Kenya yapiga hatua mbele kwa mazingira rafiki kwa biashara huku Tanzania ikirudi nyuma

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kenya na Ethiopia zimetajwa kama mataifa ambayo yamepiga hatua chanya kwenye kuboresha mazingira rafiki kwa wana biashara, mwaka jana Kenya ilikua kwenye nafasi ya 21 na imepiga hatua mbele na kuwa namba 9.
Uganda imerudi nyuma kutoka namba 12 hadi 17, nayo Tanzania ambayo mwaka jana ilikua nafasi ya nane, imerudi nyuma hadi namba 13.
-----------------------------------------------
East Africa's largest economies, Ethiopia and Kenya, are among Africa’s top investment destinations.

In its 2018 Africa Investment Index, Quantum Global Research Lab — Quantum Global’s independent research arm — ranked Ethiopia and Kenya at positions seven and nine, up from 21 and 15 respectively, the previous year.

Ethiopia improved largely due to the country’s strong economic growth, averaging 8.4 per cent over the past three years. It was fuelled by significant investments in public infrastructure.

This year, the World Bank estimates that Ethiopia will remain one of the fastest growing economies, but will slow down to 8.2 per cent from the 8.3 per cent forecast for 2017, as the country moves to stabilise public debt, which now exceeds 50 per cent of GDP.

The index assesses a country’s business environment, liquidity, risk, growth, social capital and demographic factors to “paint a picture of the investment attractiveness of countries in the medium term.”

Despite its protracted 2017 election, Kenya rode on a slight improvement in the ease of doing business, its relatively large economy and strong demographic factors to make it to the top 10 list, while Uganda slipped from position 12 to 17.

“Kenya’s elections are a known factor and investors have developed an inbuilt tolerance. Kenya remains a free market economy, a transit state to the wider region,” said Aly Khan Satchu, CEO of Rich Management.

The top five African investment destinations were Morocco, Egypt, Algeria, Botswana and Cote D’Ivore. Together, they attracted $12.8 billion in foreign direct investment inflows in 2016.

Tanzania, the only EAC country ranked in the top 10 list in last year’s results, slipped from position eight to 13 in what analysts attribute to President John Magufuli’s stance on foreign mining firms.

“Big ticket investments are caught in the crosshairs and crossfire of Magufuli’s bulldozer approach,” said Mr Satchu.

South Sudan climbed 15 positions to 36, due to a significant improvement in economic growth prospects. It ranked among the most improved economies.

Looking to invest in East Africa? Try Kenya, Ethiopia
 
Inakuwa vipi mnakuwa na mazingira rafiki lakini wawekezaji wanakuja Tanzania ?? FDI tunaongoza. Kwa sasa hata Ethiopia sio mshindani wetu tena kwenye swala la uwekezaji wa viwanda
 
Useless Indexes and Rankings. Magufuli unlike the corrupt uhuru kenyatta does not bribe these talkshop organisations that ranke coutries depending on how much they have been bribed.
If anyone is in doubt, Look at who got the highest FDI in EAC. How can TZ be ranked low if its getting the highest Foreign Direct Investment?
Tanzania leads regional peers in foreign direct investment
 
Unafiki wa viongozi wa Tz dhidi ya wanabiashara na wawekezaji sio jambo la kuchukulia kimzaha mzaha. Ngoma bado, dikteta uchwara akimaliza figisu na mipasho yake ya taarab ndio kitaeleweka.
 
Inakuwa vipi mnakuwa na mazingira rafiki lakini wawekezaji wanakuja Tanzania ?? FDI tunaongoza. Kwa sasa hata Ethiopia sio mshindani wetu tena kwenye swala la uwekezaji wa viwanda

Hilo swali rahisi kama ukiamua kutumia ubongo kufikiria, fahamu kwamba nyie huwavutia wawekezaji wengi kwa ajili ya wingi wa madini na mali ghafi, your bulk of FDI is based on extractive sector. Liinchi lote hilo limetafunwa madini kila kona, hivyo lazima wawashukie balaa, ambapo kuna wale huwekeza makao makuu Kenya halafu wanakuja kuja huko kuwinda.

Kenya, pamoja na kwamba ni kainchi kadogo, nusu yake kame, na madini machache, lakini tumejituma na kuboresha mazingira ya wao kuja kuwekeza maana nguvu kazi yetu ndio bora ukanda wote huu, hivyo inakua rahisi kuifanya nchi kuwa kitovu cha uwekezaji.
 
ona mjinga, Highest % of TZ FDI is in tourism..So many high class hotels & resorts being built. The rest is from Dangote industries who do cement and food processing. Mining sector has seen a fall in FDI as magufuli repositions TZ to benefit from its natural resources.
Wewe Ni Mjinga tena sana.
 
liinchi likubwa😀
Hilo swali rahisi kama ukiamua kutumia ubongo kufikiria, fahamu kwamba nyie huwavutia wawekezaji wengi kwa ajili ya wingi wa madini na mali ghafi, your bulk of FDI is based on extractive sector. Liinchi lote hilo limetafunwa madini kila kona, hivyo lazima wawashukie balaa, ambapo kuna wale huwekeza makao makuu Kenya halafu wanakuja kuja huko kuwinda.

