha hapo itabidi ajilipie mwenyewe
 
Kwahiyo BIMA ya Mbunge imekwambia Nairobi Hosp hairuhusu? Je unaweza compare status (condition) aliyo kuwa nayo Mbatia na hali aliyokuwa nayo T. Lissu given the emergency/urgency?

Na ni kwann CCM wanakuwa vimbelembele saaaanaaaa kusemea hili suala ili hali ofisi ya Bunge haisemi chochote (wanafahamu T. Lissu yupo ndani ya taratibu) na B4 ndege kupaa taratibu zote zilifuatwa?
L. Lissu ni wakili....anadai haki yake akijua kabisaa yupo ndani ya sheria. Kazui Polisi wa Tz kumhoji coz anaijua sheria. Ww unaifahamu Bima ya Mbunge ina vipengele gani?
 
Wewe akili yako ni ndogo sana, ndiyo sababu nikakuambia hujawahi kutumia bima wala hujui inavyofanya kazi. Wabunge wote wamekatiwa bima ya NHIF, kama zilivyo bima zingine zote, zina hospitali zake ambazo lazima kwanza upitie kwenye Hospitali hizo, madaktari wao chini ya bima husika ndiyo wataona kama hawawezi watatoa referal kwenda kwenye nchi wanakayoamua wao, huo ndiyo utaratibu, kama hukubaliani na utaratibu huo basi jilipie, huwezi kutaka wafanye vile upendavyo wewe.

Pale Dodoma kabla ya kuamua kumpeleka Nairobi, Mbowe na viongozi wa Chadema walikiri kwamba huo ndiyo utaratibu ila kutokana na hali ya usalama waliona bora watoke nje ya utaratibu na wako tayari kugharimia wenyewe matibabu, sasa kelele zanini, kwanini msiwaulize Mbatia na Zitto walivyofanya?
 
Huna uelewa wowote wa mambo nchini! Hicho kipengele kimepitishwa mwezi jana....na waziri wa Afya nchini hakikuwepo.

Na tambua BIMA zina Grade. Zipo Silver, Diamond or Gold, nk kutona naming. Wengine, Green, etc. Hawa hupata treatment tofsuti hata kama Bima ni ya shirika moja.

Ww umemeza tu Bima Bima Bima. Hujui chochote kuhusu Bima afu unajidai unaijua coz una mass Life Insurance!
 
Thika Level 5 referral Hospital

1610993.jpg

morgue with capacity of 120 bodies
THIKA-LEVEL-5-MORGUE.jpg

blogger-image--1184679907.jpg

0fgjhs7d34a34c5j9.37b21536.jpg

0fgjhs19jbaose2a9g.10134cc5.jpg

0fgjhs6cab2fusjat.70d90ce8.jpg

thika-level-5-11-jpg.486197

thika-level-5-1-jpg.486186
Kisii Hospital ni level 6 kwanza...
rusha picha za vifaa tuone kama uko nazo
 
Huna uelewa wowote wa mambo nchini! Hicho kipengele kimepitishwa mwezi jana....na waziri wa Afya nchini hakikuwepo.

Na tambua BIMA zina Grade. Zipo Silver, Diamond or Gold, nk kutona naming. Wengine, Green, etc. Hawa hupata treatment tofsuti hata kama Bima ni ya shirika moja.

Ww umemeza tu Bima Bima Bima. Hujui chochote kuhusu Bima afu unajidai unaijua coz una mass Life Insurance!
Mjinga mkubwa wewe, hata kama ni grade gani, utaratibu ni huo huo, iwe ni AAR au ni bima nyengine yoyote ile, na sio hapa Tanzania tu, dunia nzima masharti ya Bima yanafanana, kwamba huwezi kujiamulia wewe mgonjwa nchi ya kwenda kujitibia, lazima wao wajiridhishe kama kweli kuna haja na umuhimu wa kupelekwa nje ya nchi, iwe ni gold, silver au diamond grades, huwezi, huwezi hata kidogo kujiamulia nchi ya kwenda.

Ushauri wangu kwako ni kwamba Bima ya afya ni kitu muhimu sana, wewe tangu kuzaliwa hujawahi kuwa na bima ya afya na wala huijui, siku hizi zimeshuka bei sana, nenda kata bima itakusaidia
 
Akili za CCM ziko makalioni. Mngejua taratibu Speaker apige mgombea mwenza hajashitakiwa?
Bima mm nina ARR siwezi chukua hizo za foleni utadhani nipo gulioni.

Hivi hizo hela mnazo nunua Wabunge, madiwani, na Wenyeviti wa CHADEMA jumlisha chaguzi za marudio, nk hamuoni ni bora mngepunguza hata mikoa 2 ile ahadi ya Mil 50 kila kijiji? Au ndio mamburula yamekutana yanashauriana ujinga tu?

Kwa akili finyu za CCM mlidhani T. Lissu atakufa eti? T. Lissu anatibiwa na kodi zetu wananchi, ni Mbunge siyo Pesa za JPM au NHIF siyo hiari.

Hujui hata maana ya Urgency situation ambapo hata exception za Bima huruhusu. So natwanga maji kwenye kinu buree.
Au kwenu hizo karatasi za kusain na kumuona Mhimbili ni mhimu sn kuliko Uhai wa T. Lissu?

Mmechagua Balozi ana 60+ hata ngazi hawezi kupanda peke yake ndio mseme mnajua taratibu za nchi!

Shame on you. Na Mungu awaangamize waovu wote, walio husika dhidi ya T. Lissu.
 
Wewe hayo yanakujaje wakati nimekushauri ukakate bima ya Afya?, wewe hujawahi kuwa na bima wala huna uwezo wa kulipia bima, sema kwa mwaka AAR ni kiasi gani umelipia?, wewe hujui hata masharti ya bima yakoje unasema kuna emergency inayoruhusu mgonjwa kujichagulia matibabu, hizo ni bangi.

Bahati nzuri form zenye masharti yote ya AAR zipo online, sema ni kifungu gani na form namba ngapi inayozungumzia kwamba kuna emergency inayoruhusu mgonjwa ajiamulie kwenda kutibiwa nchi anayotaka, sema ili niingie kwenye website ya AAR.

Wewe hujui chochote kuhusu bima, wewe ni jobless hujawahi kutumia bima hata siku moja, inawezekana unavuta bangi, kwasababu hata mazungumzo yako hayatulii sehemu moja, mara wabunge, mara waziri mzee, mara milioni 50, acha bangi tafuta kazi ufanye.
 
Hongera sana Kenya. Sie tunawekeza kwenye bombadia za kuja huko kutibiwa
 
We kibwengo kukuelimisha ni shida. Who said about a commitee formed by the President. Do you know what a parliamentary comitee is? This is a mandatory commitee formed by any assembly, be it National or what I was talking about in the counties. Each commitee has its own specialisation. E.g Public Accounts Commitee in the National assembly which deals in matters of accountability as far as use of funds is concerned. Education, Security all have commitees in the National Assembly. Health being devolved the county assemblies have their own commitees. Which together with their resective county executives set the health agendas for the counties. My point MCAs madiwani wa Kenya ndo wanaofanya kazi ambayo Magufuli anafanya. Kujenga mahosipali kununua machine n.k.
*Committee shushube
 
Akili za CCM ziko makalioni. Mngejua taratibu Speaker apige mgombea mwenza hajashitakiwa?
Bima mm nina ARR siwezi chukua hizo za foleni utadhani nipo gulioni.

Hivi hizo hela mnazo nunua Wabunge, madiwani, na Wenyeviti wa CHADEMA jumlisha chaguzi za marudio, nk hamuoni ni bora mngepunguza hata mikoa 2 ile ahadi ya Mil 50 kila kijiji? Au ndio mamburula yamekutana yanashauriana ujinga tu?

Kwa akili finyu za CCM mlidhani T. Lissu atakufa eti? T. Lissu anatibiwa na kodi zetu wananchi, ni Mbunge siyo Pesa za JPM au NHIF siyo hiari.

Hujui hata maana ya Urgency situation ambapo hata exception za Bima huruhusu. So natwanga maji kwenye kinu buree.
Au kwenu hizo karatasi za kusain na kumuona Mhimbili ni mhimu sn kuliko Uhai wa T. Lissu?

