Tanzania itawale Kenya ndio mfanye uchumi wetu uwe mdogo kama wenu? Japo sisi tutajitawala tu bila usaidizi kutoka njeKenya imebaki na njia 2 za kuchagua kwasababu wakenya wameshindwa kujiongoza wenyewe
1)Kenya iwekwe chini ya uangalizi wa Tanzania
2)Wazungu warudishwe kuitawala Kenya
Lipi kati ya hili ni muafaka kwa sasa?
Ati Tony254 unachagua lipi kati ya hizi options mbili?Kenya imebaki na njia 2 za kuchagua kwasababu wakenya wameshindwa kujiongoza wenyewe
1)Kenya iwekwe chini ya uangalizi wa Tanzania
2)Wazungu warudishwe kuitawala Kenya
Lipi kati ya hili ni muafaka kwa sasa?
BBI haijali maslahi yoyote ya mwananchi wa kawaida. Hii ni fursa ya Uhuru kuwa the next prime minister na Raila kuwa the next president. BBI ni mbinu ya leaders kugawana mamlaka.
BBI haijali maslahi yoyote ya mwananchi wa kawaida. Hii ni fursa ya Uhuru kuwa the next prime minister na Raila kuwa the next president. BBI ni mbinu ya leaders kugawana mamlaka.
joto la jiwe said:
Kenya imebaki na njia 2 za kuchagua kwasababu wakenya wameshindwa kujiongoza wenyewe
1)Kenya iwekwe chini ya uangalizi wa Tanzania
2)Wazungu warudishwe kuitawala Kenya
Lipi kati ya hili ni muafaka kwa sasa?
Afadhali mzungu. Mzungu ni shetani lakini anapenda maendeleo.na hapa umechagua lipi?
🤣 ☝️Afadhali mzungu. Mzungu ni shetani lakini anapenda maendeleo.
Umeskia kwamba tunajenga flyover nyingine Nairobi?🤣 ☝️
Mnaamsha na njaa piaGeza Jitu limeanza kuamka
Ubaya hio transparency pia hamna apo kenya watu wamepiga dili hela za covid.Mambo ya kawaida sana haya katika uendeshaji wa nchi, mbaya ni kuchukua kwa kufichaficha, fedha ichukuliwe na transparency ya matumizi iwepo
Wacha wivu wewe dogoMnaamsha na njaa pia
Wivu wakati unacheza kibarazani kwangu.......wivu ningekuja kwako kulialiaWacha wivu wewe dogo
Afadhali mzungu. Mzungu ni shetani lakini anapenda maendeleo.
ningewapongeza kama ingekuwa viaduct ya metro! ila naona kinachofanyika ni misplaced priority na sababu Uhuru anajaribu kukimbiza legacy less than 2 years remaining!Geza Jitu limeanza kuamka
Wewe hujawahi kupongeza mradi wowote wa Kenya. Anyway I expected this from you. I am not suprised.ningewapongeza kama ingekuwa viaduct ya metro! ila naona kinachofanyika ni misplaced priority na sababu Uhuru anajaribu kukimbiza legacy less than 2 years remaining!
Sorry sioni cha maana zaidi ya tembo mweupe!