Acha kupaniki, Tanzanite ni jina la madini ambayo yanapatikana chini ya ardhi yenye sifa na tabia fulani hivyo madini yoyote yale yenye sifa na tabia kama za tanzanite yataitwa tanzanite na haijalishi yanapatikna wapi, kwa maana ndiyo jina lake lilipopewa na aliyegundua hayo madini ni kama vile Dhahabu, Shaba, Tungsten, Germanium n.k sasa unashngaa Kenya, Pakistani pia kuna madini ya tanzanite na wanachimba na kuuza!
Tofauti hapa ni kwamba ni nani aligundua kwanza kama yangenduliwa kwanza huko Narok na yakaitwa Narok... hata sisi leo hii Mererani tusingeyaita tanzanite bali tungeyaita Narok ni rahisi kihivyo tu!