Mmechagua Balozi ana 60+ hata ngazi hawezi kupanda peke yake ndio mseme mnajua taratibu za nchi!

Shame on you. Na Mungu awaangamize waovu wote, walio husika dhidi ya T. Lissu.
ARR insurance nitaipataje kamanda? Sababu naona itakua na vifurushi vya kufa mtu
 
Kuhusu Hosp za rufaa kuwa na ST Scan ni uongo! Kwa sasa hosp zote za Mkoa Tz zimeongezewa neno Referal Hosp ktk vibao vyao. Niliwahi kuwa Hosp ya Mkoa wa Mara for the past 3 months watu wanakufa kama wadudu. Hakuna madawa, Hakuna madaktari, hakuna vifaa, cha bure mle ni kitanda pekee. Ebu tuache siasa za Taarabu za akina H. Harakaharaka.
Wao wanakupiga tu lile ya mionzi (X-ray) hiyo ST Scan yako wanaiskia tu.

Bugando ni Referal Hosp ya Kanda....wana ST Scan 1 nzee ya kusuasua. Mwaka jana most of the time ilikuwa off. Watu walikuwa wanakuwa Referred huko Kilumba. Kwa sasa mashine hiyo ipo Uhuru Hosp (private) 350,000.

Nadhani siasa za uongo, na maneno ya ulagai hafai ktk maisha ya Raia.

Hosp zote ulizotaja zipo Dar!! Je Dar ndio Tz?

Kwa Wabunge wa CHADEMA tu ndio taratibu zina apply? Huyo Speaker katibiwa mara ngapi Germany na India?

Ebu tuache hoja za kitoto. Niumwe mm afu ww unichagulie Hosp? Ww ni nani? Kwani Apolo -India, serikali ilikotaka kumpeleka T. Lissu na The Nairobi Hosp- Kenya ipi ni nafuu na Ipi ipo ktk East Africa Community?
Hahaha nikiri tu wazi ni kweli Tanzania nzima hakuna hospital hata moja yenye ST-Scan hata hizo ulizozitaja hazina hicho kifaa
 
Kenyan mothers too poor to pay for treatment locked up in hospital
Regina-Wanza-and-child-in-001.jpg

Regina Wanza, 19, and child in Nairobi. They were held for three months because she could not pay for the delivery charge. Photograph: Xan Rice

As a poor woman from the slums, Monica Wanjiku knew that gaining admission into a maternity hospital would be difficult. Leaving was to prove much harder.

Three weeks past her due date, Wanjiku was referred as an emergency case to Nairobi's Pumwani hospital, the biggest maternity facility in east Africa. She gave birth to Aftab, a healthy boy weighing 3.9kg (8lb 5oz).

But when she was unable to pay the £27 delivery fee the hospital refused to discharge her. Instead, Wanjiku was moved to a special detention ward housing 42 other poor mothers and allocated a bed already shared by two women with babies. She and Aftab would not be allowed to leave until she cleared her bill, which would rise daily, the nurses told her.

"I kept explaining that I had no money and another child at home to take care of, but the hospital said I was lying," said Wanjiku, 24, a single mother from a slum in Kamukunji. "I felt like a prisoner."

After eight weeks, when a civil society group shamed the hospital into releasing her, Wanjiku's bill had increased to £120 and her breast milk had dried up, causing Aftab's weight to fall.

Her story is not unique. Cash-strapped state and private hospitals in Kenya are routinely locking up patients to press family members and friends to pay up – and to send a message to poor people to stay away.

In May, the scandal received national prominence when a local television station used a hidden camera to show how 44 new mothers were being held in a locked room at the Kenyatta National hospital. A shocked viewer paid nearly £10,000 to clear their bills, but the exposé did little to change practices. While Pumwani publicly denies detaining patients, the Kenya Network of Grassroots Organisations (Kengo) found 34 mothers being held there against their will on Monday in "inhuman" conditions.

