Kenya yapeleka maombi IMF ya msaada wa $2.3B kusaidia kuendesha nchi

Kenya yapeleka maombi IMF ya msaada wa $2.3B kusaidia kuendesha nchi

Better believe it, half of this money if not all of it goes to government officials for personal use as money for tea ceremony or dialogue. Kenya is more than what we know, corruption will never end there in Kenya.
 
Galana ni muhimu zaidi lakini hii pia ina umuhimu wake.
Tatizo la Kenya ni kutopanga vipaumbele vizuri, kila kitu kina umuhimu wake, hatuwezi kuvifanya vyote kwa wakati mmoja, lazima tuanze na vile muhimu zaidi. Hii kitu haina umuhimu wowote kwa sasa, bora hata mngejenga railway kwrnda Airport mkatumia DMU zenu, hii ni kwa ajili ya watu wachache matajiri na Politicians.
 
We asked our ''development partners'' to fund 4 lanes project from Dar Es Salaam to Chalinze. They refused citing that we don't need such a project. We decided to fund the project ourselves (Tanzanians) and changed the initial project plan to 8 lanes. This has shown us that the ''development partners'' are not interested in our development but on their wishes to continue to make us believe that we cannot undertake or make any decisions without their permission.

Africans should wok up! (JPM)
 
Mtu anafurahia elevated highway ya kulipia, muulize lengo la hiyo daraja ni kuondoa nini[emoji23][emoji23][emoji23].

hata yeye hajui.
 
mtu anafurahia elevated highway ya kulipia,muulize lengo la hiyo daraja ni kuondoa nini[emoji23][emoji23][emoji23].

hata yeye hajui.

Kumbe hii ni toll road. Ukisikia nchi imegawanywa vipande vipande na kupigwa bei ndiyo hivi. Wanashangilia, hawajui hiyo ni mirija ya watu kuwanyonya wakenya for eternity.

Mazuzu wengine wanashangilia.
 
We asked our ''development partners'' to fund 4 lanes project from Dar Es Salaam to Chalinze. They refused citing that we don't need such a project. We decided to fund the project ourselves (Tanzanians) and changed the initial project plan to 8 lanes. This has shown us that the ''development partners'' are not interested in our development but on their wishes to continue to make us believe that we cannot undertake or make any decisions without their permission.

Africans should wok up! (JPM)
Lakini mupunguze kujipiga kifua.
 
Kumbe hii ni toll road. Ukisikia nchi imegawanywa vipande vipande na kupigwa bei ndiyo hivi. Wanashangilia, hawajui hiyo ni mirija ya watu kuwanyonya wakenya for eternity.
Mazuzu wengine wanashangilia.
Nairobi in the next 2 years hutaweza kufananisha na Dar. Wewe endelea kucheka tu.Tuna flyover nyingine mpya tunaanza kujenga January
 
Nairobi in the next 2 years hutaweza kufananisha na Dar. Wewe endelea kucheka tu.Tuna flyover nyingine mpya tunaanza kujenga January

[emoji23][emoji23][emoji23]bro on serious note umeongea kitu kikubwa sana.

two years to come,itakuwa ni ujinga kuiweka DSM na nairobi eneo moja.
 
BBI haijali maslahi yoyote ya mwananchi wa kawaida. Hii ni fursa ya Uhuru kuwa the next prime minister na Raila kuwa the next president. BBI ni mbinu ya leaders kugawana mamlaka.
Ndio mnajisifia mna katiba nzuri! Yan mtu atoke urais aje kuwa pm!kama russia vile Putin na medved wanavyofanya!
 
Ndio mnajisifia mna katiba nzuri!yan mtu atoke urais aje kuwa pm!kama russia vile putin na medved wanavyofanya!
Na nyie, yaani mtu ashinde viti vyote vya ubunge halafu bado mnajisifia kuwa demokrasia? Nyie ni useless kabisa.
 
Na nyie, yaani mtu ashinde viti vyote vya ubunge halafu bado mnajisifia kuwa demokrasia? Nyie ni useless kabisa.
Demokrasia ipi ambayo unaongelea? Ya Kenya au Tanzania? Afrika lazima tuamke, watu ambao kila uchwao wanapiga kelele za demokrasi wakati ndio wezi wakubwa wa mali za umma ni hatari sana. Chunguza wapinzani wengi wa Afrika wanalipwa na wale ambao wanafaidi keki ya hizo nchi kupitia makampuni yao binafsi. Je, Afrika tupo tayari kuwatetea wezi wa rasilimali zetu na sio raia wenye kipato cha chini na ambao hawawezi kuwalipa wapinzani?
 
Back
Top Bottom