Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
- Thread starter
- #21
Tanzanite is part of the zoisite mineral species and is only found in East Africa. Discovered in 1967 in the Umba Valley near the Usambara Mts. in Tanzania. Tanzanite may be colourless, yellow-green, brown, or blue to violet when found; the crystals are heat treated to enhance their colour. Colour:Tanzanite is noted for its remarkably strong trichroism, appearing alternately sapphire blue, violet, and sage-green depending on crystal orientation. (Trichroism is the property possessed by certain minerals of exhibiting three different colours when viewed from three different directions under white lights. However, most tanzanite is subjected to artificial heat treatment to improve its colour and this significantly subdues its trichroism.
Hivi kwa nini sisi Watanzania hatuna akili namna hii? Hivi inawezekanaje madini yanayotokana na miamba chini ya ardhi yapatikane sehemu moja tu ya Dunia wakati miamba ni miamba na inapatikana Dunia nzima? Kwanza wala siyo Duniani tu hata huko kwenye Sayari nyingine kama Mars kuna Madini ambayo yako pia hapa Duniani, unaweza kukuta madini yenye sifa na tabia kama Tanzanite huko Sayari ya Mars pia sasa utapinga kuyaita Tanzanite?!