Kenya, pamoja na kwamba ni kainchi kadogo, nusu yake kame, na madini machache, lakini tumejituma na kuboresha mazingira ya wao kuja kuwekeza maana nguvu kazi yetu ndio bora ukanda wote huu, hivyo inakua rahisi kuifanya nchi kuwa kitovu cha uwekezaji.
 
Unafiki wa viongozi wa Tz dhidi ya wanabiashara na wawekezaji sio jambo la kuchukulia kimzaha mzaha. Ngoma bado, dikteta uchwara akimaliza figisu na mipasho yake ya taarab ndio kitaeleweka.
FDI tunaongoza EasAfrica
Check out @WaturiWaMatu’s Tweet:
 
Hilo swali rahisi kama ukiamua kutumia ubongo kufikiria, fahamu kwamba nyie huwavutia wawekezaji wengi kwa ajili ya wingi wa madini na mali ghafi, your bulk of FDI is based on extractive sector. Liinchi lote hilo limetafunwa madini kila kona, hivyo lazima wawashukie balaa, ambapo kuna wale huwekeza makao makuu Kenya halafu wanakuja kuja huko kuwinda.

Kenya, pamoja na kwamba ni kainchi kadogo, nusu yake kame, na madini machache, lakini tumejituma na kuboresha mazingira ya wao kuja kuwekeza maana nguvu kazi yetu ndio bora ukanda wote huu, hivyo inakua rahisi kuifanya nchi kuwa kitovu cha uwekezaji.
Sio kweli. Nitajie wawekezaji wapya kwenye kipindi cha Magufuli kwenye madini ?? Kwa taarifa yako Leseni za madini Magufuli kafungia hadi apo baadae. Kwa sasa ni viwanda na utalii my friend.
 
Tz will always get FDI no matter the rankings or how bad the business environment is to the private sector because 95% of their FDI goes into extractive mining industry which tis unaffected by regular market factors because they always negotiate there own special deals.(I.e if Oil and gas and mineral companies can work in Iraq, Lybia,DRC where there is no business.....;]℅©¥???)

But a country like Kenya, its FDI goes into sensitive industries like real estate , banking, finance, pharmacuticals, therefor we literally have to improve the business environment for everything for them to feel comfortable to invest
 
Angalia mjinga mwingine..Mining sector is a very small portion of TZ economy..its only 6%. Infact, TZ can comfortably close down all its mines and nothing will happen to the economy
 
Dah hivi unajua nini maana ya FDI? Hivyo uelewa wako inahesabiwa tu pale wawekezaji wapya wamehusika.
 
Angalia mjinga mwingine..Mining sector is a very small portion of TZ economy..its only 6%. Infact, TZ can comfortably close down all its mines and nothing will happen to the economy
In your dreams.
Contribution and investments are two totally different things. The more than 55trillion cf Tanzania LPG Sector alone needs investment worth $50B to be productive , iron ore are capital intensive industry, a minimum of $4 billion is needed, a gold processing plant, diamond plant....... Gold alone contributes $1Billion to the Tz economy, so 6% to GDP is actually a lot! Remember mining revenues doesn't come all at once, each year its 6%, after 10 years it will cumulatively be 100% of Today's Tanzanian GDP
 
6% is a small portion compared to the rest of the economy 94%..And even worse is that TZ has mines not smelting or processing plants..so total effect to the economy upstream is minimal. Thats why JPM has said that If accacia does not agree to new terms that includes new smelting plants, they can as well pack and go.
But carelesly saying that Tz FDI goes to Mining is misleading and untrue, infact it has significantly reduced
 
Tz will always get FDI no matter the rankings or how bad the business environment is to the private sector because 95% of their FDI goes into extractive mining industry which tis unaffected by regular market factors because they always negotiate there own special deals.(I.e if Oil and gas and mineral companies can work in Iraq, Lybia,DRC where there is no business.....;]℅©¥???)

But a country like Kenya, its FDI goes into sensitive industries like real estate , banking, finance, pharmacuticals, therefor we literally have to improve the business environment for everything for them to feel comfortable to invest
Magufuli alifungia leseni za uchimbaji wa madini. Unaongea na mtu anae fanya hiyo biashara. Acha kulisha watu ujinga
 
Angalia mjinga mwingine..Mining sector is a very small portion of TZ economy..its only 6%. Infact, TZ can comfortably close down all its mines and nothing will happen to the economy
Mimi nafanya biashara wa madini. Nimemwambi anipe evidence ya wakezaji wapya kwenye mining. Akishindwa nampa mimi
 
Back
Top Bottom