Kenya yapiga hela ndefu kutokana na mauzo ya zao la parachichi, mlitucheka sana tulipoanza kupambana

Hayo muulize ndugu yako.aliyesema mkulima wa parachichi anapewa pesa ndefu.
Nitajie huyo m'bongo mmoja anayepata hayo mabilioni ya pesa kwa kuuza parachichi akiwa peke yake![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hili nalo la kuanzishue thread!? Nadhani siku zijazo mtatuletea taarifa ya mama Ngina ameenda chooni!?
 
Hayo muulize ndugu yako.aliyesema mkulima wa parachichi anapewa pesa ndefu.
Jombaa ulitaka kuwajua wakulima ambao ni matajiri wa mapachichi nchini Kenya. Nilishatupia majina yao na 'experiences' zao hapo juu. Ndio hawa tena. [emoji1] Finance graduate making up to Sh70,000 in three days from avocado farming and supply
 
Mzee unapiga kelele biashara ya ksh4b tu kweli?. Mzee biashara ya parachichi bado hatujatoa ripoti yetu. Mnakimbiana humu.
 
Hili nalo la kuanzishue thread!? Nadhani siku zijazo mtatuletea taarifa ya mama Ngina ameenda chooni!?
KES 4.26 BILLION ya exports za zao moja tu la parachichi kwa miezi mitatu jombaa. Ongezeko la 93% ukilinganisha na exports za muda kama huo mwaka uliopita. Itabidi utie bidii, hilo povu halijatosha ongeza na matusi juu yake tafadhali.
 
Mzee unapiga kelele biashara ya ksh4b tu kweli?. Mzee biashara ya parachichi bado hatujatoa ripoti yetu. Mnakimbiana humu.
Kwani kuna mtu ambaye anangoja ripoti yenu? Mwaka uliopita hamkufikia hata 10% tu ya mauzo ya Kenya kwenye export ya maparachichi achia mbali uzalishaji wa zao hilo.
 
KES 4.26 BILLION ya exports za zao moja tu la parachichi kwa miezi mitatu jombaa. Ongezeko la 93% ukilinganisha na exports za muda kama huo mwaka uliopita. Itabidi utie bidii, hilo povu halijatosha ongeza na matusi juu yake tafadhali.
Mzee zao gani jingine mnategemea ku export!? Hiyo Ksh4B ni hela ndogo sana kwenye nchi yenu maskini.
Kwenye hiyo 4b, 60% data zimepikwa.
 
Kwani kuna mtu ambaye anangoja ripoti yenu? Mwaka uliopita hamkufikia hata 10% tu ya mauzo ya Kenya kwenye export ya maparachichi achia mbali uzalishaji wa zao hilo.
Una uhakika na hiki unachoongea!? Mimi sipendi tabia za kuongea vitu hewani hewani. Weka ushahidi wa hiki unachokiongea.
 
Kwani kuna mtu ambaye anangoja ripoti yenu? Mwaka uliopita hamkufikia hata 10% tu ya mauzo ya Kenya kwenye export ya maparachichi achia mbali uzalishaji wa zao hilo.
Mzee usipende kuongea vitu bila hata evidence. Jiepushe sana na mambo hayo.
Sasa hivi ni zama za technology.
Sasa $12m ni 10%
Screenshot_20210429-124857.png
 
Ana magari mangapi na nyumba ngapi?
Jombaa ulitaka kuwajua wakulima ambao ni matajiri wa mapachichi nchini Kenya. Nilishatupia majina yao na 'experiences' zao hapo juu. Ndio hawa tena. [emoji1] Finance graduate making up to Sh70,000 in three days from avocado farming and supply
 
Mzee zao gani jingine mnategemea ku export!? Hiyo Ksh4B ni hela ndogo sana kwenye nchi yenu maskini.
Kwenye hiyo 4b, 60% data zimepikwa.
Hehe, 4b Ksh mkiletewa nyinyi wakulima wa Tz si mtahisi raha kweli! 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Ashakutolea mfano tayari, wewe niletee jibu langu hapa! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Nimemtolea mifano, yaani zaidi ya moja ya mamilionea wa maparachichi nchini Kenya. Huyo ni sampuli ya watu wa kupuuzwa tu. Hana uwezo wa kung'amua kilichoandikwa kwenye hizo link hata akizifungua kwa bahati mbaya. Hana hoja, hana takwimu ni umbea tu. Ndio maana sasa anauliza hao matajiri wana nyumba ngapi na magari mangapi. [emoji1] Bure kabisa!
 
Exports tu za Kenya za maparachichi kwa mwaka(kufikia Dec 2020) zilikuwa na thamani ya $125Million, sasa hapo bado utabisha kwamba hiyo $12M yenu haijafikia 10% ya exports za Kenya?
emoji1.png
KENYA: Avocado export prices surge 33% – TFNet – International Tropical Fruits Network
Unaweza kuleta taarifa kutoka kwenye official website!? Mzee mambo ya IT Mimi ni mbobezi. Huwezi kuniletea website uchwara.
Unaona unavyo ji contradict!?
Umesema:-
The value of Kenya’s avocado exports jumped 93 per cent to Sh4.26 billion in the first quarter of this year.

Do you know 93% maana yake!?
 
Nimemtolea mifano, yaani zaidi ya moja ya mamilionea wa maparachichi nchini Kenya. Huyo ni sampuli ya watu wa kupuuzwa tu. Hana uwezo wa kung'amua kilichoandikwa kwenye hizo link hata akizifungua kwa bahati mbaya. Hana hoja, hana takwimu ni umbea tu. Ndio maana sasa anauliza hao matajiri wana nyumba ngapi na magari mangapi. [emoji1] Bure kabisa!
Mzee soma thread yako na uangalie contradictions ndio ujue taarifa zenu ni za kutengeneza.
 
Unaweza kuleta taarifa kutoka kwenye official website!? Mzee mambo ya IT Mimi ni mbobezi. Huwezi kuniletea website uchwara.
Unaona unavyo ji contradict!?
Umesema:-
The value of Kenya’s avocado exports jumped 93 per cent to Sh4.26 billion in the first quarter of this year.

Do you 93% maana yake!?
Sawa tumejua sasa wewe ni mbobezi wa IT,! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom