Kenya yapeleka maombi IMF ya msaada wa $2.3B kusaidia kuendesha nchi

Kenya yapeleka maombi IMF ya msaada wa $2.3B kusaidia kuendesha nchi

Kenya imebaki na njia 2 za kuchagua kwasababu wakenya wameshindwa kujiongoza wenyewe
1)Kenya iwekwe chini ya uangalizi wa Tanzania
2)Wazungu warudishwe kuitawala Kenya

Lipi kati ya hili ni muafaka kwa sasa?
Tanzania itawale Kenya ndio mfanye uchumi wetu uwe mdogo kama wenu? Japo sisi tutajitawala tu bila usaidizi kutoka nje
 
Ati Tony254 unachagua lipi kati ya hizi options mbili?

And what is ur take on this?

BBI haijali maslahi yoyote ya mwananchi wa kawaida. Hii ni fursa ya Uhuru kuwa the next prime minister na Raila kuwa the next president. BBI ni mbinu ya leaders kugawana mamlaka.
 
BBI haijali maslahi yoyote ya mwananchi wa kawaida. Hii ni fursa ya Uhuru kuwa the next prime minister na Raila kuwa the next president. BBI ni mbinu ya leaders kugawana mamlaka.

na hapa umechagua lipi?

joto la jiwe said:
Kenya imebaki na njia 2 za kuchagua kwasababu wakenya wameshindwa kujiongoza wenyewe
1)Kenya iwekwe chini ya uangalizi wa Tanzania
2)Wazungu warudishwe kuitawala Kenya
Lipi kati ya hili ni muafaka kwa sasa?
 
Hawa huwa wanajidai ni vidume vya East Afrika kiuchumi,mala ya wajidai wamevumbua na wanazalisha bunduki,AK47 ya Kenya,mala tayari wanatengeneza magari.
Sasa uchumi gani ambao Hauna tija,Wala hauzalishi fedha za kuendesha nchi.
Uchumi wa kwenye makaratasi
 
Majirani kwa kutembeza bakuli hatari. Yaani kenya na mikopo ni chanda na pete
 
ningewapongeza kama ingekuwa viaduct ya metro! ila naona kinachofanyika ni misplaced priority na sababu Uhuru anajaribu kukimbiza legacy less than 2 years remaining!

Sorry sioni cha maana zaidi ya tembo mweupe!
Wewe hujawahi kupongeza mradi wowote wa Kenya. Anyway I expected this from you. I am not suprised.
 
Back
Top Bottom