In government and council-run hospitals social workers are meant to waive the bills for the poorest patients, but the policy is rarely applied properly – even in the case of a child dying. Another recently detained mother, Aisha Munyira, 25, said she was held in a guarded ward at Pumwani with about 60 other women and their babies for more than a month after her child died soon after birth in March. She said that she had no choice but to allow the hospital to bury the body anonymously.

"These detentions are a form of psychological torture," said Evelyn Opondo, senior programme officer at the Federation of Women Lawyers, in Nairobi, who has documented a case of a mother being held with her baby at a private hospital in western Kenya for more than two years due to non-payment.

"The hospitals do not publicly declare it, but the practice is widespread."

Despite pledges by the main political parties before the last election to introduce free maternity care, state hospitals have continued a 20-year policy, originally pushed by the World Bank, that requires "cost-sharing" for all public services.

In Nairobi's slums, where the majority of people live below the poverty line, most mothers give birth at home in potentially dangerous conditions, or, if they can afford the transport, in cheap government clinics, where the delivery fee is less than 20p. But pregnant women with complications have little choice but to seek hospital admission.

Alice Otieno, a midwife in Mathare, a sprawling slum near the city centre, who typically delivers at least one child a day in her living room, said she felt bad sending patients to hospital.

"I know that there is a good chance they are going to be detained," she said.

According to mothers who have been locked up, the security is tight – guards control access to the wards, the patients' civilian clothes are taken away and visitors are discouraged. The food is poor – mostly rice and cabbage and one portion of fruit a week. Sending babies home with relatives is forbidden. Even those who manage to clear their original bills are not released if they cannot also pay the additional charges of up to £3.60 a day.

The situation causes desperation. Munyira, the woman who lost her child, said a mother in her ward had jumped out of the window to try to get away, breaking her leg. But some do manage to escape.

Beatrice Achieng, a 31-year-old HIV positive widow from the Mathare Mums support group, who went to Pumwani in the hope of preventing transmission of the virus to her baby, managed to slip past a sleeping guard after being detained in a ward for several months after her child died. Regina Wanza, 19, who had just arrived alone in Nairobi from eastern Kenya when she went into labour, crawled through a hole in the hospital fence.

"Some of the mothers were sleeping on the floor. It was very bad to be locked in there," Wanza said.

Wangui Mbatia, the executive director of the Kengo, said her organisation was going to ask western donors to stop funding health programmes in Kenya until the hospitals changed their practices. She is also exploring ways to help patients who have been detained to sue for compensation.

"This policy is illegal, unnecessary and nonsensical because there's no way that most of these women can settle their bills. It's a government working against its people," she said.

When asked about the detentions, Dr Charles Wanyonyi, medical superintendent of Pumwani hospital, said: "I am not aware of any of these cases. We have a very nice waiver committee, so I don't think it is possible that people have been detained."

A spokesman for Kenyatta National hospital, which is currently holding about 400 patients – not only women – for non-payment of bills, defended the policy and said that all of the people detained had the ability to pay.

"We are unable to procure new equipment and drugs because of the problems of bad debt," said Simon Githai, chief public relations officer for the hospital. "The culture of not planning for unforeseen circumstances in this country needs to change."

Peter Anyang' Nyong'o, the medical services minister, has announced plans for a national heath insurance scheme, funded by a new tax on workers, to help the poor get access to hospital care. During a parliamentary debate he expressed sympathy for the detained patients – but also for the hospitals.

He said it was an "inhuman situation" for mothers to be locked up "but also absolutely out of order for a patient to be treated and expect not to pay his medical bill".

Since you’re here …
… we have a small favour to ask. More people are reading the Guardian than ever but advertising revenues across the media are falling fast. And unlike many news organisations, we haven’t put up a paywall – we want to keep our journalism as open as we can. So you can see why we need to ask for your help. The Guardian’s independent, investigative journalism takes a lot of time, money and hard work to produce. But we do it because we believe our perspective matters – because it might well be your perspective, too.

In these times, it is imperative to have an independent newspaper that allows us to understand what is going on around us. The Guardian is an absolute necessity.Delphine M, Mexico
If everyone who reads our reporting, who likes it, helps fund it, our future would be much more secure. For as little as £1, you can support the Guardian – and it only takes a minute. Thank you.
 
Back
Top Bottom